sifa za mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Zifuatazo ni sifa za mwanaume anayejitambua kama ifuatavyo

    Kama ulikua hujui MWANAUME ANAEJITAMBUA anatakiwa kuwa na sifa zipi wacha nikufahamishe;- Wanaume tupo wengi sana hapa duniani, Lakini wanaume wanaojitambua niwachache sana, Sasa utajuaje mwanaume fulani anajitambua, Au utajuaje wewe mwanaume mwenzangu unatambua, 1)...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Sifa za mwanaume bora wa kukuoa, kuwa mumeo ni hizi hapa! 2025 fanya kweli

    SIFA ZA MWANAUME BORA WA KUKUOA, KUWA MUMEO NI HIZI HAPA! 2025 FANYA KWELI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Wanawake wengi hulalamika kutokujua ni mwanaume gani anasifa za kumwoa. Wengi hawajua sifa za mwanaume mzuri atakayekuja kuwa Mume na Baba wa watoto wake. Sasa Binti yangu, Mimi kama...
  3. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Mwanaume tambua uko peke yako na unawajibika kivyako

    Wasalaam Wakuu, Humu ndani kuna Wanaume na Watoto wa kiume lakini ukiwa Mwanaume tambua yafuatayo 1. Hakuna anayekujali. 2. Sio mkeo. 3. Sio familia yako 4. Si marafiki zako. 5. Sio wenzako unaofanya nao kazi. 6. Hakuna mtu anayekujali. Watu hufanya mambo kama wanajali lakini ndani yao hakuna...
Back
Top Bottom