Simba SC, wameweka rekodi kwa kuwa klabu pekee kutoka Afrika Mashariki kuwemo kwenye orodha ya vilabu vya kihistoria ya Global Database Club (GDC).
Simba SC sasa inajiunga na vigogo wa soka barani Afrika kama Al Ahly (Misri), Wydad AC (Morocco), Raja CA (Morocco), TP Mazembe (DR Congo)...