MILIONI 5 KILA MCHEZAJI
Taarifa za hivi punde Vigogo wa klabu ya Dodoma Jiji wakishirikiana na wadau wa karibu wameweka mezani bahasha ya motisha katika timu yao ili ifanye vizuri leo dhidi Simba .
Naambiwa hapa kuna ahadi ya kila mchezaji kupata Sh Milioni 5 kama watashinda leo dhidi ya Mnyama.
Wakuu
Siku ya jana Dodoma Jiji walisikika wakisema kesho (ambayo ni leo) hawapeleki timu uwanjani baada ya kuzuiliwa katika geti la Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam kufanya mazoezi ya mwisho.
Mchezo wa Dodoma Jiji dhidi ya Simba unapigwa leo Machi 14,2025 saa kumi jioni na itakuwa LIVE...
Baada ya kukikagua kikosi chao na kile cha Yanga, Simba walijua kuwa hawako tayari kucheza derby na kufungwa tena na yanga kwa mara ya 5 mtawalia, ila hawakujua wataanza vipi kuacha kupeleka timu uwanjani siku ya mechi. Baada ya kutafakari sana wao wenyewe na kuwasiliana na baadhi ya wajumbe...
Klabu ya Simba SC imesaini mkataba wa zaidi ya Shilingi Bilioni 30 na kampuni ambayo imeshinda tenda ya uzabuni wa kutengeneza jezi na kusambaza vifaa vyenye nembo ya Simba Sports Club.
Inatajwa ni mkataba wa miaka mitano na ni kampuni ya Kitanzania.
Pia, Soma
Kampuni ya Umbro yaomba tenda...
Serikali kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ili saini mkataba wa makubaliano ya ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa na Kampuni ya Beijing Construction Engineering Group (BCEG) ya China ambao uligharimu zaidi ya Sh. bilioni 31 na ulipaswa kukamilika Julai 2024.
Hayo yalisemwa Dar es...
Ndugu zangu, matukio ya siku chache zilizopita mnaweza kuyachukulia kwa utani ila ni matukio serious sana ambayo yangeweza kuleta maafa makubwa.
Sitaongelea tukio la Simba kushindwa kufanya mazoezi wala Yanga kupeleka timu uwanjani maana kuna nyuzi nyingi zinazozungumzia hayo.
Mimi nitaongelea...
Wadau wa Michezo na Watanzania wote kwa ujumla,kama mlivyosikia ya kuwa uwanja wa Mkapa umefungiwa na CAF na timu yetu ya Simba hivi karibuni ina mechi ya Robo fainali ya mashindano ya CAF,kama Taifa,tunahitaji kuona serikali ikisimama na Simba kupigania maslahi ya Simba.Tarehe...
SIO MBAYA wajenxi kukumbushana wapendwa
Najua mpaka tunajenga tunahangaika sana sana kuweza kujenga
Hizi changamoto utazikuta wakati WA ujenzi
Ukiwa unaenda kununua mbao hasa pale buguruni
Nenda na mtr yako..na usiwambie kama una MITA yako malizeni ku bargain sh ngapi kwa futi mkifika kupima...
Tumeshinda ni jambo jema lakini timu ilivokua inacheza inafikirisha kwakweli binafsi niliyoyaona
1 Beki zetu za kati bado naona kuna ka hali Fulani kanatia wasiwasi hiyo tar 8 sijui labda kwa vile derby haiamuliwi na kiwango cha timu husika inatokana na mambo mengi ningekua kwenye bodi ya...
Mjitahidii kulinda miguuyenu
Kwa sasa mnapochexa na Simba mjue mnavhexa na BODI ya LIGI
Msijisahau mkajua mnachexa na Simba mtaliwa kiboga mapemaa
Otherwise all dbest
Nasikia kuna Katibu kanaitwa tma
YAAN kangejua Refa ameshapewa matokeo mapema na BODI ya LIGI HATA wasingeingia
uwanjani
Kifupi mnaoenda kuchexa na Simba Mjuee mnapambana na BODI ya LIGI
Muwe makini KUFUNGWA mtafungwa ANGALIEN usalama WA afya xenu
Leo saa 10:00 jioni, Simba SC dimba la KMC Complex wanawakaribisha TMA Stars.
Updates...
Mechi imeaanza
Dakika ya 14 milango bando ni migumu
Dakika ya 16 Valentino Nouma anaitanguliza Simba kwa mpira wa Free Kick (Simba 1 - 0 TMA)
Dakika ya 19 TMA Wanajifunga Sixtus Sabilo OG (Simba 2 - 0...
Tusichoshane sana hapa bali kwa anayetaka Kuusikia huu UKWELI MCHUNGU wa Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano Azam FC Zaka Za Kazi aende Wasafi Fm na atamsikia kwani ameelezea Kiundani kabisa huku kama kawaida yake akiwa Anajiamini na Muwazi.
Rais Samia amebadilisha uelekeo wa soka letu kwa kutia juhudi binafsi kusuma michezo Tanzania. Hakuna asiyefahamu kuwa watu wa taifa letu wamegawanyika kwenye ushabiki wa simba na yanga kwa mamilioni.
Mtu kuahirisha mechi ya simba na yanga bila shaka anadhamiria yatokee mambo mabaya sana kwa...
Baada ya Mashabiki wengi wa soka kuumizwa na usitishwaji wa derby wamekuwa wakitaka kujua, Je hata kama simba angekuwa alikosewa kikanuni, tukio hilo linampa fursa ya kugomea mchezo! JIBU NI NDIYO.
Kanuni ya 31 ya Tff/tplb inasomeka hivi;
"Timu yoyote itakayo kosa kufika uwanjani bila ya...
Yaani hawa YANGA wana hasira sana. Kuna gazeti limeandika kwamba simu moja tu itairudisha YANGA kwenye gemu pamoja na msimamo wa sasa kwamba hawachezi tena dabi.
Sasa SIMBA wasiombee YANGA ikakubali maana watachabangwa goli zisizopungua 6. TAKE THIS FROM ME.
Nimekua nikisoma kwenye mitandao kuwa Simba iligomea mechi mimi nakataa na sababu zangu ni kwamba mechi haikuchezwa.
Hili mgomo uhalalishwe ni pale bodi ya ligi ingeendelea na msimamo wake wa awali kuwa mechi ipo palepale afu wapeleke waamuzi na kamisaa uwanjani na waisubiri simba dakika 30 na...
Kwa jinsi mwamba anavyopambana kwa maslahi ya Simba, ukomavu na uzoefu wake. Na kwa kuwa Sasa tuna CEO wa mpito tu Nadhani hivyo viatu vinamtosha Jemedari.
Indirectly amekuwa ndio mshauri mkuu na main agenda driver wa Simba.
Kongole kwake!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.