Wapendwa kwa unyenyekevu natanguliza salamu kwenu nyote.
Nimeamua kuanza kununua bidhaa kama mikoba na pochi za wanawake moja kwa moja kutoka China kupitia Alibaba na Aliexpress na kuzileta hapa nikauza, sasa nimeout source baadhi ya supplier kwenye hiyo mitandao na kuona bei zao ni rafiki...