Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Inabidi kwenda tena CAS
Mabingwa wa soka nchini Tanzania, Young Africans wanashika nafasi ya 165 kwa ubora kati ya timu 500 ulimwenguni.Yaani takwimu inatolewa na chombo ambacho hakihusiani na FIFA wala CAF ni mtandao tu wa mtu mtandaoni ( Gol de Corazon) ndio unakuja kutamba nayo hapa. Kweli Simba na Yanga zinawatoa watu akili ipasavyo