simba queens

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Kings of Football, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 22 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed (Msimbazi Reds), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.The club is also considered as one of the richest club in East Africa, with a total budget of Sh1.6 billion (equivalent to $2.6 million) unveiled for the 2019/2020 season.

View More On Wikipedia.org
  1. Simba queens hawavumi ila wamo

    Hawa mademu wanapiga sana boli japo hawapigiwi propaganda kama timu ya wanaume. Kuna Yule kiungo wao Fatma Mwenye kilemba muda wote kichwani yupo vizuri sana Yule demu. Hivi mihogo FC, Wana timu ya wanawake? Na kama ipo inaitwaje vile?
  2. Simba Queens mechi 3 milioni 460, Yanga mechi 30 milioni 600

    Kupanga ni kuchagua. Nimeona nilinganishe Mihogo FC na Simba Queens kwa sababu zawadi ya Simba Sc Senior kule group stage au nusu fainali ni balaa. Ni mara mbili ya NBC kwa mechi 4 tu, yaani Pep Mgunda amecheza mechi 4 tayari ana 1.2b. Nasema tena kupanga ni kuchagua. Asanteni sana mliopanda...
  3. FT: Simba Queens 2-0 Green Buffaloes | CAF Women's Champions League | 05-11-2022

    Imefanikiwa kuweka rekodi ya kuwa timu ya kwanza ya Tanzania kufuzu kuingia hatua ya Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake baada ya kuifunga Green Buffaloes ya Zambia. Simba Queens ambayo ilipoteza mchezo wa kwanza dhidi ya ASFAR, imeshinda 2-0 dhidi ya Green Buffaloes, wafungaji...
  4. T

    USHAURI: Mwakani Simba Sc na Simba Queens tu ndio zikashiriki CAF champions league ili kuepusha aibu kwa taifa

    Ni muda sasa kwa taifa la Tanzania kuamua kuondoa aibu katika mashindano ya kimataifa ya klabu bingwa barani Africa kwa kuruhusu timu mbili tu ziende likaliwakilishe Taifa. Timu hizi si nyingine bali ni Simba sc na Simba Queens. Washiriki wengine wamezidi kulitia aibu taifa.Ni wito wangu kwa...
  5. T

    USHAURI: Simba Queens iende kucheza na Club Africain badala ya Yanga

    Nashauri kwa uongozi wa klabu ha yanga usipoteze nauli ya kuisafirisha timu kutoka Tanzania kwenda tunisia badala yake ipishe timu ya Simba Queens icheze kwa niaba yao pale Tunis. Huku tukizingatia kuwa nauli ya kutoka Rabat kupitia Algiers mpaka Tunis ni ndogo kuliko ya kutoka Dar mpaka Tunis...
  6. Determine Fc 0- 2 Simba Queens | CAF Women's Champions League | Morocco

    Mechi iko live dakika ya 15 na bado milango yote ni migumu. Twende kazi. Dk 53’ Opa Clement anaipatia Simba Queens bao la kwanza Dk 79’ Olaiya Barakat anaipatia Simba Queens bao la 2 kwa mkwaju wa penati
  7. FT: AS Far Club 1-0 Simba Queens | CAF Women's Champions League | Stade Prince Moulay Al Hassan

    Leo saa 4:00 usiku kwa saa za Afrika ya Mashariki Simba Queens watashuka dimbani kumenyana na AS Far Club ya Morocco. Ikumbukwe kuwa Simba Queens ndio wawakilishi wa ukanda huu wa Afrika Mashariki. Hivyo hawawakilishi nchi pekee bali ukanda wote huu. Tutaleta live updates hapa kuanzia saa 4:00...
  8. Simba Queens yalamba udhamini wa bilioni 1

    Timu yetu ya Wanawake, @simbaqueensctz leo imeingia mkataba wa udhamini wa miaka mitano na kampuni ya michezo ya kubashiri ya @mbet_tz wenye thamani ya Tsh. bilioni moja. Simba Queens itaanza kutumia jezi zenye nembo ya M-Bet kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake. Hii ndiyo...
  9. Danger Alert: Simba Queens 2 - 0 Yanga Princess

    Hizo ni salamu za utangulizi. Mechi imechezwa mchana huu hapa Uwanja wa Uhuru. Kesho mtu anapigwa kimya kimya. Sherehe ya kimya kimya kama unatoka na mke wa mtu!
  10. N

    IFFHS: Simba Queens ya Tisa kwa Ubora Afrika

    HONGERENI SANA SIMBA QUEENS kafanyeni kweli huko Moroko, pandisheni points hizo mtaingia top 5 kwa hakika.
  11. N

    Hapa Simba Queens mmepata dribbler wa uhakika na mfungaji

    Huyu manzi wa Kenya ni hatari kwa wanaofatilia soka la Wanawake Afrika Mashariki watakubaliana nami, mwaka jana kwenye CECAFA Tournament pale Nairobi akiwa na Vihiga Queens alikuwa hatari kama uliwahi kushuhudia uchezaji wa Edibily Lunyamila au Dua Said basi ndiye huyu binti. Hata Harambee...
  12. Wapinzani wa Simba Queens Klabu Bingwa Africa hawa hapa

  13. Moloko wa Yanga SC ana mengi ya kujifunza kutoka Asha Djafar wa Simba Queens

    Ukitizama uchezaji wa hawa wachezaji wawili utagundua kuwa Jesus Moloko kaachwa mbali sana na Asha Djafar
  14. Utopolo watapeliwa; Kambole ni majeruhi wa muda mrefu

    Hivi mtafanya siri mpaka lini?
  15. Simba Queens ni mfano wa kuigwa namna taasisi imara inavyoendeshwa kwenye mpira!

    Simba queens imekuwa timu ya kwanza ya wanawake kutoka Tanzania kwenda kushiriki ligi ya mabingwa Africa. Hapo unaona uwekezaji mkubwa unaofanywa na mo dewji ukisimamiwa na mwanamama babra Gonzalez ambaye ni moto wa kuotea mbali kwenye usimamizi wa taasisi ya mpira. Simba kwa sasa sio level...
  16. Simba Queens Mabingwa CECAFA, kushiriki CAF Champions

    Namna gani hapa naona mashabiki wa Utopolo wanasikitika.
  17. Simba Queens wanajua jamani wanastahili zawadi

    Hakika wanastahili sijui zawadi gani lakin uongozi was Simba angalieni lakini iwe fundisho kwa club ya simbamen
  18. Simba Queens yatinga Fainali kibabe,yaua 5-1

    Simba Nguvu Moja. Tunaomba radhi kwa kuruhusu hilo goli 1. Toka mashindano yaanze leo ndio tumeruhusu goli
  19. Simba Queens yatwaa ubingwa mara 3 mfululizo

    Hongera warembo
  20. Simba Queens yaikung'uta Yanga SC 4-1

    Akihojiwa na Azam Tv kocha wa Yanga Edna Lema amesema sababu ya kufungwa ni uwepo wa makocha wa kiume kwa Simba Queens. Ikumbukwe kuwa kocha msaidizi wa Yanga ni Mohamed Hussein Mmachinga. Sijui huyu ni mwanamke?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…