JULAI 24, 1933, Rais wa 32 wa Marekani, Franklin Delano Roosevelt ‘FDR', alihutubia umma wa taifa lake na kueleza kipimo cha siku 100 tangu alipoingia madarakani. Siku 100 za FDR zilitimia Juni 11, 1933. Aliapishwa kuwa Rais, Machi 4, 1933.
FDR aliingia ofisini akiikuta nchi ikiteswa na mdororo...