Nimekua nikisoma kwenye mitandao kuwa Simba iligomea mechi mimi nakataa na sababu zangu ni kwamba mechi haikuchezwa.
Hili mgomo uhalalishwe ni pale bodi ya ligi ingeendelea na msimamo wake wa awali kuwa mechi ipo palepale afu wapeleke waamuzi na kamisaa uwanjani na waisubiri simba dakika 30 na...