1. Mstaafu Kikwete aliwahi kutamka kuwa ni aheri Dr Slaha ashinde Urais kuliko Tundu Lisu kushinda ubunge. Kauli ile, indirect ilikuwa maagizo kwa CCM nzima pamoja na taasisi zake kuhakikisha Lisu hawi mbunge. Katika uchaguzi mgumu kabisa, matokeo yake Lisu alishinda na kutangazwa kuwa mbunge...