Mwenyekiti wa ACT- Wazalendo Taifa, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, amesema ACT Wazalendo haitakubali Zanzibar kufanyika kura ya siku mbili.
Mheshimiwa Othman, ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, ameyasema hayo leo Jumatatu Disemba 09 2024, aliposhiriki akiwa Mgeni Rasmi...