sifa

Sifa is a type of deadman's control system used on German-influenced European railways. Although deadman's pedals are commonly used on railways worldwide, Sifa systems are specifically those codified by German Industrial Norms VDE 0119-207-5.
In Switzerland the equivalent system is called 'safety control' (Sicherheitssteuerung).

View More On Wikipedia.org
  1. TECNO Tanzania

    Simu ya tsh 240,000/= kutoka Tecno yenye sifa kubwa zaidi

    Hii ni habari njema kwa watumiaji wa simu janja. Kampuni ya yetu imezindua simu janja SPARK 8C ambayo inapatikana kwa bei poa kabisa ya Tsh 240,000/= kwa SPARK 8C yenye 64GB + 2GB na Tsh 290,000/= kwa SPARK 8C yenye 64GB + 3GB. Katika simu hiyo kuna teknologia ya “Memory fusion”. Unaweza...
  2. Fund man

    CCM imekosa vijana wenye sifa mpaka kumpa kazi Mzee Kinana mwenye miaka 71?

    Habari Wana JF, Moja kwa moja kwenye mada. Hivi kwa ukongwe wa chama hiki, ni sahihi kuweka Makamu Mwenyekiti wa umri wa miaka 71?. Ina maana chama hakiandai vijana wa kuendeleza chama siku za usoni? Karibuni tujadili.
  3. GENTAMYCINE

    Waziri wa Maji Aweso, zile Sifa zako za kwa bosi wa DAWASA zilitokana na nini wakati kuna 'madudu' huko kwake?

    "DAWASA ilitoza bili za maji kwa wateja 1207 na kukusanya shilingi milioni 755.65 bila kusoma mita za maji kwa matumizi ya maji ya kila mwezi".Ripoti ya CAG-Charles Kichere. Chanzo: itvtz Kwa tuliobahatika kuwa na Saikolojia Kali ya Kuzaliwa nayo na ile ya Kufundisha Chuoni tulipoona tu Siku...
  4. robinson crusoe

    Rais Samia utawezaje kujinasua na sifa bandia na kuharibu mafanikio ya watangulizi wako?

    Kuharibu sifa za watangulizi ni mtindo ulioanzishwa na Kikwete ndani ya chama kile kile cha CCM! Nauona ukiendelea kwa nguvu zote. Maofisini wizi umepamba moto. Alipoingia Kikwete alimfanya Mkapa kama ni hovyo kabisa! Wafuasi wake wakaanza kumzomea barabarani. Hata sherehe za kitaifa akasusia...
  5. royal tourtz

    Unamchukuliaje mtu ambaye mnapokutana kwa muda mfupi tu, tayari ameshajinadi sifa zake zote?

    Za jumapili wadau. iko hivi, Unaweza kutana na mtu yeyote inaweza kuwa kwenye gari au njiani au kaja hapa hapo dukani au ofisini kwako kwa namna yoyote ile.. Ile katika kuongea ndani ya nusu saa ameshakuambaia kazi anayofanya, mshahara, wanawake aliopitia kama ana nyumba au gari.. au gharama...
  6. GENTAMYCINE

    Mayele Siku zingine uache Sifa unaona sasa Ulivyoumbuka Jana?

    Kwanza ulishangilia Goli ambalo hukufunga alijifunga Mwanachama Hai wa Yanga SC Beki Andrew Vicent Dante kisha ulipokuwa unakimbia kwenda Jukwaa Kuu alikokuwa amekaa Rais Mstaafu na mwana Yanga SC lia lia Jakaya Mrisho Kkwete ili Ushangilie na Shangilia yako ya Kishamba ukakuta alishaondoka...
  7. my name is my name

    Kuna wanaume wengine hawana hata sifa za kupendwa

    Unakuta mwanaume hana pesa, kisirani saa zote amekunja sura, hawezi kuongea pole pole mda wote anaongea kama anapauka, sio handsome na hajui kuvaa. Mwanaume hana ata sifa moja ya kumfanya apendwe, yupo yupo tu. Nyie wanaume mkiwa hamna pesa jitahidini kua vizuri sehem nyingine. Kua mchangamfu...
  8. LIKUD

    Mwanaume ukiwa na sifa ya ukorofi bado uko salama kwa wakwe zako

    Sifa ya ukorofi. A mister No Nonsense. HII ndio sifa Bora kabisa Kwa wakwe zako. Wakwe zako wanatakiwa wajue kwamba wewe mwanaume uliye muoa binti Yao. 1. Ni mkorofi Sana. 2. Hutaki Nonsense. 3. Mbinafsi/ mchoyo. 4. Hupendi kusaidia ndugu wa Pande zote mbili si ndugu wa ukoo wako Wala...
  9. Stroke

    Mbowe anakosa sifa muhimu ya kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA. Ajiuzulu nafasi yake kwa maslahi ya chama na Taifa kwa ujumla

    Uadilifu ni sifa kuu na ya msingi anayopaswa kuwa nayo kiongozi yeyote yule wa Taasisi ya uma. Chadema kama chama kingine cha siasa ni Taasisi ya uma kwa kuwa imesajiliwa kwa kufuata sheria za nchi zinazoongoza vyama vya siasa hapa nchini kwa maana hiyo haikwepi kuwa na vigezo muhimu vya...
  10. Kinuju

