silaha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Tuweka mihemko pembeni, Hezbollah kapigwa kachakaa, pona yao ni Biden kuinyima Israel silaha kulazimisha cease fire

    Wiki iliyopita Bunge la marekani lilipiga kura kwa ushindi mkubwa kufuta katazo la kuiuzia Israel Silaha lakini haikuwa hivyo kwa Rais, Biden ana presha kubwa sana ya kutafuta chochote cha kujisifia kwa siku 60 alizobakiza, Alimwambia Netanyahu akubali kustop mashambulizi lasivyo hamuuzii...
  2. G

    Biden kainyima Israel silaha wakubali ku "pause" vita, zimebaki siku 60 Trump kipenzi cha Israel kuapishwa, Vikundi vya Iran vitapata taabu sana

    Kinachoendelea white house Biden kabakiza siku 60, anafanya kila namna kumsagia kunguni Trump na kulazimisha apewe sifa kwa mabavu. Kairuhusu Ukraine itumie makombora ya masafa marefu kwa lengo la kuchochea vita, Trump aingie madarakani vita ikiwa ngumu sana kuisuluhisha, Mpango huu kwa kiasi...
  3. Inasikitisha sana kwa vita zinazoendelea baadhi ya Nchi kufanya ndiyo sehemu ya majaribio ya silaha

    Kila siku silaha mpya zinaingizwa vitani , baadhi zinaonesha ufanisi nyingine zinafeli . Nchi kubwa watengenezaji wa silaha inapotokea migogoro na vita ndio sehemu ya kuuza na majaribio ya silaha . Inasikitisha lakini ndiyo ulimwengu uliko akili mkichwa .
  4. US Admiral: Kutoa silaha kwa Ukraine na Israel, kunapunguza uwezo wa kupambana na China!

    Admiral anasema silaha zinatolewa nyingi kiasi kwamba watashindwa kukabiliana na Mchina… Adm. Sam Paparo ana wasiwasi kwamba Marekani inatoa na kumaliza ulinzi muhimu unaohitajika kukabiliana na China. "Sasa inakula katika hifadhi," alisema Jumanne ya usafirishaji wa silaha za hali ya juu...
  5. Putin atia saini agizo la kuruhusu vigezo zaidi vya matumizi ya silaha za nyuklia

    Serikali ya Russia imeadhimisha matumizi ya nuclear dhidi ya Ukraine....azma hii imetokana na raisi wa marekani kutoa silaha za masafa marefu yenye kupiga ndani ya Russia Ni Bora trump aingie madarakani pengine hii vita itaisha ======================================================== Russian...
  6. Rasmi: Marekani yaruhusu Silaha zake kutumika ndani ya Urusi popote pale

    Serikali za Marekani, Ufaransa na Uingeleza zimeruhusu silaha zake zitumike ndani ya Urusi, hapo mwanzo zilizuiwa kutumika ila baada ya mashambulizi ya jana kutoka Urusi wameona wairuhusu Ukraine ifanye ionacho ni sawa
  7. Uchumi wa namba ulikuwa ni mmoja ya silaha ya mamlaka za dunia kucheza na akili za watawaliwa.

    Sijui inflation rates, sijui GDP, sijui unemployment rates, sijui exchange rates, hayo yote they mean katika uhalisia wa maisha ya ukweli yaliyopo mtaani. Mara nyingi hizi rates zinakuwa propaganda za wavaa suit ku-prove wamefanya jambo au kuwa challenge wengine kwamba wameshindwa mambo.
  8. Nahitaji kujua sehemu ama taasisi zinazotoa mafunzo ya matumizi sahihi ya silaha

    Wakuu naomba anayefahamu taasisi zitoazo mafunzo ya matumizi ya silaha hasa binafsi kwa hapa Dar
  9. Mwanaume usikose silaha nyumbani kwako au popote unapokuwa

    Sisi watu wa Kanda ya Ziwa, hili somo tunalifundishwa tangu utotoni. Unatembea na simu nne, wallet, kipegi, pafyumu, kondomu — lakini huna hata kisu! Kwa mwanaume, silaha ni lazima. Kujihami na kushinda ni lazima. Sio kidume unatekwa, na watekaji wanatoka wananukia pafyumu. Lazima upasue...
  10. Japan ni kama wamesahaulika katika Ulimwengu wa Vita na Silaha?

