Kwenye Socia media za Kenya na hata vyombo vyao vya habari kama Tv na Radio station asilimia 80 ya mijadala na Mada zao ni siasa za Kenya. Asubuhi ukifungulia station zao Radio na Tv ni mada za siasa za Kenya.
Tanzania asilimia 95 mada ni Yanga na Simha hizi ni mada za kutwa nzima asubuhi hadi...
Kwa kitendo chao cha kumkanda utopolo kwake tena dar es salaam kwenye uwanja wa kapeti wakiwa na mashabiki wao na wachezaji wao wote muhimu, tunasemaje Tabora United mnastahili heshima ya kuitwa timu kubwa hapa Tanzania. Tukumbuke timu kubwa hapa Tanzania zilikuwa ni mbili tu: Simba SC na Ihefu...
Wakuu,
Mmwaona huko mashabiki wa Simba? Waazisha dozi ya kulamba ASALI kutwa mara tatu wakiendeleza masimango kwa Watani za Yanga baada ya kupiwa bao 3-1 na Tabora United hapo jana.
Pia, Soma:
+ Rais Samia aipongeza Tabora United kwa kuifunga Yanga bao 3-1
+ Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora...
Nimeangalia mwenendo wa Yanga inaonyesha kiwango kinazidi kushuka kwa kasi kubwa sana, hata inaposhinda unakuta inashinda kwa kupambaaaaana kama bao la mzee, kagoli kamoja.
Hata game ile aliyocheza na Simba tuwe wa kweli maana ingechezeshwa na refa makini kama Aragija Simba ingeshinda kwa goli...
Hata kule ulaya mechi za katikati ya wiki huwa zinachezwa usiku tofauti na za week end ili kuwapa mashabiki wengi kuburudika.Sasa nyinyi mechi za katikati ya wiki mnacheza saa kumi jioni hii mnapelekea kujipunguzia mapato na kuwanyima burudani mashabiki wengi Kutokana na muda huo kuwa...
Aliyebuni hiki kitu,mbinguni moja kwa moja
Sehemu ninayoishi kuna mashabiki wengi sana wa Simba,mashabiki wa Simba kwa pamoja wana kikundi chao kiingilio ni 5000 na michango ya 1000 kwa mwezi.
Mwamba mmoja miongoni mwao alifariki na hana ndugu huku.
Simba waliubeba msiba kama wao hakuna kitu...
Anafurahi tu anavyogonga mbele na nyuma kwa magaidi. Amekaa tu anapiga stories na washkaji kitaa. Wanampa tano na kupiga naye stories jinsi anavyo fanya micharazo.
Kwenye mechi kati ya Mashujaa na Simba ziliongezwa dakika sita baada ya kukamilika muda wa kawaida wa dakika 90.
Ndani ya dakika 6 za mchezo Mashujaa wakawa wanapoteza muda na kusababisha Mpira kuendelea na Simba kufunga goli sekunde 47 baada ya dakika 6 zilizoongezwa. Yanga wakalalamika Sana...
Mm shabiki kindakindaki wa yanga kuanzia leo nahamia Simba rasmi wana Simba naomba mnipokee kwann leo refa hajatubeba wakati mechi zote refa huwa anatubeba
Wana Simba naomba mnipokee nimeumia sana yanga kufungwa
Mechi ya Simba na Mashujaa ilikuwa ngumu, lakini sub alizokuja kufanya kocha sijaelewa ilikujaje kuleta matokeo, maana galfa umiliki ukahamia kwa Simba.
Najua wengi walishtuka Shabalala kutolewa halafu anaingia Nouma, Ateba alitolewa tukaanza kuwa na mashaka na Mukwala ni kama kikosi...
Habari.
Sina Mda kuanza kutoa takwimu Mara kuchambua Mchezo wa Leo Ili kuthibitisha hio heading ya Uzi.
Ila hizi ni hisia zangu tu..Narudia hizi ni Hisia Zangu sio kimbinu wala Nini!
Simba at Draw Leo na Mashujaa.
Good morning 🇵🇹
Kama Sisi wenyewe tu (Simba SC) wale tuliokuwa tukidhani ni Watoto wetu Wapendwa wataweza Kutulegezea tukikutana nao lakini Wote wanatudindia tu huku wakitukosakosa Kutufunga na mara nyingine Marefa huwa wanatubeba tusije Kuadhirika ndiyo leo tumuombee Mtoto Mnafiki aweze Kumpiga Baba yake...
Kocha uyu kwa miaka yote aliyokaa coastal union ajawai kupata ata sare mbele ya Simba, lakini akikutana na timu nyingine unaona anapata matokeo!
Uyu jamaa uwa ni mwanachama mwaminifu wa Simba anawasaidia sana kupata point kwenye timu yoyote anayoifundisha, aiwezekani Kila mechi ukose mbinu...
Wakuu huko mtandaoni nimekutana na hii video imenipa utata, je ni kweli hawa wazungu walikuwa wanashangilia goli la yanga dhidi ya simba? Msaada tafadhali katika kupata uhalisia wa video hii wakuu
Alishinda mechi moja kati ya 15, Maritzburg ikashuka daraja, baada ya hapo akawa Msaidizi hadi kaja kuibukia huku, sisi tunajua quality yake ni ndogo, huwezi kumlinganisha na Gamondi ni ndogo mno.
Mimi ningepewa ile Pamba nikae nayo wiki moja tu, nawafunga wale"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.