Sifa is a type of deadman's control system used on German-influenced European railways. Although deadman's pedals are commonly used on railways worldwide, Sifa systems are specifically those codified by German Industrial Norms VDE 0119-207-5.
In Switzerland the equivalent system is called 'safety control' (Sicherheitssteuerung).
Hashim Rungwe anasema
1. Kuhusu hizi tozo wananchi hawakuulizwa wala kushirikishwa
2. Amesema serikali haibani matumizi, kwa mfano amesema kuwa magari ya vigogo ni bei kubwa, service yanahitaji service kila wakati, huku vigogo wakipewa mafuta bure
3. Anasema Waziri Mwigulu anatafuta sifa...
Tunapoteza mabilioni kutembeza msafara wa rais nchi nzima kutangaza vivutio vyetu vya utalii!? Tumesahau kwamba utangazaji wa vivutio vya kitalii ni fani inayofanywa na wenye weledi mkubwa na pia watu wenye kukubalika duniani sio kwa madaraka yao bali kwa moral authority yao.
Ni vizuri rais...
SIFA YA MABINTI WA JF YETU
1. Ukimwambia mambo anaitika kwa herufi P na K
2. Ukimuomba picha anakwambia «wewe mbona haujatuma?»
3. Ukiuliza maswali matatu kwa pamoja anajibu moja tu! mengine uvivu kutype.
4. Ukimwambia naomba tufahamiane anasema anza wewe, na ukimaliza ili yeye aanze basi...
Habari za midaa hii wa JamiiForums.
Leo tarehe 13 agosti kumetrendi katika mitandao ya kijamii kile kinachoitwa no utetezi mahakamani wa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya DC Sabaya.
Imeelezwa kuwa amekiri kilichokuwa kikifanyika ama alichokuwa anatekeleza ktk kesi yake ya unyanganyi kwa kutumia siraha...
Ni weekend ila kwako wewe kwa kumzoea mtu wa JF na umekuwa benet naye kiurafiki sio kimapenzi na unahisi ukitoa sifa zake atapata kusudio la moyo wake basi leo mpe sifa mwenzio akatulie kwake mwaka huu fungukeni mie naanza na mie.
Mwenyewe mie mremboo ila nimeshapata humu lihandsome langu...
Uchaguzi wa rangi ni muhimu sana kwanye biashara yako kuliko unavofikiria.
Rangi zinaongeza hamasa kubwa kwa jinsi wateja wanavoiangalia biashara yako na kuithamini.
Na moja ya mambo ambayo watu wengi wanakosea ni kuchagua rangi zinazofaa katika biashara zao.
Kumbika ukianza tu kutumia...
Ndugu wanabodi kama mtakumbuka vizuri, tukiwa mwanzoni kabisa mwa kukabiliana na changamoto ya COVID-19 mwaka uliopita, ni Serikali hii hii iliamuru level seat kwa daladala zote zinazofanya kazi hapa mkoani Dar.
Mara tu baada ya amri hiyo, hali ya usafiri wa umma ilikuwa tete, kwani...
Mjitafakari sana kwanini watu Waite TBCCCM huku ni chombo cha Taifa. Muwe na chembe ya aibu kubalance story ili walaji wafikiwe na ujumbe wa kitaifa.
Chakateni taarifa kabla ya walaji, iweje walaji waanze kuchakata news baada ya kurusha huku mna wataalamu ndani ya vyombo vyenu. Aibu kubwa sana
Habri wakuu. Kwa wenzetu mtu amaweza kuanzisha kitu na akahitaji donation kwa wale walioguswa kuchangia. Kama vile wana CHADEMA walivyochangia kupata pesa ya faini. Au kama tulivyomchangia Tundu Lissu alipopatwa na yale majanga. Au watu wanapoamua kuichangia yanga.
Lakini nafikiri michango yote...
Habari wakuu,
Ukitoa livescores. biz website gani nyingine inayotoa DETAILS zote za mchezo (live matches) kama ATTACK, BALL POSSITION, SHOTS ON TARGET, CORNERS n.k?
