siku 365

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Siku 365 za Katibu Mkuu UVCCM, Kenani Kihongosi

    SIKU 365 ZA KATIBU MKUU UVCCM NDUGU KENANI KIHONGOSI SIKU 365 ZA UVCCM MIKONONI MWA KENANI KIHONGOSI. Hongera kwa kufikia mwaka mmoja wa huduma na utumishi wako kama Katibu Mkuu wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM). Hakuna wakati mzuri kuliko leo wa kukutathamini,kukupima na Kukutakia...
  2. Import Duty Tax kwenye Vifaa vya Kielectroniki, Kama ilivyosemwa na Mh Nape Mnauye(Simba wa Vita) mnamo tarehe 14th March 2022, Siku 365 za Rais Samia

    Awali ya yote nipende kuwashukuru, Siku ya leo Nimepata maswali kidogo mara Baada ya DHL kunipa invoice ya 33% ya bei ya bidhaa (Import Duty Tax) ya Tarakilishi mpakato ama Computer, Nilijaribu kurejea Hotuba ya Mh Nape,Tarehe 14 ya mwezi Marchi katika maadhimishi ya Wizara ya Teknolojia ya...
  3. Kuelekea siku 365 za Rais Samia, tutazame Tanzania katika Uhusiano wa Kimataifa

    KUELEKEA SIKU 365 ZA MHE SAMIA, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. Na Elius Ndabila 0768239284 2: UHUSIANO WA KIMATAIFA. Baada ya kuangazia utulivu wa kisiasa kuelekea siku 365 za Mhe Samia, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo tutaitazama Tanzania katika uhusiano wa kinataifa...
  4. Utulivu wa Kisiasa: Mafanikio kuelekea siku 365 za Rais Samia Suluhu Hassan

    KUELEKEA SIKU 365 ZA MHE SAMIA, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Na Elius Ndabila 0768238284 1: UTULIVU WA KISIASA Itakumbukwa kuwa bado siku chache kwa Mhe Samia, Rais wa awamu ya sita kumaliza mwaka mmoja tangu alipoapishwa kuwa Rais. Kuelekea siku 365 nitakuletea mfululizo wa makala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…