Simba imeendeleza ubabe wa Ligi kuu ya Wanawake (WPL) mbele ya Yanga kwa Kuifunga tena mabao 3-1 kwenye uwanja wa Azam Complex Chamazi.
Simba ambayo inafukuzia ubingwa ikiwa kileleni mwa msimamo kwa pointi 34, msimu huu katika ligi imefunga mabao 39 na kuruhusu saba tu, wakati Yanga iliyo...