Haya ni maono baada ya tarehe 21 ya siku ya uchaguzi. Ni tarehe 25 na kuendelea. Kipindi hiki tayari Mwenyekiti ameshafahamika, naye ni FAM.
Kwa kuwa huyu mwamba ni injinia wa siasa za bongo, hasa za upinzani, kwake yeye kinyongo sio tija.
Kamati kuu ya Halmashauri Kuu itakaa na kuitisha...