siku 365

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Tabiri, kipi kichwa cha habari kitaandikwa na VYOMBO VYA habari ya Tanzania, 29/10? Siku 365 za Samia ikulu, au siku 365 za mauaji Tanzania?CHAGUA.

    Ningeomba MWA jf utabiri kipi kichwa cha habari kitaandikwa na VYOMBO VYA habari vya Tanzania? Siku 365 za Samia ndani ya ikulu au Siku 365 za mauaji makubwa ya vijana, Wamama, wababa na wazee ndani ya Tanganyika? Wewe ungekuwa mwariri wa VYOMBO VYA habari ungeandika kipi? Ukichagua cha...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ukiwa mtumishi wa umma maisha yako yapo hatarini kwa ushirikina masaa 24 siku 365.

    Unarogwa na maadui unaofanya nao kazi kwa wivu na chuki zisizofaa kimaendeleo. Uraiani unarogwa na wananzengo ambao hata ukivaa shati na wakiona wewe una uhakika wa kura ugali dagaa wanachukia. Bado hawara na mke wako wanakuroga na kukugombania kama mpira wa kona.
  3. Akilindogosana

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Je, wakiandaa maandamano ya siku 100, au siku 365 au siku 730 bila kikomo, hali itakuwaje?

    Kama akina GenZ wakiamua kuubadilisha mbinu ya maandamano. Wakasema maandamano sio ya siku moja bali ni siku 100 mfululizo au siku 365 mfululizo au siku 730 au siku 1095 mfululizo mpaka wapate wanachotaka, hali itakuwaje? Je, nchi itasimama kwa siku 365, siku 730, siku 1095, siku 1460 bila...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia na watumishi wa Wizara wanalipwa Per diem kwa 90% ya siku 365 za mwaka, kwani vituo vyao vya kazi ni Dodoma?

    Tangu Serikali ya Magufuli ilivyoingia madarakani watumishi wa Wizara na viongozi wa Taasisi wameweza kutengeneza mamilioni ya shilingi kupitia posho za safari, kwakuwa wanakuwa wanamfuata Rais Samia Dar wakitokea Dodoma. Serikali pamoja na watumishi wake, wakiongozwa na Samia walishahamishwa...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Siku 365 za Katibu Mkuu UVCCM, Kenani Kihongosi

    SIKU 365 ZA KATIBU MKUU UVCCM NDUGU KENANI KIHONGOSI SIKU 365 ZA UVCCM MIKONONI MWA KENANI KIHONGOSI. Hongera kwa kufikia mwaka mmoja wa huduma na utumishi wako kama Katibu Mkuu wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM). Hakuna wakati mzuri kuliko leo wa kukutathamini,kukupima na Kukutakia...
  6. init

    JamiiForums Tanzania Import Duty Tax kwenye Vifaa vya Kielectroniki, Kama ilivyosemwa na Mh Nape Mnauye(Simba wa Vita) mnamo tarehe 14th March 2022, Siku 365 za Rais Samia

    Awali ya yote nipende kuwashukuru, Siku ya leo Nimepata maswali kidogo mara Baada ya DHL kunipa invoice ya 33% ya bei ya bidhaa (Import Duty Tax) ya Tarakilishi mpakato ama Computer, Nilijaribu kurejea Hotuba ya Mh Nape,Tarehe 14 ya mwezi Marchi katika maadhimishi ya Wizara ya Teknolojia ya...
  7. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Kuelekea siku 365 za Rais Samia, tutazame Tanzania katika Uhusiano wa Kimataifa

    KUELEKEA SIKU 365 ZA MHE SAMIA, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. Na Elius Ndabila 0768239284 2: UHUSIANO WA KIMATAIFA. Baada ya kuangazia utulivu wa kisiasa kuelekea siku 365 za Mhe Samia, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo tutaitazama Tanzania katika uhusiano wa kinataifa...
  8. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Utulivu wa Kisiasa: Mafanikio kuelekea siku 365 za Rais Samia Suluhu Hassan

    KUELEKEA SIKU 365 ZA MHE SAMIA, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Na Elius Ndabila 0768238284 1: UTULIVU WA KISIASA Itakumbukwa kuwa bado siku chache kwa Mhe Samia, Rais wa awamu ya sita kumaliza mwaka mmoja tangu alipoapishwa kuwa Rais. Kuelekea siku 365 nitakuletea mfululizo wa makala...
Back
Top Bottom