simba

  1. Tetesi: Simba Sports Club kuhamia ligi ya Zanzibar mwakani: Move imeanza

    Za ndani saana, utaribu wa mageuzi makubwa ya kimpira utaanza baada ya dirisha dogo January. Club kubwa barani afrika inameanza hatua mahsusi za kuweka base kubwa ya kimpira visiwani Zanzibar. Kandarasi hii na maamuzi haya yanakuja baada ya kubaini kuwa kuna wahuni wanaharibu mpira bara na...
  2. Press ya Wazee wa Simba Imeniumiza sana kama Taifa tuna safari ndefu

    Habari kiukweli tuna safari ndefu kama Taifa. Juzijuzi yameitishwa Maandamano hakuna alietokeo Maandamano ambayo Lengo kubwa lilikua ustawi wa watu ambao ni Watanzania. Leo hii Team imefungwa imeitisha press na inatoa Tamko😂😂 wakaongeza Kuna watu walikua wamekasirika wanataka kuandamana kisa...
  3. Wana Simba msiwe wepesi wa kusahau

    Kuna video inayo tembea mitandaoni ikimuonyesha msemaji wa Simba akihojiwa na wanahabari. Akiwa anajibu maswali juu ya malalamiko katika michezo iliyopita ya Simba dhidi ya Azam na Dodoma JiJi juu ya uamuzi mbovu wa marefa uliopelekea wao Simba kunufaika alisema Pale Tff Kuna Sanduku la maoni...
  4. M

    Dodoma Jiji na Azam walinyimwa haki na marefa, leo Simba wanalia dhulma waliofurahia!

    Ile penalti waliyopata Simba kule Dodoma haikuwa halali, lakini mwamuzi aliwapa faida kwa kuwapa pointi 3. Timu ya Dodoma ililalamika, na kocha wao, Mexime, alionyesha kutoridhika. Lakini msemaji wa klabu aliwaambia waende TFF kama wana malalamiko zaidi! Mechi dhidi ya Azam kule Zanzibar nayo...
  5. Uongozi wa Simba mlifanyie hili kazi

    Picha hii inaonyesha tangazo kuhusu kifo cha Majidi Mpemba, ambaye alikuwa mwenyekiti wa tawi la klabu ya Simba. Inaelezwa kuwa amefariki tarehe 19 Oktoba 2024 kutokana na msongo wa mawazo (presha) baada ya tukio la Yanga kupewa goli batili na Simba kunyimwa penalti mbili wazi na za halali...
  6. P

    Man city leo kafunga kama la Simba, mbona limekubaliwa?

    Inabidi tujiulize kidogo, mbona goli hili limekubaliwa? Kwanini la Simba jana limekataliwa? Nb: mimi ni yanga
  7. Mwanasimba mwenzetu micky jnr ameumia sana simba kukandwa.

    I salute you kinsmen. Huyu mwandishi kanjanja na tapeli tapeli kutoka Ghana na shabiki kindakindaki wa simba yetu aka chupi upande naona wazi kaumia sana na matokeo ya jana sanaa. Kumbuka aliahidi hatokuja kuwapost yanga kwa lolote, inshort amekuwa akiweka habari negative tu za yanga jla zile...
  8. Simba na Taifa Stars: Changamoto na Nini Kifanyike Kuleta Mabadiliko ya kweli

    Kama wewe ni shabiki wa mpira wa ndani na nje, ni rahisi kugundua tatizo kubwa linaloikabili timu ya Simba, ambalo pia linaathiri timu yetu ya taifa, Taifa Stars. Shida kuu iko kwenye safu ya ushambuliaji—kimsingi, Simba haina makali mbele. Kazi kubwa inafanywa vizuri sana kutoka nyuma hadi...
  9. Safari hii viongozi wa Simba wametu win mashabiki.

    Mara baada ya mchezo, viongozi wa Simba wakakimbilia mitandaoni kutuhadaa kwa kumtupia lawama goal keeper na Mwamuzi wa mchezo. Wamesahau kuwa yanga jana walituongoza kwa kila kitu kuanzia Possession hadi idadi ya nafasi zilizo tengenezwa kwani walicreate clear chance 4 za magoli ni uzembe wao...
  10. M

    VIONGOZI AINA YA MAGORI PALE SIMBA NI TATIZO LA KWANZA KWENYE MANAGEMENT, WANAZO AKILI ZA KIZAMANI NA MAMBO YA KIZAMANI!

