#siasasafi#storiesofchange

  1. Baraka Kasinge

    SHAIRI: Aliyetuloga Hajafa

    MWAIKENDA Salaam Bwana Kasinge, nimefika kukuona, Machache nawe tubonge, mawazo badilishana, Vipi taifa lisonge? Vijana kibaguana? Aliyetuloga kafa, vijana twaangamia. KASINGE Nami ninakusalimu, karibu wangu rafiki, Yako mada ni muhimu, tukikwacha unafiki, Kibaya kwetu na sumu, vijana kwishi...
  2. Muslim Salum

    SoC04 Kwa teknolojia ya juu, siasa safi, ardhi na uzalendo tunafika

    Najivunia sana nchi yangu Tanzania kuwa ni kubwa barani Afrika, ikiwa imesheheni tunu nyingi kama vile ardhi yenye baraka nyingi, utalii, uvuvi, kilimo, viwanda, na sekta nyingi zaidi. Licha ya rasilimali hizi zote, suala la siasa safi ndilo lenye umuhimu wa msingi katika nchi yetu. Viongozi...
Back
Top Bottom