simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. Tembosa

    FT: Kagera Sugar FC 2-5 Simba SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 21 Dec 2024

    Mtanange mkali sana leo. 21/12/2024. MCHEZO WA LIGI KUU TANZANIA BARA. Uwanja : Kaitaba Stadium Kagera. Mwenyeji : Kagera Sugar FC Mgeni : Simba SC ya Dar Es Salaam Muda : 10 jioni. KIKOSI. KIKOSI CHA SIMBA
  2. kalisheshe

    Machache yaliyoonekana Simba SC ikiibuka na ushindi dhidi ya Kengold

    1. Simba imecheza vizuri mno/kikubwa kipindi cha kwanza. Kongole kwa Awesu Awesu, Muzamiru yassin, Fabrice Ngoma, Kelvin Kijili na Ladark Chasambi. 2. Sub ya Okejepha, Ahoua na Mutale imeharibu mpira wa Simba kipindi cha pili. 3. Jean Charles Ahoua haitendei haki nafasi anayocheza, simba...
  3. Waufukweni

    Mechi ya Simba SC na Singida Big Stars yapangiwa tarehe, huku na Tabora United kupangiwa siku

    Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara imefanya marekebisho kwenye ratiba ya michezo miwili ya Simba SC kutokana na sababu mbalimbali za kiufundi. Mchezo wa Simba SC dhidi ya Singida Big Stars, ambao awali haukuwa na tarehe maalum, sasa umepangwa kuchezwa tarehe 28 Desemba 2024 kwenye Uwanja wa Liti...
  4. Waufukweni

    Jeshi la Polisi latoa tamko baada ya mashabiki wa Simba kuvunja viti Uwanja wa Taifa

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limeripoti fujo zilizotokea tarehe 15 Desemba, 2024, katika Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC na CS Sfaxien. Mashabiki wa CS Sfaxien walikasirishwa na mwamuzi kuongeza dakika saba, hali iliyopelekea...
  5. Waufukweni

    Rais Samia awapongeza Simba kwa kuichapa CS Sfaxien, "Simba mnaendelea kutupa furaha"

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameipongeza klabu ya Simba kwa ushindi wake dhidi ya CS Sfaxien ya Tunisia katika Kombe la Shirikisho barani Afrika. Mechi hiyo imechezwa leo Jumapili Desemba 15, 2024 jijini Dar es Salaam ambapo Simba imeshinda kwa mabao 2-1. Pia, Soma: Full Time: Simba...
  6. M

    Mechi ya leo inaviashiria vingi vya rushwa, rejea tukio la kadi ya njano ya Che Malone

    Kama we ni mtu wa mpira na sio mtu wa kuleta ushabiki kwa kila jambo utaungana nami, mfano ni tukio la kadi ya njano la Che Malone refa alipiga filimbi wakati mshambuliaji kapiga mpira kuelekea goli japo hakurenga goli, pia kama ilikua faulo kwanini hakutoa kadi nyekundu kwa Malone ambae alikua...
  7. S

    Mambo 15 niliyoyaona Simba vs CS Sfaxien ya Tunisia leo

    1. Simba ifanye tathmini upya kipindi hiki cha dirisha dogo kuhusu uwezo wa wachezaji wake wa kigeni kama kweli wanaweza kuitetea bendera na heshima ya Simba.Hadi sasa dirisha dogo linafunguliwa leo wachezaji wa kigeni wameshindwa kujitoa na kufikia hata nusu ya Kibu Dennis. 2. Tusione haya...
  8. Joseverest

    Full Time: Simba SC 2-1 CS Sfaxien | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa National Stadium | Disemba 15,2024

    Leo ndio leo kwenye kipute hiki cha Kombe la Shirikisho Africa kati ya wenyeji Simba ya Tanzania na wageni Sfaxien ya Tunisia. Hii ni Match Day 3 kwa timu hizi na mechi zilizopita wote walichezea kichapo ugenini (2-1 na 3-2). Leo kila mmoja anatafuta ushindi kufufua matumaini ya hatua ya...
  9. Waufukweni

    Kocha Simba SC, Fadlu Davids: Jean Charles Ahoua ni mchezaji mdogo sana, tumpe nafasi kujifunza

    Kocha Mkuu wa Simba SC, Fadlu Davids, amewataka mashabiki na vyombo vya habari kuacha kumwekea presha mchezaji wake Jean Charles Ahoua, akisisitiza kuwa kijana huyo bado ana safari ndefu ya kujifunza. "Niliwahi kuwaambia kuwa Jean Charles Ahoua ni Mchezaji mdogo sana kiumri, alivyokuwa anafunga...
  10. Waufukweni

    Beki wa zamani wa Simba SC, Israel Mwenda atua Yanga kwa Mkopo akitokea Singida Big Stars

    Mchezaji wa zamani wa Simba SC, Israel Patrick Mwenda, amekamilisha uhamisho wake wa mkopo wa miezi sita kutoka Singida Big Stars kwenda Young Africans (Yanga). Pia, Soma: Singida Black Stars yasema imemlipa Mwenda Tsh. 140m yamtaka aripoti mazoezini Beki huyo anauwezo wa kucheza kama beki...
  11. witacha matiku

