siasa za tanzania

Siasa za Tanzania
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. B

    Kauli ya Rais Samia inaashiria kuwa CHADEMA hawako salama ndani ya chama hicho wapo vijana wake wa "Kitengo"

    Akihutubia kwenye maazimisho ya miaka 20 ya jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro Septamba 17, 2024 rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa uovu wote uliopangwa kwenye mkutano wa chama kimoja cha upinzani (CHADEMA) anazo taarifa zote Rais amesema kuwa interenjesia ya vijana wake ina uwezo mkubwa...
  2. L

    Rais Samia: Wamesahau Misukosuko Waliyoipata Hapo Nyuma Mpaka wakaikimbia Nchi na Mimi Kuwarejesha kwa 4R Zangu

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Daktari Samia Suluhu Hasssan,ameongea kwa uchungu sana,kwa maumivu makali sana na kwa hisia kali sana zilizogusa mioyo ya watu wengi sana. Pale alipoelezea juhudi zake kubwa za kuliunganisha Taifa na kuwaleta pamoja watanzania...
  3. Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana kwa siku mbili

    Hii hapa ndio Taarifa yao waliyoisambaza kote Duniani Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) itakutana Dar es Salaam katika kikao chake cha kawaida. Kikao hicho cha siku mbili kitaanza kesho Jumanne, Septemba 17 mpaka 18, 2024 Jijini Dar es Salaam. Pamoja na masuala mengine...
  4. Freeman Mbowe mwanasiasa, mfanyabiashara na mkulima asiye ogopa hasara

    Miaka 64 iliyopita familia moja ya kitajiri mkoani Kilimanjaro ilipata mtoto wa mwisho wa kiume ikamuita "Freeman" kwa maana ya mtu huru. Jina lake na mazingira yake ya malezi na makuzi ndiyo kitu kinachovutia watu wengi kutaka kumfahamu zaidi. 1.Imewezekanaje mtoto wa familia ya...
  5. J

    Lema: Ingekuwa Magufuli pasingekuwa na kauli mbili za" Hali siyo shwari" na " Hali ni Shwari kabisa" kutoka Serikali hiyo hiyo

    Kumbe kuna nyakati Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema huwa anamfagilia Shujaa Magufuli. Lema anasema Rais na Katibu Mkuu wa CCM wamesema hali Siyo Shwari Kwa sababu ya utekaji. Walinzi wetu wanasema hali ni Shwari. Soma Pia: Mwabukusi: Namna pekee ya kumuenzi shujaa...
  6. Padri Kitima: Msaidieni ndugu yenu Tundu Lissu. Demokrasia ina gharama zake

    My Take: Hii Kauli inatuma ujumbe Fulani ,wajuzi watujuze. Moja ya tukio lililovuta hisia za washiriki wa kilele cha Kongamano la tano la Ekaristi Takatifu la Kanisa Katoliki ni hili la wanasiasa wa CCM na Chadema kuwa pamoja. Kilele hicho kimefanyika leo Jumapili, Septemba 15, 2024 katika...
  7. 𝐌aandamano ni Haki Kikatiba na msingi muhimu kwenye nchi yenye Demokrasia. Waandamaji wapewe ulinzi

    Ni haki na inahitajika wapewe ulinzi wa hakika, kwani ni moja ya misingi kidemokrasia, maandamano hahajafanyika hivyo uovu wa maandamano haujaonekana. Watakapofanya maandamano yao kwa kusababisha vurugu, hapo sheria ndipo ifate mkondo wake lakini pindi maandamano bado hata kufanyika sheria...
  8. B

    Pre GE2025 Ni nani anamchafua Rais Samia?

    Naona kuna vita vikali sana ndani ya Chama Cha Mapunduzi (CCM). Hii inanikumbusha kipindi cha Hayati Dr. Magufuli. Kuna muda alipingwa sana na watu ambao kwa mtu mwenye uelewa wa kawaida atajua kabisa ni watu wa karibu ambao wanatumia sura ya unafiki. Kuna matukio mengi sana kwa sasa...
  9. Ili upinzani Nchini uwe na nguvu ya ushawishi kisiasa ni sharti waachane kabisa na kujiongoza kwa hisia, ghadhabu, mihemko na matamko ya bila maono

    Ni muhimu sana wakafanya tafiti za kutosha na kuibua sera, mipango mikakati, na uelekeo mahususi utakao washawishi wananchi wengi zaidi na kukonga nyoyo zao, na hapo ndipo watakua na maana, uhalali na nguvu ya kupambania wananchi. Na sio kukurupuka kama ilivyo sasa kwa mfano kama Chama cha...
  10. J

    Uadui siasani uko huku chini kwa akina Mdude vs Lucas kule Juu Dr Nchimbi amesema " Mbowe alinipigia Simu mara 5"

    Hili liwe funzo zuri Kwa Wanasiasa wadogo Wadogo akina Yeriko, Maranja, Mdude, Choice variable nk Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi amesema Mbowe alimpigia Simu mara 5 Ili kumjulisha habari za mauwaji ya Shujaa Ally Mohamed Kibao lakini yeye Nchimbi hakupokea kwani alishapata taarifa na alikuwa...
  11. Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Rais Samia yupo kwa mujibu wa katiba na atamaliza muda wake kwa mujibu wa katiba

    “Kuna vitu ukisema unavyojua kabisa haviwezekani, Rais Samia yupo pale kwa mujibu wa Katiba na atamaliza muda wake kwa mujibu wa Katiba, tunaweka uchaguzi miaka mitanomitano ili wale watakaokuwa hawaridhiki ndani ya miaka mitano wapate nafasi nyingine ya kuja kuchagua sio katikati ya msimu" “Na...
  12. J

    Freeman Mbowe nje ya Utumishi wa Umma alianza kumiliki kikundi Cha Burudani ( Disco) na Sasa ni Mkuu wa Upinzani nchini!

