siku ya mashujaa

  1. Ojuolegbha

    Rais Dkt. Samia ameshiriki maadhimisho ya siku ya mashujaa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa katika Uwanja wa Mashujaa uliopo Mji wa Serikali Mtumba Mkoani Dodoma leo tarehe 25 Julai, 2024.
  2. Roving Journalist

    Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa yaliyofanyika katika Mji wa Serikali Mtumba Dodoma, leo Julai 25, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa yanayofanyika katika Mji wa Serikali Mtumba Dodoma leo tarehe 25 Julai, 2024. https://youtu.be/FMIo8LYGKdk Siku hii ya kuwakumbuka mashujaa huambatana na shughuli mbalimbali ikiwemo...
  3. L

    Rais Samia kushiriki Siku ya Mashujaa leo Julai 25

    Ndugu zangu Watanzania, Baada ya Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Kuteka hisia za watu na kutawala anga la Siasa hapa Nchini kwa takribani Wiki nzima.Hii leo Tena anakuja hadharani kishujaa na Kikomandoo katika siku ya Mashujaa Ambayo...
Back
Top Bottom