    Yanga & Simba kwa makocha hawa asilimia 50 heshima ya nchi kwenye soka itashuka

    Umofia wana Jukwaa. Binafsi nasikitika na trend ya timu zetu kimataifa hadi sasa hamna unafuu kwa Timu zetu Kati ya Simba na Yanga. Kuna shida hasa kwenye management Simba iliwaza nini kumsajili Kocha ambae haja- prove kokote alikuwa Kocha namba 2 Raja na hakuna cha maana alionyesha kwa...
  12. choza choza

    Simba wasivimbe kiasi hicho bado ni wabovu

    Kiwango cha Simba tangu mechi ya Tabora mpaka ya leo kimedhihirisha hii timu bado ni mbovu sema tuu inajificha kwenye kichaka cha Utopolo kufanya vibaya. Washambuliaji wa Simba bado ni goigoi, viungo hawatengenezi nafasi timu inabebwa tuu na uwezo binafsi wa Camara. Soma Pia: Full Time: CS...
  13. kalisheshe

    Machache yaliyoonekana Simba SC ikitandikwa na CS Costantine

    1. Jean Charles Ahoua hana hadhi ya kuichezea Simba, dirisha dogo timu itafute playmaker mwingine 2. Upangaji wa kikosi umeendelea kuwa tatizo kwa kocha wa Simba, kuwaanzisha kwa pamoja mabeki wa kati watatu kuliwapunguzia umakini katika kutimiza majukumu yao. 3. Timu imecheza vizuri zaidi...
  14. Mtu Asiyejulikana

    Tuacheni Ujinga. Simba haijawahi hata kutoa Draw nchini Algeria. Leo Itachapwa kama Mbwa koko

    Wanasimba acheni ujinga na kutaka kuwatafutia lawama wachezaji wenu. Simba haijawahi hata kutoa draw nchini Algeria. Leo cha kufanya ni kuounguza idadi ya magoli wasifungwe magoli mengi sana maana hapo ni kupunguza idadi ya magoli tu. Simba yenyewe ni tia ndimu tia ndimu hamna muunganiko kila...
  15. Nehemia Kilave

    Full Time: CS Constantine 2-1 Simba Sc | CAF confederation cup| December 8, 2024

    Match Day , shirikisho Vikosi vya leo Simba Constantine MPIRA USHAANZA 1900hrs kwa mida ya Tanzania kipindi cha kwanza kimeanza 2' Constantine 0-0 Simba 24' GOOOAL M Hussein anafunga goli Cs Constantine 0-1 Simba 29' Camara yuko chini akipatiwa matibabu baada ya kugongana na machezaji...
  16. ngara23

    Simba wapo Algeria ya vijijini, maporini huko Kwa walima ngano

    Madhara ya kushiriki Mashindano madogo ya Shirikisho, lazima timu zinazoshiriki haya mashindano zinatoka pembezoni. Simba wapo maporini katika Jiji la Constantine Algeria ambalo ni mji wa kale ambapo walifika Roman empire Yaani Kwa hapa Tanzania ni Kama Kilwa, Ruangwa lipo Namungo, Bagamoyo...
  17. Waufukweni

    Hii Simba SC inapikwa nyiee! Fadlu Davids: Tulikipata kikosi tukiwa hata siyo sifuri, bali hasi -5. Haya ni 'Maendeleo'

    Miezi mitatu iliyopita, Kocha wa Simba SC, Fadlu Davids, aliweka wazi kuwa kikosi chake hakikuwa kimefikia kiwango cha ushindani asilimia 100. Alipoulizwa hivi karibuni kuhusu maendeleo ya timu kwa neno moja, jibu lake lilikuwa "MAENDELEO." Akizungumza kwa kina, Davids amesema: "Tulikipata...
  18. Mkalukungone mwamba

    Yanga, Simba na Azam zapata shavu Russia

    Klabu za Simba, Yanga na Azam zimepata fursa ya kucheza mechi za kirafiki na klabu za Ligi Kuu ya Russia, pamoja na kuweka kambi katika kipindi cha mapumziko ya ligi. Fursa hiyo imepatikana kutokana na ziara ya Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Damas Ndumbaro nchini humo na alikutana na...
  19. holoholo

    Simba kushinda Algeria ni ndoto za mchana

    Kwa taaluma yangu ya uchambuzi na kiimani, naiona simba kesho kutwa ikichapwa si chini ya goli mbili, wana safu nzuri ya ulinzi,viungo mahiri na washambuliaji hatari sana. Kama tunavyojua Simba ina washambuliaji butu anza na Steven Dese Mukwala na Lionel Ateba huku viungo wao tegemezi ni...
  20. Allen Kilewella

    Jemedari said: wachezaji toka nje ni Kwa ajili ya mechi za kimataifa

    Jemedari said kasema uwezo wa wachezaji toka nje waliosajiliwa Simba na Yanga , uhalali wao wa kusajiliwa unatakiwa uonekane kwenye mechi za kimataifa na siyo kwenye mechi za ndani ya nchi. Ana hoja, asikilizwe.
Back
Top Bottom