kingunge wa jf
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 466
- 468
Nimepakiza mzigo wangu toka tarehe 10, October, 2025 kuto China 🇨🇳 kuja Tanzania lakini mpaka sasa mzigo haujafika.
Kila ninapowasiliana na Agent na msafirishaji ambaye ni Silent Ocean naambiwa Kuna foleni bandari ilihali nilisafirisha mzigo mwingine kupitia kampuni tofauti ya GnmCargo lakini mzigo huo umefika japo ulitoka mwezi wa December, 2025.
Nini kimewakuta Hawa Silent Ocean? Imekuwa kampuni ya hivyo sana aisee.
Miezi minne sasa mizigo ya wateja haijafika ila wanavyojidai kwenye social media sasa...!
Kuna watu walikuwa wamenunua nguo za sikukuu, wengine za shule wote wanalia na hakuna dalili za mizigo kufika kwa sasa. Tunaomba JF mtusaidie kuwauliza hawa watu jamini wanatutia umasikini
Kulikoni hili