Leo nyie mikia mnielewe vizuri, kama kigezo cha kumpima straika ni magoli, Chris Kope Mutshimba Mugalu ni bonge la straika na mpeni muda atafanya vizuri zaidi.
Amefunga goli 15 za ligi, mnahitaji nini zaidi? Ni muda sasa wa Mugalu kupewa heshima yake anayostahili!
Taifa kuwa na elimu bora ni pamoja na kuwa na walimu mahiri wenye misingi ya ualimu na maadili ya kazi hiyo. Mbali na kazi ya kufundisha lakini pia mwalimu ni mlezi. Hivyo tunatarajia watoto wetu wakipelekwa shule wapate elimu bora pamoja na kulelewa kimaadili kwa ajili ya kuandaa taifa la kesho...
Hivi ni kwly?
Inasemekana wadada wanatabia tofauti katika mapenzi kulingana maumbo ya miili yao
(1): WASICHANA wafupi wanaongoza kwa WIVU wa MAPENZI na kuwajali wapenzi wao''
(2):WASICHANA warefu huwa hawawajali WAPENZI wao na hawaogopi MAHUSIANO kuvunjika pia hawajui kupetpet
(3):WASICHANA...
Kiufupi RC Mtaka ni mtu anayeamini katika kufurahisha watu washangilie kwa muda baadae kombe linafunikwa mwanaharamu anapita bila mabadiliko kutokea au kufanyika. RC ni mtu anayejijenga kupitia mitandao ya kijamii kwa lengo la umaarufu bali si utendaji.
Nashangazwa sana ni kwa namna gani...
"Tangu uingie madarakani, tumeshuhudia serikali yako ikichukua hatua dhidi ya viongozi mbalimbali wenye tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka." Askofu Alinikisye Cheyo.
My Take:
Ukiondoa Kakoko na Sabaya who is the other?
Kasome ripoti ya CAG halafu mngemuuliza mama vipi kuhusu kina...
Mahakama Kuu ya Tanzania imesitisha Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) na kuwaita Rais wa TFF, Wallace Karia, Bodi ya Wadhamini & Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi, kujibu hoja kwa nini uchaguzi huo usisimamishwe. Wanatakiwa kufika mahakamani hapo kesho asubuhi.
👉Kipindi cha magufuli kulikuwa ni ubabe kama ubabe! Kuna miradi kwa upande wangu haukuwa na tija!
Kuna fedha nyingi zimepotea!
👉Naamini hivi maana mwendazake hakuwai kutak CAG achukue nafasi yake kukagua matumizi ya fedha
Hayaa yote ni katiba yetu ya kizamani tumeikumbatia na wenye dola...
Tanzania Ni moja ya nchi maskini Duniani. Si umasikini wa kipato tu Bali upo umasikini wa maarifa unaopelekea kuhusianisha utulivu na unyekekevu Kama sifa za Kiongozi.
Ninachotaka kujua, sifa hizi mbili zimewakuwa possessed na akaleta ma badiliko kwenye jamii? Ni kweli kwamba nchi inahitaji...
Watu wote nchini wako wilayani na wanaishi wilayani. Wilaya ndio uti wa mgongo wa taifa na uti wa mgongo wa maisha yote ya watu. Ukikosea kwenye wilaya utakosea kwenye taifa pia. Hivyo kiongozi mkuu wa wilaya lazima awe mwenye elimu, ujuzi na uzoefu wa kuongoza watu badala ya kuchagua kwa...
Wadau naomba kujua yafuatayo juu ya sifa za kuteuliwa Ukuu wa Wilaya na KAZI za MKUU wa WILAYA.
1. Elimu
2. Umri
3. Ujuzi
4. Itikadi
5. Uzoefu
Ili tusiwalaumu walioteuliwa kumbe wanasifa sahihi.
Pia je, kama sio Watumishi Taarifa zao zinapatikana Wapi maana hawana MAFAILI.
====
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.