Ndugu zangu, wana-msimbazi wenzangu kwanza tujipe pole kwa kupoteza derby ya nne mfululizo.
Ila tukubaliane kwamba timu yetu ni takataka na ya hovyo sana mbele ya ma-giant Yanga Africa, sisi ni mbumbumbu tunaopelekeshwa.
Yanga ndio timu bora ya muda wote, takwimu zinathibitisha hilo, sisi...