Uzi wa namna hii, nauandika leo kwa mara ya pili...
Nikweli unamtunza, unamlisha, unamvisha n.k, lkn kumbuka, Nayeye anaouwezo wa kujifanyia hayo .
Usimchukulie Poa, Usimdharau akajua, Usimsaliti akajua na ikitokea amejua jitahidi tu kutumia hata uongo unaojua kumplz , Usimfanye ajione hana...