Ndani ya siku 3 tu, Doctor Charles Sokile, ambaye ni mchungaji makanisa ya TAG-amegongwa na bodaboda akiwa anatoka kwenye maonyesho ya Tonny Kapole kijitonyama.
Huyu mwanafunzi wa TIA amegongwa akiwa anakwenda chuo, /Kwa siku si chini ya maiti 5 zinazoingizwa mochwari kwa ajali za Boda boda...