sifa

Sifa is a type of deadman's control system used on German-influenced European railways. Although deadman's pedals are commonly used on railways worldwide, Sifa systems are specifically those codified by German Industrial Norms VDE 0119-207-5.
In Switzerland the equivalent system is called 'safety control' (Sicherheitssteuerung).

View More On Wikipedia.org
  1. Malaika wa Misukosuko

    Taja mboga ambayo ukiipika utaila weee ila sifa yake ni kwamba haiishagi mimi naanza na Kabeji (kabichi)

    Habari ndugu zangu, Moja ya sifa ya kabeji ni kwamba unaipika unaila mpaka unatamani iishe sasa ila ndo haiishi....twende kazi mboga gani nyingine ina sifa hii ?
  2. Chakaza

    LGE2024 Ni Kichekesho Kutumia Sifa za Utendaji wa Rais Kumnadi Mgombea Uenyekiti wa Mtaa

    Hivi unakuja kunipigia kelele za kumchagua mwenyekiti wa mtaa kwa sifa za Royal Tour? Au kukaribishwa kuhudhuria mkutano wa G20? Na awali nilidhani ni huyu tuu aliyekuja kuzindua kampeni huku kwetu, kumbe ndio style yao wote nchi nzima wakiongozwa na Makalla kila aendapo. Utendaji wa...
  3. Manyanza

    Sifa na vigezo vya Kisheria na Kiimani ili uweze kuoa Mke

    1.Katika Uislamu, Mtu anayetaka kuoa anapaswa kuwa na sifa kadhaa ili kuhakikisha ndoa inakuwa yenye baraka, imara, na yenye msingi mzuri wa kidini na kijamii. Sifa hizo ni pamoja na: 1. Kuwa na Imani ya Kidini (Ucha Mungu): Mwanamume au mwanamke anayetarajia kuoa anapaswa kuwa mcha Mungu...
  4. MSONGA The Consultant

    Wafahamu Wafadhili Wakubwa Wa Mashirika ya Hisani Na Sifa Zao (Major Gift Donors and Their Traits)

    Wafadhili wakubwa yaani “Major Gift Donors” ni watu ambao wanatoa kiasi kikubwa cha ufadhili kwa shirika, ili kuliwezesha shirika kutekeleza programu na miradi yake kikamilifu. Tafsiri ya mfadhili mkubwa inatofautiana kutoka shirika moja na jingine, kimsingi hakuna kiwango maalum kinachoonyesha...
  5. Magical power

    Utakapo sifiwa kung'oa mademu kwa wingi, Siku ukiyavagaa Huwa hawatoi sifa tena ni utani mbaya na unafki wa "Pole sana Mwanetu"

    Utakapo sifiwa kung'oa mademu kwa wingi, Siku ukiyavagaa Huwa hawatoi sifa tena ni utani mbaya na unafki wa "Pole sana Mwanetu" Kataa uzinzi mwanangu, Usije Ukasifiwa kwa Kumaliza Kikombe Kimoja cha Uji.
  6. GENTAMYCINE

    Rais wa nchi Kusifiwa na Familia za Marehemu wa Jana na Leo kwa Kuwapeleka Matibabuni India ni kutoka Mioyoni mwao / ni Siasa za Sifa za Kijinga tu?

    Na kwanini basi kwakuwa anataka Sifa na Kutukuzwa asiamue tu kulipia Gharama zote za Wagonjwa nchini mwake?
  7. Mpigania uhuru wa pili

    U.s federal reserve walipunguza interest rate september ambapo kutapelekea kuongezeka kwa dollar cha ajabu sifa anapewa mafuru

    Kwenye msiba wa mafuru alisikika samia akimsifia mafuru alsaidia kupungua kwa uhaba wa dollar swali kivip kwa sababu anaye-control supply ya dollar ni u.s federal reserve sasa mafuru anahusikaje Hii ni habari ya september The US Fed on Wednesday cut the benchmark federal funds rate by half a...
  8. AbuuMaryam

    Serikali lazima itambue BAKWATA ni dhehebu moja tu miongoni mwa madhehebu ya Kiislamu, wala BAKWATA haina haki wala sifa ya chombo cha Waislamu

    Kupitia jukwaa hili naomba, kuifahamisha Serikali...na isijifanye hailioni hili... BAKWATA ni dhehebu la TWARIQA, miongoni mwa madhehebu tu kama vile lilivyo, HIZB TAHRIIR, TABLIIGH, SALAFY, SHIA... Ndio maana hata namna yao ya kuendesha mambo yao na uteuzi wa watu wao kuanzia Mufti mpaka...
  9. comrade_kipepe

    NI wilaya gani Tanzania yenye Sifa hizi?

