sifa

Sifa is a type of deadman's control system used on German-influenced European railways. Although deadman's pedals are commonly used on railways worldwide, Sifa systems are specifically those codified by German Industrial Norms VDE 0119-207-5.
In Switzerland the equivalent system is called 'safety control' (Sicherheitssteuerung).

View More On Wikipedia.org
  1. Taja sifa ya mwanamke mwenye kipini puani

    Mimi naanza. Miuno feni, nimeshawala kama watatu hivi wenye vipini puani mashallah watamu 🤩
  2. Padre Kitima: Uchaguzi wa Tanzania hauna sifa ya huru

    Katibu wa balaza la Maaskofu TEC bwana Padre Kitima amehoji ni kwa sababu zipi uchaguzi wa Tanzania haufanyiki kwa uhuru na haki? Msikilize hapo kuanzia dakika ya nne na kuendelea.
  3. Je, unataka kuolewa na mume Mwafrika asiye Mtanzania? Wajue wanaume wa Kiafrika na sifa zao

    WANAUME WA AFRIKA.! 1. Wanaume wakatili zaidi Afrika - Waangola, Warundi na Wanubi (Sudan). Ukiwakosea ni kipigo au kifo. Kwao hakuna msamiati uitwao "Msamaha". 2. Wanaume wanaojali zaidi familia zao Afrika - WaSenegal. 3. Wanaume wanaopigwa zaidi na wake zao - Wakenya (Kati ya wanaume 10...
  4. Kutaka sifa kungenitoa roho!

    Uvulana ni shida Sana! Ilikuwa mida ya jioni muda ambao maji ya bahari huwa sometime yamejaa vizuri sana na kukufanya uvutiwe kuogelea. Ilikuwa kawaida yetu siku moja moja kupenda kuogelea na kuinjoy beach. Ilikuwa miaka ya 1998/99 huko kivukoni maeneo ya Kigamboni, tukiwa watoto wa kota wa...
  5. N

    SoC02 Mwanamke aliye bora kwa mumewe anatakiwa awe na sifa gani?

    Kwa majina naitwwa Ramadhani Selemani Ramadhani ni kijana wa Kitanzania leo ningependa kuzungumzia sifa za mwanamke alio bora kwa mumewe. Wote tunafahamu kuwa duniani kila kiumbe hai mungu amekiumba katika jinsia mbili ambayo ni jinsia ya kike na jinsia ya kiume. Ninapozungumzia mwanamke bora...
  6. R

    Unene sio sifa ni ugonjwa, kwa hii speed NHIF itaelekea kubaya. Tubadilike

    Habari wana JF, Kadri siku zinavyozidi kwenda watu wenye uzito ulipitiliza wamekuwa wakiongezeka kwa kasi sana. Kwa Nchi za wenzetu wanauchukia sana unene kutoka na athari zake lakini cha kushangaza Tanzania ni Tofauti mtu anaponenepa hupewa sifa nyingi sana ikiwemo kuonekana maisha ameyapatia...
  7. Waziri Juma Aweso, sifa zake zinatoka wapi? Mbona matatizo ya maji ni mengi mno

    Kiukweli sijajua wanaomsifia huyu mtu wanatumia vigezo gani; 1. Baada ya kulipa bili ya kuonganishiwa maji itachukua hata nusu mwaka kuungishiwa bomba mpaka mitaro inajifukia(mabomba wanasema hamna na hapa rushwa na watu wa stoo ndio kwao kama TANESCO). 2. Wananchi kujichangisha mamilioni ili...
  8. Sifa za watu uliowazidi wasiotaka uendelee kufanikiwa

    SIFA ZA WATU ULIOWAZIDI WASIOTAKA UFANIKIWE! Anaandika Robert Heriel. Leo sitaandika mambo mengi. Andiko hili litakusaidia kuwaelewa watu na kukufanya usiwe na Stress za kijinga. Zifuatazo ni miongoni mwa sifa za watu uliowazidi. 1. Wanapenda kujilinganisha na wewe. Ukiona unatabia ya...
  9. Msaada: Naomba kufahamishwa sifa za mdhamini wakati wa kuomba kazi kwenye CV

    Habari wakuu, poleni na majukumu ya kulijenga taifa. Mimi ni mkazi wa nyanda za juu kusini mwa Tanzania. Kulingana na kichwa cha uzi. Naomba msaada. Kwa kifupi sifahamu au sina uhakika mdhamini anatakiwa awe vipi na niwe na mahusiano gani naye. Swali lingine ni kwamba, ikiwa nimemuweka mtu...
  10. Barnabas Classic, " Diamond aliniuliza unataka sifa au unataka pesa?"

