Sasa Baada ya Kuona Mikiki mikiki ya kukimbiana na kuogopana baina ya simba na yanga, ikichagizwa na mambo ya kishirikina na msururu wa majeruhi kwa timu ya Simba, hivyo kulingana na siasa za mpira wa tanzania na Ukubwa wa Simba na Yanga , ambazo kiuhalisia zina nguvu kuliko hata TFF na Bodi...
Kwa maana kanuni inasema timu mgeni ana haki ya kufanya mazoezi katika uwanja utakaochezewa mechi angalau SIKU MOJA kabla ya mechi.
Sasa swali ni je simba walienda kufanya mazoezi siku moja kabla ya mechi? siku za kisoka zinahesabiwaje? Kwa mfumo wa masaa 24,48,72? Au zinahesabiwa kwa mfumo wa...
Ni masaa kadhaa tangu shirikisho la mpira wa miguu Tanzania, TFF kutoa taarifa rasmi ya kuahirishwa kwa mchezo na 178 wa ligi kuu Tanzania bara huku mashabiki na wadau wa soka nchini wakiachwa vinywa wazi. Taarifa hii imekuja mara baada ya timu Simba Sc ikidai kuzuiwa kufanya mazoezi yao ya...
Kwa kuhofia kipigo cha mbwa koko kutoka Yanga viongozi wa Simba kwa makusudi kabisa hawakuzingatia kanuni inayoitaka timu ngeni kuwasiliana na Kamishna wa mchezo na meneja wa uwanja kuhusu kufanya mazoezi katika uwanja wa Mkapa. Badala yake usiku wakaisomba timu yao kupeleka uwanjani na bahati...
Meneja wa Habari wa Simba SC, Ahmed Ally, amewasilisha ujumbe wa pole kwa mashabiki wa klabu hiyo kufuatia kuahirishwa kwa mechi yao leo.
Kupitia taarifa yake, Ahmed Ally ameomba radhi kwa mashabiki wote wa Simba, hususan wale waliotoka mikoa mbalimbali kwa ajili ya kushuhudia mchezo huo...
mechi sio ya kuiogopa ila ni rekodi mpya inayoenda kuwekwa
Acha tuendelee kuwa na amani ya kufungwa mara nne mfululizo, acha tuishi nayo.
Leo simba angeingia kwa Mkapa ingekuwa kujifedhehesha tu, kwa Yanga hii ni jambo la wazi kabisa simba angekandwa,
Shida ingekuja kwenye rekodi mpya ya...
Jana kama tungeruhusiwa kufanya mazoezi pale kwa Mkapa hakyamungu naapa juma pili msingeamka majumbani mwenu na jumatatu msingeenda kazini, sisi sio wajinga wajinga kama mnavyodhania, kama tungekubali kuingia kucheza leo tukiwa tumezuiwa kufanya mazoezi tungekula magoli ya kutosha leo, sisi...
Bodi ya ligi ilipaswa kutulia na kuyajadili malalamiko ya Simba kwa mujibu wa kanuni.
Aidha ingethibitika kuna ukweli Yanga au mashabiki wake wamefanya ndivyo sivyo adhabu stahiki ingetolewa ikiwemo kupokwa points kama kanuni za adhabu zinataka hivyo.
Bodi ni lazima itoe tamko la kikanuni...
Na declare interest. Mi Mwana msimbazi damu.
Tuendeleee
Tukiachana na Ushabiki pale hakuna Kanuni inayotubeba Simba ya kutofika uwanjani, hiyo kanuni hatuna ndio maana kwenye taarifa ya Klabu hakuna nukuu ya kifungu cha kugomea mechi ila kwenye Kanuni kuna kifungu cha adhabu ya timu ambayo...
Hizi timu mbili bila kuwekewa Discipline na sheria kali soka letu halitokuwa.
Taratibu za mazoezi zipo wazi kwa mwenyeji na mgeni. Wasimamizi wa Uwanja wanajulikana na wenye mamlaka ya kuruhusu nani aingie nani asiingie wanajulikana; je mabaunsa wa Yanga wananafasi gani kwenye Utaratibu wa...
Kuna watu ambao kwa bahati mbaya wengine ni wanachama waandamizi wa CHADEMA, wanabeza msimamo wa Lissu wa kusimamia maamuzi ya vikao vya chama kuwa "No reforms No election" kuwa ni jambo lisilowezekana.
Lakini Klabu ya Simba kwa kusimamia Kanuni za ligi ya Tanganyika, imefanikiwa kugomea mchezo...
Leo ikiwa siku ya wanawake duniani Rais atakuwepo Arusha hivyo taifa linapaswa kumsikia. Hivyo nahisi kwa sense yangu ya Sita ambayo ni "intuition"
Hivyo tukio lilipangwa kimkakati kabisa.
Hali ilivyo nje ya Uwanja wa Benjamin Mkapa kabla ya mchezo wa Yanga na Simba ni tofauti na matarajio ama ilivyo zoeleka.
Pia soma: Breaking News: Bodi ya Ligi yahairisha Mechi ya Derby
Viongozi wa simba wakikaa wakaamua jambo basi TFF na Bodi ya ligi kuu watatii
Mechi ya Pamba na simba, mabaunsa wa simba walifanya fujo huko mwanza wakavunja madirisha na kuwafungia viongozi wa pamba jiji ofisini kwao mechi hsikuahirishwa
TFF ikawachekea , leo hii wao wenyewe bodi ya ligi...
Kuna taarifa zinazozunguka kwenye mitandao kuwa mechi kati ya Yanga na Simba haitakuwepo kwa sababu Simba wamesusia mechi hii kwa sababu wananazozijua wao wenyewe.
Swali langu. Kama mechi haitakuwepo. Je wale waliolipa fedha zao kwa ajili ya kuangalia mechi hii, watarudishiwa fedha zao?.
Kanuni IPO wazi kabisa, wanaohusika watawajibishwa, HII YA KUSUSIA MCHEZO hapana sijaiona kwenye hizo kanuni
Tuseme labda ni UOGA??, inawezekana na pia ni njia ya viongozi kujikingia kifua, isionekane kuwa wamefeli kwa mara nyingine, wanataka kuvuta vuta kamda ( hii game Simba ilitakiwa ashinde...
Tukiachana na Ushabiki pale hakuna Kanuni inayotubeba Simba ya kutofika uwanjani, hiyo kanuni hatuna ndio maana kwenye taarifa ya Klabu hakuna nukuu ya kifungu cha kugomea mechi ila kwenye Kanuni kuna kifungu cha adhabu ya timu ambayo inagomea mechi kutokana na makosa ya Kikanuni😀! Ukitaka...
Haya maigizo wanayofanya Simba sc sio ya kufumbiwa macho kabisa na mamlaka, zichukuliwe hatua kali kwa viongozi wa Simba, Meneja wa uwanja ambaye pia ni mwanasimba pamoja na kamishna wa mchezo (mwanasimba) kwa kula njama ya kuzuia Simba sc isiingie uwanjani Taifa kufanya mazoezi ili wapate...
Kama hawa ndugu zetu wanaoamini ushirikina kwenye zama hizi wamegoma kucheza nashauri wachague uwanja wanaoutaka kwa mazingira wanayoyataka wao.
Sisi Yanga tupo tayari kuwafuata kokote kule mtakapopachagua.
Iwe bunju,msimbazi juu ya ghorofa au kule tandahimba mlipokusanya wazee wenu mliotaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.