Simba SC yaandika Historia, Klabu pekee kutoka Afrika Mashariki kwenye orodha ya GDC

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Simba SC, wameweka rekodi kwa kuwa klabu pekee kutoka Afrika Mashariki kuwemo kwenye orodha ya vilabu vya kihistoria ya Global Database Club (GDC).

IMG_3655.jpeg
Simba SC sasa inajiunga na vigogo wa soka barani Afrika kama Al Ahly (Misri), Wydad AC (Morocco), Raja CA (Morocco), TP Mazembe (DR Congo), Zamalek (Misri) na Esperance Sportive de Tunis (Tunisia) kwenye orodha hiyo ya heshima.

IMG_3657.jpeg
Hatua hii inathibitisha ukuaji wa Simba SC na athari yake katika soka la kimataifa.
 
Alooo jamaa,wataandaa matamko nchi nzima ya kupinga hili
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Simba SC, wameweka rekodi kwa kuwa klabu pekee kutoka Afrika Mashariki kuwemo kwenye orodha ya vilabu vya kihistoria ya Global Database Club (GDC).

View attachment 3281219
Simba SC sasa inajiunga na vigogo wa soka barani Afrika kama Al Ahly (Misri), Wydad AC (Morocco), Raja CA (Morocco), TP Mazembe (DR Congo), Zamalek (Misri) na Esperance Sportive de Tunis (Tunisia) kwenye orodha hiyo ya heshima.
View attachment 3281210
Hatua hii inathibitisha ukuaji wa Simba SC na athari yake katika soka la kimataifa.
Weka official site ya hiyo GDC ili watu wajiridhishe na hii habari yako
 
Yaani takwimu inatolewa na chombo ambacho hakihusiani na FIFA wala CAF ni mtandao tu wa mtu mtandaoni ( Gol de Corazon) ndio unakuja kutamba nayo hapa. Kweli Simba na Yanga zinawatoa watu akili ipasavyo
 
Simba SC, wameweka rekodi kwa kuwa klabu pekee kutoka Afrika Mashariki kuwemo kwenye orodha ya vilabu vya kihistoria ya Global Database Club (GDC).

View attachment 3281219
Simba SC sasa inajiunga na vigogo wa soka barani Afrika kama Al Ahly (Misri), Wydad AC (Morocco), Raja CA (Morocco), TP Mazembe (DR Congo), Zamalek (Misri) na Esperance Sportive de Tunis (Tunisia) kwenye orodha hiyo ya heshima.
View attachment 3281236
Hatua hii inathibitisha ukuaji wa Simba SC na athari yake katika soka la kimataifa.
Timu yangu mbona sioni coastal union inadhaminiwa na jiesiemu!
 
Back
Top Bottom