    Barnaba Classic aka Mopao aka Mtukazi ambaye kesho anaachia album yake yenye hadhi ya kimataifa album inayoandaliwa kwa ajili ya international market. Amesifu namna Diamond Platnumz alimpokea na kumuunga mkono kwenye kusimamia project nzima ya album yake ya Love Sounds Different. Maneno...
  11. Form six waliopungukiwa sifa kidogo jiungeni foundation program

    Kama wewe ni mhitimu wa Kidato cha Sita umepata DEE, EEE, CSS, EDS, ESS, DSS, EES, EEF, DEF, kwa ufupi, kama huna D mbili kwenye masomo yako lakini una Pass Moja na Subsidiary Moja jiunge Foundation Program ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania ili upate sifa ya kujiunga Degree katika vyuo vikuu...
  12. Y

    SoC02 Ualimu si wito, ni taaluma yenye sifa na tija kwa taifa la Tanzania, tukiwathamini Walimu tumeithaminisha Tanzania

    UALIMU SI WITO, NI TAALUMA YENYE SIFA NA TIJA KWA TAIFA LA TANZANIA, TUKIWATHAMINI WAALIMU TUMEITHAMINISHA TANZANIA. HALI YA WALIMU HIVI SASA? NI FUMBO LISILO NA MAJIBU Kama Taifa tulipofikia hapa sasa tume muacha Mwalimu na maswali mengi hata pengine ambayo hakusitahili kujiulza, na mengine...
  13. R

    Hivi ukiachana na skafu anayopenda kuvaa Mwigulu Nchemba ni sifa zipi Nyingine zilimfanya achukue form ya kugombea Urais 2015 ?

    Habari wana JF ,nimewaza sana kuhusu uthubutu wa kugombea kuwa Rais wa Nchi ,nimegundua cha kwanza lazima uwe na sifa . Nikajiuliza hivi Ukachana na Skafu anayopenda kuvaa Mwigulu Nchemba ya Rangi za bendera ya Taifa ni sifa zipi Nyingine zilimsukuma achukue form ya kugombea Urais 2015 kupitia...
  14. K

    Siku hizi hizi single parent imekuwa kama sifa au ufahari kwenye jamii yetu.

    Siku hizi kwa udadisi wangu naona hili jambo linakuwa kwa speed ya light. Nikianza na sisi wanaume. Siku hizi nana tumeinvest sana kwenye kujenga miili,kutumia mikongo,alkasusu nk ili kuwalizisha wanawake kitandani, huku tukikataa kuwajibika kwa output (mtoto) tulizo zitengeneza kitandani na...
  15. S

    Mliokosa nafasi zoezi la Sensa 2022 msipotoshe. Tuliopata nafasi tuna sifa na vigezo. Hata kuwa na connection ni akili

    Kuna watu walitaka kupunguzia ugumu wa maisha kupitia vijisenti vya zoezi la sensa la 2022. Baada ya kukosa nafasi hizo wanakuja na ngonjera kuwa waliochaguliwa kuendesha hili zoezi hawana sifa na vigezo. Hili siyo kweli na ni upotoshaji mkubwa. Wote tuliopata tunazo sifa na vigezo. Kwa miaka...
  16. M

    Simiyu: Baada ya kutenguliwa Ukuu wa Mkoa, Kafulila amshukuru Rais Samia kwa kumpa nafasi ya kulitumikia Taifa

    Kafulila amshukuru Rais Samia, awaaga wananchi wa Simiyu Siku moja baada ya kuachwa katika mabadiliko ya wakuu wa mikoa, aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu, David Kafulila amemshukuru Rais Samia Suluhu kwa kumpa nafasi ya kulitumikia taifa. Siku moja baada ya kuachwa katika mabadiliko ya...
  17. Naomba mnifahamishe vigezo vinavyopaswa ili mtu ateuliwe kuwa kiongozi wa mbio mwenge?

    Habari.Naomba kufahamu ni vigezo gani hutumika kumpata kiongozi wa mbio za mwenge?
  18. Zijue sifa kuu za Tecno Camon 19

    Toleo la TECNO CAMON 19 ambalo lililozinduliwa rasmi katika soko la Tanzania mapema mwezi Julai, ni mahususi kwa ajili ya wadau wa mitindo ili kuondokana na changamoto mbalimbali zinazohusishwa na upigaji picha nyakati za usiku na mwanga hafifu kutokana na sifa zake za kustaajabisha. Simu hii...
  19. Mpira: Ni utaratibu upi wa kupata sifa ya kuajiriwa kuwa refa ama mshika kibendera, Maslahi ya kazi yapoje, vitu gani vya ziada vizingatiwe?

    Habari ndugu zangu wa humu hjamiiforums, nina ndugu yangu wa kiume kamaliza degree ana ameingia miaka 23 mwezi huu, Kwa sasa yeye anachotaka ni kuwa refa ila hana a,b,c,d za kazi zikoje. Ningependa mnijuze haya.. - Ni sifa zipi zinatakiwa awe na sifa za kuwa refa, - Ataanzia wapi na atatumia...
  20. K

    Watanzania tuache sifa za kuomba upendeleo

    Imekuwa kawaida kila Mhe. Waziri, Mhe. Mbunge, Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa wilaya na hata Mkurugugenzi na mtu wa kawaida kusifu hata asijue anasifia nini. Kuna mapungufu sana katika sekta zinazohudumia watu lakini haya hayasemwi isipokuwa sifa. Mfano hai ni sekta ya afya. Hakuna matibabu ya bure...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…