simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. Shark

    Simba S. C yaachana rasmi na Kocha Juma Mgunda

    Klabu ya Simba imeachana na Kocha Juma Ramadhani Mgunda ambaye alikuwa akiinoa Timu ya Wanawake ya Simba Queens huku mara kadhaa akipewa jukumu la kufundisha timu ya wakubwa ya klabu hiyo. Soma Pia: Juma Mgunda ameridhika kuwasaidia kufundisha Simba SC na kusahau kuwa ana 'profile' kubwa katika...
  2. Gordian Anduru

    Kuelekea CAFCC: Simba vs Al-Ahly Tripoli msisahau rekodi hizi muhimu

    *Simba na AL Ahly tripoli zote ziliingia makundi shirikisho mwaka 2022 Simba ikaishia robo fainali (ile wanachoma moto uwanjani na Orlando) na Al ahly Tripoli wakaenda mpaka nusu fainali * Timu zote mbili ziitolewa na Orlando Pirates Simba ilitolewa robo fainali na Al Ahly tripoli ilitolewa Nusu...
  3. C

    Simba ijenge uwanja wake tu,maana kwa uchawi wa Yanga keshatia mguu KMC msitarajie mafanikio yoyote

    Tunajua mbinu za yanga nje ya uwanja ni chafu na kali sana. Tutaendelea kuona wachezaji bora wa Simba wakiumia na kujitibia muda mrefu,ama wakicheza chini ya kiwango kutokana na mbinu chafu za hii timu nje ya uwanja. Hizi mambo ya kuchinja ng'ombe na kunywesha watu supu sio nzuri kabisa Simba...
  4. Waufukweni

    Sakata la Yusuph Kagoma kusaini timu mbili Klabu ya Simba kukatwa alama

    Simba roho juu, huwenda waka-katwa alama ishu ya mchezaji Yusuph Kagoma kusaini Yanga kisha kuwatosa na kuibukia mitaa ya Msimbazi. Mchambuzi na expert wa mambo ya usajili, Hans Rafael amedai kuwa Kamati ya sheria na hadhi za wachezaji, Leo asubuhi imesikiliza kesi ya kiungo wa Simba Yusuph...
  5. kavulata

    Simba wajiandae kupewa kadi nyingi sana CAF confederation

    Wachezaji Wana viwango vidogo lakini wanataka matokeo makubwa, hii inawalazimisha kuwaparamia wapimzani kitu kitakachowasababishia kupewa kadi nyingi zitakazowadhoofisha kwenye mashindano.
  6. kavulata

    Bila kujua, wasemaji wa Simba, Yanga na Azam wanaidhoofisha Taifa Stars

    Timu ziko nyingi kwanini iwe wasemaji wa Azam, Simba na Yanga tu wahamasishe timu ya taifa? Kama ni kwaajili ya kuwa na mashabiki wengi lakini kuna ushahidi gani kuwa Azam ina mashabiki wengi kuliko KMC na Coastal Union? Pili, kuna wasemaji ambao huwa wanajigamba hadharani kuwa timu zao zimetoa...
  7. Waufukweni

    Utitiri wa Kadi: Kwanini tusiwe na Kadi Moja ya Huduma za Usafiri inayoweza kutumika kwenye maeneo yote?

    Habari zenu wakuu. Natumaini mko salama humu jukwaani. Bila kupoteza muda, naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Jana nilikutana na mjadala mtandaoni kuhusu uzinduzi wa kadi mpya za mwendokasi, ambapo sasa bila kadi hii huwezi kufanya safari kwenye usafiri wa mwendokasi. Hii imenifikirisha...
  8. Juice world

    Simba ikichukua ubingwa ndani ya miaka 10 nipigwe ban

    Mimi ni mpenzi wa mpira nilivyoiona hii timu ya simba haiwezi kuwa bingwa ligi kuu miaka 10 mfulilizo endapo IKICHUKUA UBINGWA nipigwe ban ya maisha humu JamiiForums. Nina uhakika Kwa ninachokiongea haitokuja kutokea simba ikabeba ubingwa maana ubingwa umeshakua Mali ya yanga miaka 10 mfululizo...
  9. Waufukweni

    PICHA: MO Dewji na Mangungu washikana mikono kwa mara ya kwanza

    Baada ya uvumi wa muda mrefu kuwa Mo Dewji, rais wa Heshima na Mwenyekiti wa klabu ya Simba SC, Murtaza Mangungu haziivi hatimae washikana Mikono. Soma Pia: Mangungu amjibu Mo Dewji: Simba SC haiuzwi na haitauzwa kamwe Baada ya kumjua kuwa kumbe Adui Mkubwa wa Simba SC ni Mwekezaji Mo Dewji...
  10. Tajiri Tanzanite

    Uwepo wa Manula Simba sc inatengeneza mazingira magumu ya ufanyaji kazi kwa Camara

