Anesthesiologist ni daktari bingwa anayetoa huduma ya kufanya mgonjwa asikia maumizo wakati anatibiwa, hasa wakati wa operation. Kwa marekani ni lazima awe na digrii ya MD au DO. Kuna mambo mengi wanayofanya ikiwamo sedation, anesthesia, au regional anesthesia. Ukiangalia mishahara ya madaktari...