    Tupo Hapa Mwananyamala Komakoma kwa Baharia Mani opposite na alipokuwa anaishi Makongoro Nyerere tukijadili Siasa za Nchi yetu Kwa hakika Kati yetu Hakuna aliyewahi kufikiria Freeman atakuja Kuwa Mwanasiasa achilia Kuwa Kiongozi wa Chama kikuu Cha Upinzani Tunajiuliza huyu Freeman Mbowe...
  13. Pre GE2025 Mbowe: Mtu wa kwanza kuwajibishwa kwenye matukio ya utekaji ni Rais Samia. CHADEMA kuanza kampeni ya 'Samia Must Go'

    Mbowe akiwa kwenye mkutano wa waandishi uliohudhuriwa na wanachama wa CHADEMA asema wataanza na kampeni ya Samia Must Go ikiwa hakutakuwa na uwajibikaji kwenye matukio ya utekaji. Mbowe pia ametoa rai kwa viongozi wa CHADEMA siku 12 kuanzia sasa kuja Dar kwaajili ya kupeana mikakati muhimu kwa...
  14. Sijawahi kuwa na Imani na Freeman Mbowe kama mwanasiasa mpigania haki na uhuru

    Ndivyo ilivyo katika nafsi yangu kwa muda mrefu sana katika anga za siasa za Tanzania. Freeman Mbowe kwangu mimi hajawahi kuwa na ushawahi wa aina yoyote ile, sio mpigania haki wala uhuru. Binafsi Imani yangu tangu enzi hizo najua Mbowe anafanya biashara ya siasa kupitia chama cha siasa yaani...
  15. B

    Pre GE2025 Anguko la CCM linazidi kuonekana chini ya utawala wa Awamu ya 6

    Chama dola kongwe kimeishiwa mbinu zote walizozoea kutumia kama silaha, ambazo ni Bunge, Mahakama, Sheria za Uchu wa Kubaki Madarakani, Propaganda Mfu Amani ipo Tanzania n.k 2024 September Mauaji yapigiwa kelele waziwazi mbele ya waziri wa mambo ya ndani Eng. Masauni ktk maziko ya mzee Ali...
  16. J

    Pre GE2025 Hatujawahi Kuwa na Uchaguzi wa aina ya huu wa 2025 tangu Taifa letu liasisiwe, huenda tutashuhudia magumu kuliko Haya!

    Jinsi ulivyo Uchaguzi mkuu wa 2025 ni Mpya na wa aina yake Katika Mazingira kama Haya lazima waibuke Fisi wanaotamani madaraka kabla ya majira yao Tuzidi kuliombea taifa letu Tunayoyashuhudia Sasa ni Mwanzo tu wa mengi yatakayojitokeza Siasani Ahsanteni sana 🐼
  17. 4R za Rais Samia Suluhu Hassan: Mafanikio na changamoto zake

    Resilience Reconciliation Reform Rebuild Ingawa zimeletwa kwa kiingereza, mama alimaanisha kujenga serikali inayojali misingi ya 4Rs inayowakilisha Maridhiano, Uthabiti, Mageuzi na Ujenzi Upya, katika kushughulikia masuala ya sasa ya kijamii, kisiasa na kiuchumi nchini. Tunaelekea kwenye...
  18. Je yanayo tokea sasa yanachochea chuki katika jamii?

    CHUKI NI NINI? Chuki ni ile hali ya mtu kuwa na muitikio mkali hasi kwa mtu/watu fulani au mawazo ambayo kwa kawaida uhusiana na upinzani mkali uliopitiliza. AINA ZA CHUKI 1. CHUKI KWA UJUMLA (GENERAL HATE) Aina hii ya chuki huweza sababishwa kwa tishio, uwoga, kuathirika, kutoaminiana au...
  19. Ni lipi tumshauri Tundu lissu kati ya haya ?

    Kuna kila dalili Rais Samia ataendelea kuongoza mpaka 2030 , lakini kuna kila dalili kuna makubaliano wapinzani kuachia kiti cha Urais CCM na kupata baadhi ya majimbo , Tumshauri lipi kati ya haya Tundu lissu katika hali hii ? 1. Agombee ubunge arudi bungeni 2. Aungane na kina Mnyika wafanye...
  20. L

    Pre GE2025 Peter Msigwa: Nimemtuhumu Mwenyekiti wa Chama, sijamtuhumu Mbowe

    Ndugu zangu Watanzania, Hayo ni maneno ya Mtumishi wa Mungu Mheshimiwa Mchungaji peter Msigwa kada wa CCM kutokea mkoani Iringa na mbunge wa zamani wa Jimbo la Iringa Mjini. Ambapo amesema ya kuwa yeye amemtuhumu Mwenyekiti wa chama na siyo kumtuhumu Mbowe. Kazi iendelee, Mama Ametufikia na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…