    Hawa jamaa huwaoni wakionesha onesha silaha zao. Huwasikii wakitishiana na mtu au kupiga mkwara. Lakini rudi miaka ya nyuma katika vita utawasikia kwa uzuri. Nenda kawaulize wachina. Watakuambia. Jamaa kwenye technology ni wazuri sana. Na hawana ubabaishaji. Wanatengeneza vitu vya ukweli na...
  11. Uaminifu ni silaha ya kulinda na kukuza biashara

    📖Mhadhara (57)✍️ Hebu fikiria, tunaagiza magari kutoka Japan na nchi nyingine, jinsi tunavyoyaona magari kwenye mitandao ndivyo ambavyo tunaletewa na kuyapokea bandarini kama tulivyoyaona. Huo ni uaminifu wa hali ya juu kwenye biashara. Lakini unakuta gari hilo hilo lililotoka Japan...
  12. BBC: Korea Kaskazini kupata tani 700,000 za mchele kwa kupeleka silaha na wanajeshi Urusi

    Kwenu wadau njaa mbaya: Gazeti la Korea Kusini la Korea Herald linaripoti, likimnukuu balozi wa zamani wa Korea Kusini nchini Urusi, kwamba badala ya usambazaji wa risasi na kutuma wanajeshi kushiriki katika vita vya Urusi na Ukraine, viongozi wa DPRK watapokea kutoka Moscow takribani tani...
  13. S

    FYI: Israel ni taifa la pili kwa kuiuzia silaha China baada ya Urusi

    Israel is now China's second-largest foreign supplier of arms after Russia with China having purchased a wide array of military equipment and technology, including communications satellites China is a vital market for Israel's aerospace and defense industry. Wavaa kobazi kabla ya kujiuliza...
  14. Putin anakumbusha NATO kuwa wasimsaidie Ukraine silaha. Ama sivyo wataona cha moto

    Sasa hapa nachanganyikiwa. Sisi huku tunasema Ukraine anasaidiwa na NATO. Putin anasema bado ila wakijaribu atawapasua. Sasa lipi ni lipi? 1. Je Ukraine anasaidiwa na NATO? 2. Je Onyo ambalo alitoa Putin kuwa wakisaidiwa atasambaza kipigo kwa msaidizi halifanyi kazi...
  15. U

    Netanyau asema shambulizi la Israel dhidi ya Iran lilisambaratisha viwanda vya kutengeneza kifo! Iran kamwe haitomiliki silaha za nyuklia

    Wadau hamjamboni nyote? Hotuba nzito mbele ya bunge la Israel Waziri Mkuu Benjamin Netanyau Iran kamwe haitoruhusiwa kumiliki silaha za nyuklia Israel itaendelea kusaini mikataba ya amani na nchi za kiarabu Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Netanyahu says Israel’s strikes on Iran...
  16. India: Watu wenye silaha wamewaua watu saba waliokuwa wakifanya kazi kwenye mradi wa ujenzi wa handaki muhimu linalosimamiwa na India, Kashmir

    Mambo yanazidi kuwa moto kwenye baadhi ya mataifa. Matukio ya kuuwana yamendele kushika kasi sana Watu wenye silaha wamewaua watu saba waliokuwa wakifanya kazi kwenye mradi wa ujenzi wa handaki muhimu katika eneo linalosimamiwa na India, Kashmir, na kuwajeruhi wengine watano, maafisa wanasema...
  17. U

    IDF yafanya shambulizi kubwa Beirut, yalipua makao makuu ya Hezbollah, karakana ya kuunda silaha chini ya ardhi, yaua makamanda watatu

    News alert IDF yafanya shambulizi kubwa Beirut, yalipua makao makuu ya Hezbollah, karakana ya kuunda silaha chini ya ardhi, yaua makamanda waandamizi 3 Wadau hamjamboni nyote? Jeshi la Israel limefanya mashambulizi makubwa na kusambaratisha kituo kikuu cha uongozaji cha Hezbollah huko Beirut...
  18. G

    Kitendo Cha Israel kufanya Cyber attack kwenye mifumo ya nyuklia na silaha za Iran amewahi control ya silaha anaweza kuwalipua kwa silaha zao

    Kweli vita sio manguvu Ila ni akili alizokujalia Mwenyenzi Mungu unavyozitumia. Kuna tofauti kubwa ya MTU anayegundua Tech mpya na anayesubiri auziwe Tech mpya. Kuna Tofauti ya MTU anayetumia Mfumo na aliyegundua na kutengeneza Mifumo. MTU akikuwahi kwenye control ya mifumo yako kubali tu...
  19. U

    Jeshi Israel lamnasa kamanda Hezbollah alijificha handakini chini ardhini lenye silaha na mahitaji muhimu, apelekwa Israel kuhojiwa

    Wadau hamjamboni nyote? Shughuli inaendelea huko Lebanon Gaidi anaswa live chini ya ardhi huko Lebanon, apelekwa sehemu maalumu kwa ajili ya mahojiano Mungu ibariki Israel Taarifa zaidi kwa kimombo hapo chini: October 13, 2024 IDF troops capture Hezbollah fighter in underground bunker...
  20. Vibaka Afrika Kusini walipua gari ya hela kwa bomu na kupora pesa (inakuaje wahalifu tena vibaka kumiliki silaha nzito za gharama?)

    Leo saa 6 mchana vibaka wenye silaha Nzito wameipiga kwa BOMU gari iliyo kuwa imebeba fedha na kupora fedha Tukio Hilo limetokea mtaa wa kwathema Gp (Gauteng) gari hiyo iliyo beba fedha ikiwa barabarani vijana sijui waliitrack vipi ghafla kilisikika kishindo tu cha bomu na majibizano ya risasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…