    Halima Mdee: Serikali iache kukimbilia kukopa inadumaza akili

    Mbunge wa viti maalumu kupitia chama cha Chadema ameishambulia serikali kwa tabia yake mpya ya kukimbilia kukopa kila kunapotokea changamoto kwani tabia hiyo hudumaza akili na kuuwa uwezo wa kufikiri na kutumia fursa zilizopo ndani ya nchi. Mdee amebainisha kuwa kwenye report ya CAG imeonyesha...
  11. Tony254

    Rubani wa kike wa Kenya Airways apata sifa kwa kutua Heathrow Airport licha ya kimbunga kikali

    Ujuzi wa rubani huyu umewashangaza watu wengi sana kwa kuweza kutua ndege akiwa anapambana na kimbunga kikali kilichokuwa kinayumbisha ndege lakini umahiri wake ulifanya ndege utue salama salmini. Rubani huyu kweli anaifahamu kazi yake. Hongera sana dada.
  12. M

    Sifa za Mutsubishi Pajero Exceed ni zipi?

    Jamani kidogo kidogo nimeanza kuona magari ya Mitsubishi Pajero 3.0L petrol. Hivi haya magari yakoje in term of 1.Ulaji wa mafuta 2.Upatikanaji wa Spare 3.Uhimilivuwa rough roads 4.Engine ya Petrol 6G72 utat wake ni upi? Asanteni
  13. sky soldier

    Kwanini watu hujivunia sifa nzuri za kabila lao lakini kwenye sifa mbaya wanajitetea kwamba kila kabila lina hio sifa mbaya

    Sifa ya kabila flani hutumika pale kiwango cha kawaida na kilochozoeleka kikizidi kwenye kabila flani, mfano ni kawaida kukuta katika kila kabila kuna mtu moja kati ya 100 ana sifa fulani lakini kuna kabila fulani wamezidi hiki kiwango, unakuta wapo hata watu nane ama zaidi kati ya 100 wenye...
  14. T

    Wilayani Iramba Mkoani Singida pamefanyika Kongamano kubwa sana la Madini

    Jana Jumamosi Februari 19, 2022 Wilayani Iramba Mkoani Singida pamefanyika Kongamano kubwa sana la Madini lililoandaliwa na Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mhe. Suleiman Mwenda na kuhudhuriwa na Wadau mbalimbali wa Madini wa ndani ya Wilaya na kutoka Makao Makuu huku Naibu Waziri wa Madini Mhe. Dkt...
  15. Superbug

    Sifa kuu za wana JamiiForums

    1. Wote wana magari. 2. Wote wamefika university 3. Wote wamekaa ulaya. 4. Wote wanaishi dar. 5. Wote ni piskali mademu 6. Wote ni hendome wanaume. 7. Wote wana hela. Hao ndio wana JF ongezea ya kwako.
  16. Jidu La Mabambasi

    Ushauri tu: Wapambe tumwepushe Rais na sifa zinazoweza kumdhuru

    Nimeona clip hii ya uchambuzi wa kitabia, ambao nimeona vema kushare. Kimsingi waanasiasa walio karibu na rais inabidi waelewe kuwa Rais ni binadamu. Kwa kujipendekeza kwao wasijekufuru kumfananisha Rais na Mwenyezi Mungu kwa hali yoyote. Ni ushauri tu.
  17. John Haramba

    Kiongozi wa juu wa Iran awakosoa Rais Biden, Trump asema wameharibu sifa ya Marekani

    Picha: Ayatollah Ali Khamenei Kiongozi wa juu kabisa mwenye usemi wa mwisho nchini Iran, Ayatollah Ali Khamenei, amewatuhumu Rais wa sasa wa Marekani, Joe Biden, na mtangulizi wake, Donald Trump, kwa kuiharibu sifa ya Marekani. Ukosoaji huo wa moja kwa moja ni hatua ya nadra kufanywa na...
  18. Ramsy Dalai Lama

    Sifa ama tabia zinazoonesha maturity (ukomavu wa akili)

    Ngoja nikuambie kitu?, Unafikiri kuna umri fulani ambapo maturity huanza? Labda mpaka uwe na miaka 20, 40 ama 60!?. Hapana, katika experience yangu binafsi, nimeona kwamba umri hauna uhusiano wowote na mtu kuwa matured. Nimekutana na vijana ambao wako matured zaidi ya umri wao, na nimewaona...
  19. Esokoni

    INAUZWA Jiunge na Dirm VFD uokoe 50% ya EFD machine, ni bora, salama kisasa zaidi

    HABARI NJEMA... katika kipindi hiki cha kufunga na kuanza mwaka mpya, na kufanyiwa makadilio ya kodi za TRA, ninayo furaha kubwa kukujuza wewe Mfanyabiashara kuwa unaweza kuokoa mpaka 50% ya garama za kununua mashine za EFD endapo utajiunga na mfumo wa Dirm VFD ambao ni mbadala wa EFD machine...
  20. Kurunzi

    Sasa hii ni Sifa, Yanga imeamua kuwafuata Mbao FC huko huko kwao, Mchezo Kupigwa CCM Kirumba

    Mchezo wa kuwania kombe la Shirikisho ASFC utapigwa uwanja wa CCM Kirumba Mwanza 29, January,2022 hii no kwa mujibu taarifa toka TFF.
Back
Top Bottom