siku 100

  1. W

    Siku 100 za mafanikio tele ya Rais Samia. Kazi iendelee!

    Na Emmanuel J. Shilatu Napenda kuungana na Mamilioni ya Watanzania kusherehekea maadhimisho ya siku 100 tangu Mhe. Samia Suluhu Hassan ale kiapo Machi 19, 2021 kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni siku zilizojaa maajabu, matumaini na mwangaza kwa Taifa letu. Nitagusia baadhi ya...
  2. Yericko Nyerere

    AUDIO, Uchambuzi; Siku 100 za Rais Mama Samia Suluhu

    Siku 100 za Rais Mama Samia Suluhu nimeziadhimisha kwakufanya uchambuzi kwa mahojiano ya Radio, Kuhusu Hali ya Kijamii, Kisiasa, Kiuchumi, na kuhusu vuguvugu la Katiba Mpya. Sikiliza mwanzo hadi mwisho!
  3. Mshana Jr

    Ipi tathmini yako kuhusu siku 100 za Rais Samia madarakani?

    Mama katimiza siku 100 madarakani baada ya kifo cha Magufuli Ukiachana na kicheko kwa wafanyakazi weka tathmini yako ya haki hapa Alikopatia Alikokosea Alikochapia Alikozembea Alikokurupuka Weka projection yako na ushauri wako kwake. Anatusoma a ametuasa tusikosoe tu na kujibishana mitandaoni...
  4. A

    Siku 100 za Rais Samia ndani ya ofisi

    Ni dhahili mh. Rais ameamua kuuzima mjadala kwa makusudi wa kudiscuss Siku mia moja katika ofisi ya jumba jeupe. Bila shaka katika kuelekea siku 100 kwenye madaraka mh rais ameamua kutangaza mkeka wake wa madc ili tujikite kuujadili badala ya kudiscuss utendaji wake ndani ya Siku 100. Kwanini...
  5. W

    Kwanini utendaji kazi wa Raisi unapimwa kwa kipimo cha siku 100 na sivinginevyo?

    Habari wanajukwaa. Imekuwa ni kawaida kwa Kiongozi Mkuu wa nchi hasa nchi zinzotumia title ya Raisi, kama hii ya kwetu, kutumia kigezo cha siku 100 za kwanza za Raisi kuwa Ikulu kufanyiwa tathimi ya utendaji kazi wake. Wachambuzi wa mambo ya siasa, wasomi, wanazuoni na Wananchi wa kawaida...
  6. Gamba la Nyoka

    Ndani ya siku 100 za Uongozi wake, Rais Samia amefanya mambo makubwa

    NDANI YA SIKU 100, RAIS SAMIA AMEFANYA MAMBO MAKUBWA Wanaandika Ndugu Twahir Abasi Kiobya na Denis Shanyangi Kama kuna jambo lolote linalonipa amani na Faraja kwenye nafsi yangu katika siku 100 zilizopita, basi ni kuona kuwa tuna rais wa aina ya Mama Samia Suluhu Hassan. 1. Ndani ya siku 100...
  7. Kurzweil

    Kwanini Rais amepoteza mvuto kabla ya kutimiza siku 100?

    Habari wanaJF, Katika uwanja wa siasa kwa ngazi ya Urais tumezoea kuona Rais aliyeingia Madarakani akijizolea umaarufu na sifa kedekede pindi anaposhika hatamu ya uongozi Kipimo cha Rais huanza ndani ya siku 100 tangu ale kiapo. Lakini imekuwa kinyume kwa Rais wa sasa amekuwa wa kawaida sana...
Back
Top Bottom