    Hapo vip! Ukweli ni kwamba usaliti ni tabia na tabia ni kama ngozi, Simba sc wanatatizo kubwa sana kwenye uongozi, kitendo cha kutompa mkono wa Thank you Manula mpaka sasa ni ishara wa uwepo wa uongozi dhaifu na wakutojitambua kwenye club ya Simba. Manula kuna tuhuma za usaliti dhidi ya club...
  11. Mkalukungone mwamba

    Yanga, Simba na Azam kununua goli milioni 5 ili kuipa hamasa Taifa Stars

    Kauli hii imezungumzwa na Msemaji wa Yanga Ali Kamwe kwa niaba ya wasemaji wengine “Sisi ambao ni vilabu na ambao ndiyo wanufaika sisi Yanga, wenzetu Simba na Azam inatakiwa tumsapoti mama kwa kununua goli ili kuipa hamasa Taifa Stars.” “Masharti ya kupata pesa hizo ni kila goli tutanunua kwa...
  12. Waufukweni

    Klabu ya Simba yang'ara tuzo za mwezi Agosti Ligi Kuu ya NBC

    Kiungo wa klabu ya Simba, Jean Ahoua, ametajwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Agosti katika Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/25 baada ya kuisaidia timu yake kushinda michezo miwili, akifunga bao moja na kuchangia katika mabao mengine matatu. Kocha wa Simba, Davids Fadlu, pia amechukua tuzo ya Kocha...
  13. Scars

    FT | Friendly Match: Simba 1-1 Al Hilal | KMC Complex

  14. U

    Wana-Simba tuna imani kubwa na kocha, tunaomba aendelea kuwepo Msimbazi

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Sisi wanasimba tunajivunia sana kocha wetu huyu Fadlu Davids. Tunaomba uongozi umuache aendelee kukinoa kikosi chetu kwani tuna Imani naye. Mwaka huu ubingwa ni wetu msimbazi. Naomba kuwasilisha
  15. Kichwa Kichafu

    Natamani Young Africans Achukue CAF Champions League Na Simba SC Achukue CAF Confederation Cup 24/25

    Habari wapenzi wa soccer. Young Africans yupo kwenye mashindano makubwa ya CAF Champions League 2024/2025 na Simba Sc yupo kwenye mashindano ya CAF Confederation Cup 2024/2025. Natamani kila mmoja ashinde kwenye mashindano ambayo yupo yaani Young Africans awe bingwa wa CAF Champions League...
  16. The Sheriff

    Pre GE2025 Godbless Lema azungumzia matukio ya utekaji na Wamaasai kuondolewa Ngorongoro; Atamani Simba na Yanga zisingekuwepo

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini Godbless amesema "ameona juzi kuna mbunge ndani ya Bunge ametaka Bunge lijadili masuala ya watu kupotea na kutekwa, spika anazuia mjadala wa watu kutekwa, lile halina uhalisia wa bunge. Huwezi kuwa na bunge ambalo...
  17. mdukuzi

    John Bocco kwa umri wako wa miaka 35, ukivunjika kupona nchini ni ngumu, timu yako haiwezi kukupeleka nje ya nchi kutibiwa, ungepumzika tu

    Simba waliamua kukupa kazi ili ustaafu kwa heshima ila ukaikataa hiyo heshima. Passport yako inasoma izaliwa 1989 si ajabu kiuhalisia ni 1984, ninavyojua mimi miaka 40 uliyonayo ukipata serious injury huwezi kupona kwa hospitali zetu,timu yako ya sasa haina uwezo wa kukupeleka nje ya nchi...
  18. Nehemia Kilave

    Kuna haja ya Simba na Yanga kuja na wazo moja na kujenga uwanja wakatumia pamoja zinatia aibu

    Yanga na Simba waondoe tofauti zao kwa muda wajenge Uwanja mkubwa sana na wautumie pamoja . Waige kwa Ac Milan na Inter Milan , Birmingham city na Coventry, Lazio na Roma na vilabu vingine ....ifike mahali waone aibu . Soma Pia: Yanga kujenga Uwanja wa kisasa eneo la Mto Msimbazi!
  19. Majok majok

    Michuano ya Kimataifa wawili washanyolewa bado mmoja yupo njiani, na atabaki mmoja anayejielewa

    Siku zote mpira unachezwa hadharani na sio propaganda uchwara, ukipanda mahindi utavuna mahindi na sio bangi, ukiwekeza kwenye mpira utalipwa sawasawa na ulivyowekeza. Tumeona timu 4 zinashiriki mashindano ya kimataifa msimu huu na tayari timu 2 zimeshayaaga mashindano rasmi, zimebaki timu 2...
  20. Labani og

    Wafahamu Wachezaji hatari wa Al Ahli Tripoli, Simba hawatoboi

    WACHEZAJI wa kimataifa wa Al Ahli Tripoli [emoji116][emoji91] 1. Mabululu (Angola [emoji1029]) 2. Herelinson (Angola [emoji1029]) 3. Ayoub (Tunisia [emoji1249]) 4. Mourad (Tunisia [emoji1249]) 5. Samer Jondi (Palestine [emoji1193]) 6. Manzi (Rwanda [emoji1206]) 7. Isac Mintah (Ghana...
Back
Top Bottom