Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Kings of Football, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 22 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed (Msimbazi Reds), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.The club is also considered as one of the richest club in East Africa, with a total budget of Sh1.6 billion (equivalent to $2.6 million) unveiled for the 2019/2020 season.
Hawa mademu wanapiga sana boli japo hawapigiwi propaganda kama timu ya wanaume.
Kuna Yule kiungo wao Fatma Mwenye kilemba muda wote kichwani yupo vizuri sana Yule demu.
Hivi mihogo FC, Wana timu ya wanawake? Na kama ipo inaitwaje vile?
Kupanga ni kuchagua.
Nimeona nilinganishe Mihogo FC na Simba Queens kwa sababu zawadi ya Simba Sc Senior kule group stage au nusu fainali ni balaa. Ni mara mbili ya NBC kwa mechi 4 tu, yaani Pep Mgunda amecheza mechi 4 tayari ana 1.2b.
Nasema tena kupanga ni kuchagua. Asanteni sana mliopanda...
Imefanikiwa kuweka rekodi ya kuwa timu ya kwanza ya Tanzania kufuzu kuingia hatua ya Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake baada ya kuifunga Green Buffaloes ya Zambia.
Simba Queens ambayo ilipoteza mchezo wa kwanza dhidi ya ASFAR, imeshinda 2-0 dhidi ya Green Buffaloes, wafungaji...
Ni muda sasa kwa taifa la Tanzania kuamua kuondoa aibu katika mashindano ya kimataifa ya klabu bingwa barani Africa kwa kuruhusu timu mbili tu ziende likaliwakilishe Taifa. Timu hizi si nyingine bali ni Simba sc na Simba Queens.
Washiriki wengine wamezidi kulitia aibu taifa.Ni wito wangu kwa...
Nashauri kwa uongozi wa klabu ha yanga usipoteze nauli ya kuisafirisha timu kutoka Tanzania kwenda tunisia badala yake ipishe timu ya Simba Queens icheze kwa niaba yao pale Tunis. Huku tukizingatia kuwa nauli ya kutoka Rabat kupitia Algiers mpaka Tunis ni ndogo kuliko ya kutoka Dar mpaka Tunis...
Mechi iko live dakika ya 15 na bado milango yote ni migumu.
Twende kazi.
Dk 53’ Opa Clement anaipatia Simba Queens bao la kwanza
Dk 79’ Olaiya Barakat anaipatia Simba Queens bao la 2 kwa mkwaju wa penati
Leo saa 4:00 usiku kwa saa za Afrika ya Mashariki Simba Queens watashuka dimbani kumenyana na AS Far Club ya Morocco.
Ikumbukwe kuwa Simba Queens ndio wawakilishi wa ukanda huu wa Afrika Mashariki. Hivyo hawawakilishi nchi pekee bali ukanda wote huu.
Tutaleta live updates hapa kuanzia saa 4:00...
Timu yetu ya Wanawake, @simbaqueensctz leo imeingia mkataba wa udhamini wa miaka mitano na kampuni ya michezo ya kubashiri ya @mbet_tz wenye thamani ya Tsh. bilioni moja.
Simba Queens itaanza kutumia jezi zenye nembo ya M-Bet kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake.
Hii ndiyo...
Hizo ni salamu za utangulizi. Mechi imechezwa mchana huu hapa Uwanja wa Uhuru.
Kesho mtu anapigwa kimya kimya. Sherehe ya kimya kimya kama unatoka na mke wa mtu!
Huyu manzi wa Kenya ni hatari kwa wanaofatilia soka la Wanawake Afrika Mashariki watakubaliana nami, mwaka jana kwenye CECAFA Tournament pale Nairobi akiwa na Vihiga Queens alikuwa hatari kama uliwahi kushuhudia uchezaji wa Edibily Lunyamila au Dua Said basi ndiye huyu binti.
Hata Harambee...
Simba queens imekuwa timu ya kwanza ya wanawake kutoka Tanzania kwenda kushiriki ligi ya mabingwa Africa.
Hapo unaona uwekezaji mkubwa unaofanywa na mo dewji ukisimamiwa na mwanamama babra Gonzalez ambaye ni moto wa kuotea mbali kwenye usimamizi wa taasisi ya mpira. Simba kwa sasa sio level...
Akihojiwa na Azam Tv kocha wa Yanga Edna Lema amesema sababu ya kufungwa ni uwepo wa makocha wa kiume kwa Simba Queens.
Ikumbukwe kuwa kocha msaidizi wa Yanga ni Mohamed Hussein Mmachinga. Sijui huyu ni mwanamke?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.