Kiwango cha Azam ni kibovu sana, mtu yeyote mwenye akili hawezi kwenda na kocha huyu, azam wanaongoza bao 2 1 hadi sasa dakika ya 59 lakini nina uhakika hata kama wataiondoa Bahir leo, kocha hana kazi.
Timu imesajili vyuma hasa lakini kiwango sifuri, asipofukuzwa kocha kesho mtaniambia
MBUNGE wa Ngorongoro, Emmanuel Ole Shangai ambaye alikuwa anashikiliwa na Polisi mkoani Arusha ameachiwa kwa dhamana usiku wa leo Jumatano Agosti 23, 2023.
Akizungumza baada ya kuachiwa Ole Shangai amesema kwa siku tatu tangu alipokamatwa aligoma kula.
Pia Soma:
- Mbunge wa Ngorongoro bado...
Wafanyabiashara Kariakoo wakipata selfie na kumshangilia mtu aliyewafanya wakagoma kwa siku tatu mfululizo wakisema amehusika kuleta na kukusanya kodi kwao kwa nguvu.
Hii kitaalam inaitwa Stockholm syndrome. Watanzania ni viumbe spesheli kabisa.
Majenerali hasimu nchini Sudan wamekubali kusitisha mapigano kwa siku tatu, waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken alisema Jumatatu, baada ya siku 10 za mapigano katika maeneo ya mijini ambayo yameua mamia ya watu na kujeruhi maelfu ya wengine.
Makubaliano ya awali ya kusitisha...
Napita Kinyerezi watu na ndoo kichwani. Nauliza vipi naambiwa mara ya mwisho maji yalitoka January hadi Leo tar 5 March 2023 hayajatoka.
Maboza yanakimbizana njiani kupelekea watu maji majumbani kwao, nimeuliza wanauza maji shilingi ngapi? Naambiwa wanaanzia kuuza lita 2,000 kwa shilingi 30,000...
Baada ya mwili wa Evarist Kisomeko (49) kukaa hospitali kwa siku tatu ndugu wakidaiwa Sh3.7 milioni, Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kati Benjamin Mkapa imesamehe deni hilo.
Evarist alifariki Januari, 13 hospitalini hapo akiendelea kupatiwa matibabu baada ya kupata ajali ya pikipiki eneo la...
Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa) imeiteuwa Hifadhi ya Burigi-Chato kuwa miongoni mwa hifadhi mbili nchini zitakazoendeleza kuhifadhi faru weupe ambao ni adimu zaidi nchini.
Kupelekwa kwa faru weupe katika hifadhi hiyo ambayo ni ya tano kwa ukubwa kati ya hifadhi 22 zilizopo. Hivyo...
Tuko zetu (maeneo flani hivi) leo siku ya 9 bila kuoga! Kwakweli hii hali iko kibabe zaidi, japo sijaona tatizo lolote kutokana halii hii. Je wewe umeshakaa hata 3dys? kuna tatizo lolote ulipata? Ulijisikiaje?
Kwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na watanzania wote kuhusu kufanyika kwa vikao vya kawaida vya uongozi ngazi ya Taifa Jijini Dodoma kuanzia tarehe 26 Septemba, 2022 Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (CC) na tarehe 27 na 28 Septemba, 2022 Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa (NEC)...
Roho inaniuma sana, juzi nilichukua statement nikauta wamekata 11,000 kama government levy
Baadaye nikapita JF nikakuta taarifa kua kuna tozo ya miamala ya kibenki tangu july
Jana, nime withdraw kiasi cha pesa, then leo kupitia statement fupi nimegundua kuna 10,010 imekatwa tena kama...
Ni katika harakati za kuimarisha uhusiano wa kiulinzi meli hii kubwa ya kijeshi kutoka USA inafika bandari Salama ikiwa ni zaidi ya muongo mmoja kutokea kwa tukio hili.
Kenya ilifanya uchaguzi siku ya Jumanne mpaka leo bado wanakusanya matokeo ambayo hayabadilishiki kwenye vituo na kujumlisha kura za urais.
Sisi kulingana na umakini wetu, rais angetawazwa Jumatano na leo ingekuwa siku yake ya tatu kitini.
Mwanafunzi mmoja wa Chuo Kikuu cha Maasai Mara ameaga dunia baada ya ‘jogoo’ wake kuwika kwa siku tatu mfululizo katika Kaunti ya Narok nchini Kenya.
Ripoti ya Polisi imeeleza kuwa mwanafunzi huyo aliyekuwa na umri wa miaka 22 alifariki akiwa katika Hospitali ya Shepherd alikokuwa amelazwa...
Kiongozi mkuu wa waislamu Mufti Sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua yenye heri kuanzia kesho Alhamisi.
Maaskofu wakristo naona wanashindana tu kuvaa barakoa hawaitishi maombi kulikoni?
CCM YAJIFUNGIA SIKU TATU KUWAPIGA MSASA WATENDAJI WAKE
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara ndugu Philip Japhet Mangula Leo Novemba 03 amefungua Mafunzo ya Makatibu wa Mikoa Na Wilaya Nchi Nzima katika ukumbi wa H/KUU Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma.
Pamoja na Mambo mengine ya msingi lengo...
Baada ya watu watatu kufariki wakati wa mazishi na hivyo kusababisha misiba kufika minne, wakazi wa Kangaye Mwanza wameamua kufunga kwa siku tatu mfululizo kuomboleza misiba hiyo pamoja na kuombea amani katika eneo lao.
Itakumbukwa siku sio nyingi wakati mazishi yakiendeleaa, mtu mmoja alitoa...
Mabibi na mabwana mheshimiwa Rais wetu mpendwa mama Samia amepasua mbarika tena leo.
Akiongea na vijana Mwanza, mh. Rais katamka angependa kuendelea kukaa zaidi Mwanza, ila taratibu na sheria hazimruhusu kukaa zaidi ya siku 3 katika mkoa mmoja.
Bila shaka akimaanisha kukaa siku 3 mkoani nje ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.