PostGE2025 Je, wakiandaa maandamano ya siku 100, au siku 365 au siku 730 bila kikomo, hali itakuwaje?

PostGE2025 Je, wakiandaa maandamano ya siku 100, au siku 365 au siku 730 bila kikomo, hali itakuwaje?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Akilindogosana

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2020
Posts
4,629
Reaction score
13,551
Kama akina GenZ wakiamua kuubadilisha mbinu ya maandamano.

Wakasema maandamano sio ya siku moja bali ni siku 100 mfululizo au siku 365 mfululizo au siku 730 au siku 1095 mfululizo mpaka wapate wanachotaka, hali itakuwaje?

Je, nchi itasimama kwa siku 365, siku 730, siku 1095, siku 1460 bila kufanyika chochote?
 
Kama akina GenZ wakiamua kuubadilisha mbinu ya maandamano. Wakasema maandamano sio ya siku moja bali ni siku 100 mfululizo au siku 365 mfululizo au siku 730 au siku 1095 mfululizo mpaka wapate wanachotaka, hali itakuwaje? Je nchi itasimama kwa siku 365, siku 730,siku 1095,siku 1460 bila kufanyika chochote?
Haya hayana kikomo
 
Kama wakiamua kuubadilisha mbinu hii D9 ikawa D9+365 hali itakuwaje?
 
Hali itakua hivihivi hakuna kucheka na nyumbu wezi na waharibifu wa mali za watu, amani italindwa kwa gharama yoyote.
 
Hali ya uchumi kwa taifa itakua mbaya
Mimi kwa sasa ni mtu mzima sana ila nakiri wazi hawa watoto wa 2000 GenZ nimewaogopa. Hawaogopi kufa, wanauwawa na hawaogopi. Kama wakiamua kuubadilisha mbinu ya maandamano hii d9 wakarefusha kuwa D9+365. wakiandamana mwaka muzima nchi ikisimana hali ya kiuchumi ikiwa mbaya serikali itakosa matrilioni wanayowapa wanajeshi, labda wanajeshi wakipigwa njaa kali wataamua kutoa ccm madarakani
 
Back
Top Bottom