sierra leone

  1. Waufukweni

    Tume ya Kupambana na Rushwa ya Sierra Leone yarejesha bilioni 34 zilichukuliwa na Salim Mansaray, mfanyakazi wa benki, ambaye alizificha Dubai

    Tume ya Kupambana na Rushwa ya Sierra Leone imefanikiwa kurejesha dola milioni 1.5 (TSh. Bilioni 3.960) kutoka kwa mfanyakazi wa benki aliyehusika na vitendo vya rushwa. Francis Ben Kaifala, Mkuu wa Tume hiyo, alithibitisha kuwa fedha hizi, zinazokaribia Shilingi za Sierra Leone bilioni 34...
  2. Roving Journalist

    Sierra Leone yaipongeza TARURA ujenzi wa madaraja na barabara za mawe

    #Matumizi ya mawe kupunguza gharama zaidi ya 40% #Ushirikishwaji wa vikundi vya kijamii kusaidia kulinda miundombinu Dodoma Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Matengenezo ya Barabara wa Sierra Leone Bw. Mohamed Kallon ameipongeza Serikali ya Tanzania kupitia Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini...
  3. Miss Zomboko

    Child marriage ban welcomed in Sierra Leone

    Sierra Leone has brought in a new law banning child marriage with much fanfare at a ceremony organised by First Lady Fatima Bio in the capital, Freetown. Invited guests, including first ladies from Cape Verde and Namibia, watched as her husband President Julius Maada Bio signed the Prohibition...
  4. Lady Whistledown

    Sierra Leone, Kampuni za Umeme hazijalipwa, zakata Umeme, Raia wabaki gizani kwa Siku 7

    Wananchi katika Mji Mkuu wa Freetown, na Miji mingine nchini humo wamelazimika kukaa gizani kwa Siku 7, baada ya Watoa huduma za Umeme kusitisha Huduma kutokana kutolipwa kwa muda mrefu Kampuni ya Kituruki ya Karpowership, inayotoa sehemu kubwa ya umeme wa Freetown, imesimamisha huduma zake...
  5. JanguKamaJangu

    Ernest Bai Koroma: Rais wa zamani wa Sierra Leone ashtakiwa kwa uhaini kwa jaribio la mapinduzi

    Rais wa zamani wa Sierra Leone Ernest Bai Koroma ameshtakiwa kwa makosa manne ya uhaini kuhusiana na jaribio la mapinduzi. Novemba mwaka jana, watu wenye silaha walivamia ghala la kijeshi na magereza kadhaa huko Freetown, na kuwaachilia karibu wafungwa 2,000. Amekana kuhusika na shambulio hilo...
  6. JanguKamaJangu

    Mashambulizi nchini Sierra Leone yalisababisha vifo vya watu 19

    Jeshi Nchini Sierra Leone linasema kuwa watu 19 waliuawa wakati wa shambulio kwenye Kambi ya Kijeshi na magereza katika Mji Mkuu, Freetown, Jumapili Novemba 26, 2023. Kanali Issa Bangura alisema amesema waliouawa ni pamoja na Wanajeshi 13, washambuliaji watatu, pamoja na Afisa wa Polisi, raia...
  7. Lady Whistledown

    Uchaguzi Sierra Leone: Pande zote 2 zadai zimeshinda uchaguzi Mkuu

    Wakati bado zoezi la kuhesabu kura linaendelea kwa siku ya 2 baada ya uchaguzi mkuu, pande zote mbili tayari zimetangaza kushinda huku ikiwa bado haijulikani ni nani anaongoza katika kinyang'anyiro cha urais kati ya Rais Julius Maada Bio na mpinzani wake Samura Kamara Waangalizi wa uchaguzi...
  8. JanguKamaJangu

    Sierra Leone: Vurugu zatokea Bungeni

    Chanzo cha vurugu kinatajwa kuwa ni majibizano kuhusu mjadala wa mapendekezo ya mageuzi ya uchaguzi ambapo wabunge walikuwa wakibishana suala la kuzingatia uwakilishi sawia katika uchaguzi ujao wa nchi hiyo. Chama tawala cha Sierra Leone People’s Party kinaunga mkono mageuzi wakati chama cha...
  9. Lady Whistledown

    Mkosoaji Mashuhuri wa Serikali ya Sierra Leone auawa na Polisi

    Mkosoaji mashuhuri wa Serikali ya Rais Julius Maada Bio ameuawa wakati wa uvamizi wa polisi waliokuwa katika msako wa wahusika wa maandamano ya Wiki iliyopita, na kuzua wasiwasi mkubwa kuhusu mauaji ya kiholela na shutuma za kuwalenga watu wa upinzani Kulingana na polisi, Hassan Dumbuya...
  10. Lady Whistledown

    Hali ya Utulivu yarejea Sierra Leone, Marufuku ya kutoka nje yaondolewa

    Maisha ya kawaida yanaripotiwa kurejea katika Mji wa Freetown baada ya maandamano ya wiki iliyopita ya kupinga gharama kubwa ya maisha na ukiukwaji uliokithiri wa haki za binadamu Mashuhuda wamesema Polisi waliwatawanya waandamanaji kwa risasi za moto huku takriban raia 20 na maafisa wa polisi...
  11. Lady Whistledown

    Sierra Leone, Rais asema Maandamano ya Jana dhidi ya Serikali ni Ugaidi

    Rais Julius Maada Bio ametaja maandamano dhidi ya Serikali yaliyotokea Jana, Agosti 11 nchini humo kuwa ni vitendo vya kigaidi vinavyochochewa na Raia wanaoishi nje ya Nchi Takriban watu 130 wametiwa mbaroni katika maandamano hayo ya kumshinikiza Rais huyo kujiuzulu , kutokana na kupanda kwa...
  12. Lady Whistledown

    Sierra Leone yatangaza marufuku ya kutotoka nje huku ikikabiliwa na maandamano makubwa

    Makamu wa Rais, Mohamed Juldeh Jalloh ametangaza amri ya kutotoka nje kwa nchi nzima huku kukiwa na maandamano makubwa dhidi ya Serikali, kupinga kuongezeka kwa mfumuko wa bei na migogoro ya kiuchumi Maafisa wawili wa Polisi wameuawa huku Makumi ya waandamanaji wakishikiliwa katika makabiliano...
Back
Top Bottom