    Natamani Sana nikija kufika miaka kuanzia 40 niishi nnje ya dar kabisa, nataman nipate wilaya yenye Sifa zifiatazo:- *maji Safi *Umeme *Ardhi yenye rutuba *Vyakula vya kutosha *Pawe panalimwa + ufugaji *Panafikika kirahisi kutoka mikoa mingine *Internet ya uhakika Nawaza Sana kuhusu chato...
  10. Man Middo tz

    Sifa za mwanamke ambaye yuko kimaslahi kwenye mahusiano

    SIFA ZA MWANAMKE AMBAE YUPO KIMASLAHI KWENYE MAHUSIANO Mwanamke ambaye yupo kimaslahi kwenye mahusiano anaweza kuonyesha sifa zifuatazo: 1. Kuweka Kipaumbele Kwenye Faida za Kifedha: Atazingatia sana hali ya kifedha ya mwanaume wake na kuonyesha nia ya kujinufaisha kifedha zaidi kuliko kujenga...
  11. Man Middo tz

    Sifa za 'bad guys' zinazowanya wapendwe na wanawake. (sifa zinazo wavuta wanawake kwa bad guys)

    SIFA ZA 'BAD GUYS' ZINAZOWAFANYA WAPENDWE NA WANAWAKE. (sifa zinazo wavuta wanawake kwa Bad Guys) Ingawa "bad guys" wana sifa nyingi mbaya, bado wanaweza kuwa na mvuto kwa wanawake kwa sababu kadhaa. Hapa kuna baadhi ya sababu zinazoweza kuelezea kwanini "bad guys" wanavutia wanawake licha ya...
  12. Mzee wa Code

    Mbunge wa CCM atahadharisha Serikali kuendelea kukopa, asema kukopa sio sifa

    Mbunge wa CCM, Zahor Mohamed Haji wa Mwera ameitahadharisha Serikali kuacha kuendelea kukopa kwa sababu kufanya hivyo sio Sifa.
  13. R

    Majaji in particular, na wataalamu wengine, wanachagulia kwa vile kuna uhaba wa wataalamu hao au kwa vile wana sifa?

    Nilimsikia Lisu akisema kama tungelikuwa na utaratibu wa kuwachagua MAJAJI , basi ni majaji wachache sana na majaji wa Rufaa wangelikuwa katika ofisi hizo. Mana yake to me ni kuwa no meritocracy is applied katika kuchagua majaji/majai wa Rufaa hao na wataalamu wengine!
  14. appoh

    Nch imetulia sifa apewe bwana

    Habarin za usiku huu Miaka/miez ya hiv karibuni tumeshuudia mauaji ya wanawake yaliyokisiri kutoka kwa wanaume zao ila kwa sasa nch imetulia je nini kimesababisha utulivu huu ili wahusika waendelee nao aman iendelee maana kilakukicha ilikua mauaji tu kila siku
  15. The Boss

    Jaydee anastahili heshima lakini asipewe sifa za uongo

    Wapo wasanii kwa uchache wa wanawake kwenye Sanaa walijitoa na kukubalika haraka na sasa tunawatazama kama "icons" kwenye Sanaa ya muziki, mmojawapo ni Lady Jaydee anastahili heshima Sana... Lakini hata hivyo tusianze kabisa kuwapa wasanii wakongwe sifa za uongo kuwa ni wakali Sana kuzidi...
  16. Superbug

    Mimi superbug sifa zangu ni hizi

    1. Nina elimu ya Masters. 2. Nimetembea ulaya na USA mostly italy na UK. 3. Nina watoto 3. 4. Mke mzuri. 5. Mpare kwa kabila. 6. Naipenda Israel na Urusi. 7. Najua kutumia silaha za moto. 8. Najua matumizi sahihi ya R na L. 9. Mkatoliki kanisa takatifu la Roma. 10. Mpenzi wa simba SC...
  17. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Heka Hela za machimboni: Hizi ndizo sifa za Hoteli (migahawa) ya masankuloni ukiwa machimboni

    Enyi wadau ukienda machimboni halafu upite kula masankuloni basi kuwa makini. Kwanza hoteli hizo Huwa chini ya mti mkubwa kama mwembe ama utakuta wamefunga hema na jioni litaondolea nk. Wa mama lishe mara nyingi chakula hupikia kwao majumbani na kubeba Kila Asubuhi Hadi sehemu husika. Mara...
  18. C

    TANESCO kwani mna matatizo gani? Siku zote hamkati umeme leo siku ya derby ndio mnakata sio bure mnatafuta sifa na kiki

    Naandika kwa masikitiko makubwa Leo nimelipia kingamuzi changu cha 28,000 kwa ajili ya Derby na kibanda umiza changu cha kuunga unga ila ghafla wamekata umeme. Na Leo ndio ilikuwa siku ya kutusua mana watu walijaa si haba Wameondoka wote na kwenda kwenye banda lense jeneeta. Imeniuma sana...
  19. A

    Sifa za madikteta na namna wanavyojibu maswali ya watawaliwa

    Madikteta hujibu maswali kwa njia zinazolenga kudumisha mamlaka yao, kudhibiti simulizi, na kuepuka kuonekana wanyonge. Hapa kuna mbinu kadhaa wanazotumia: 1. Kupotosha: Wanapotakiwa kujibu maswali magumu au ya kukosoa, madikteta mara nyingi hupotosha mjadala kwa kuelekeza mazungumzo kwenye...
  20. Mohamed Said

    Nyerere Day 2025: Mwalimu Anastahili Sifa

    https://youtu.be/GR0DQyhAdHs?si=0zwCfmI-Z0MLnRNp
Back
Top Bottom