    Niliwai kusema ya kuwa Simba inaongozwa na wazee ambao Awana Tena ubunifu wa kuipeleka timu mbele bali wamebakia na mawazo ya kizamani na akili za kizamani awabadiliki kulingana na wakati bali wamekwamia hapo walipo Awana vision yoyote ya kuivusha Simba! Viongozi awa wamekuwa wakicheza sana na...
  11. L

    Simba wamuongeze dirisha dogo Gerald Gwalala, Mtenje Albano na Kelvin Nashon ili wamsaidie Yussuf Kagoma

    Uchezaji wa Yussuf Kagoma ambaye alionekana kumudu kiungo cha chini unafanana sana na viungo hawa akina Gerald Gwalala wa Coastal Union, Kevin Nashon wa Singida Black Stars na Mtenje Albano wa Dodoma Jiji. Jana kipindi cha pili tumeelewa sana alipoingia Okajepha, alikuwa akicheza sana nyuma...
  12. KESHO YA SIMBA NI BORA KULIKO LEO YA YANGA

    Ni kweli Simba kafungwa mechi 4 mfululizo na kapoteza ubingwa mara 3 mfululizo lakini haiondoi ukweli kwamba muelekeo wa ni sahihi na wanakaribia kuupata ule ubora wao wa misimu minne iliyopita. Simba kwa sasa haifungwi kwa makosa ya kiufundi ya Timu nzima bali inafungwa kwa makosa ya...
  13. Simba nayo udhamini wa GSM? Mbona vipigo mfululizo

    Hawa mashabiki na viongozi ndo Huwa wanalalama eti Yanga anakuwa bingwa Kwa kuzifunga timu kwenye ligi Kwa sababu zinadhaminiwa na GSM Sasa wao kila mechi kipigo Wao watwambie kama GSM ashaanza kuwadhamini Tengenezeni timu Acha kulia Leo mnalia refa Mara kipa Camara kauza mechi Zile 5 mlisema...
  14. Kayoko ni mwamuzi mbovu ila kwenye hii derby kila timu imeathirika na maamuzi yake ya ovyo tofauti na Simba wanavyoona ni wao pekee

    Ukipita mitandaoni na mitaani, utaona wanasimba wanalalamika wameonewa na mwamuzi sababu kubwa zao ni 1) wamenyimwa penati mbili za Kibu, na faulo iliyozaa goli haikuwa faulo ya maana. Kwenye swala la penati ambayo ni halali ni moja tu na sio mbili kama inavyodaiwa. Ile moja ni faulo...
  15. Kombe Neno "Utopolo" maana yake ni Kisu Kikali cha Kumchinja Mnyama Simba!

    Ukiwa Mwanasimba uko mitaani ukatamka neno utopolo basi unacheka, unafurahi , unadharau na kubeza , simba ikija uwanjani inaanza mbwembwe Debora anazungusha watu dimba la katikati watu wanakaanga chips shwaaa, raha iliyoje, mara Zimbwe Jr anageuka kwa madoido watu weweee, Kibu anaruka ruka...
  16. D

    Simba mechi 6 zote mnabebwa na Refa hamna kelele. Leo mbebwe na kupoteza kisha kelele?

    I will be short Simba since community shield Refa anawabeba tu . Magoli yote ya offside na penalty feki amna kelele. Leo mechi na yanga mmebebwa sana. Mnapoteza Refa ndo tatizo. Akili za makolo sijui zipo wapi? Football usipo kuwa fair . Uwezi jua quality yako. Leo yanga Kanyimwa penalty...
  17. Mussa Camara wa Simba ana mambo ya kitoto sana. Fadlu aanze kumpa nafasi Ally Salum kumtoa wenge

    Huyu mchekeshaji ana mambo ya kitoto sana. Toka afungwe zile goli mbili za kizembe imani imeshashuka sana. Baada ya kufahamu kwamba ni mchekeshaji kama kina Steve Nyerere, nimegunduwa kuna muda anakosa seriousness. Ana mambo ya kitoto not yet matured. Kocha Fadlu awe anampa nafasi Ally Salum...
  18. Pre GE2025 Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mtaa zilivyofanyika kwenya mechi ya Simba Vs Yanga

    Mashabiki wa mpira wa miguu waliamua kutumia mabango mbalimbali wakati wa mchezo wa Simba na Yanga kupata picha za ukumbusho nje ya Uwanja wa Benjamini Mkapa ambazo zimetumika pia kutangaza uchaguzi wa Serikali za Mtaa. Mashabiki wa Simba na Yanga wametumia mchezo wa Derby ya Kariakoo leo...
  19. Magori bhana yaani unaacha Kumlaumu Beki Kelvin Kijiri kwa Kujifunga, Wewe kwa Kutuzuga jinsi mnavyoiharbu Simba SC umekimbilia Kumlaumu Kipa Camara

    Nimetizama kiumakini kabisa Goli la Yanga SC na sijaona na sioni kwanini Poti wangu kutoka Mkoani Mara (Musoma) Crescentius Magori umekimbilia Kumlaumu Kipa Camara. Magori ingekuwaje kama Kipa Camara asingeenda Kuupangua ule Mpira kwa Kusimama na Goli kuingia? Si ungemuua kabisa Kijana wa Watu...
  20. Niliposema hapa hapa JamiiForums kuwa Simba SC isipoteze muda Kucheza na Yanga SC na iwape tu Points zao 6 nilikosea au nilikuwa sawa?

    Na leo narudia tena kusema hicho hicho kuwa Simba SC iwaombe TFF iwape Yanga SC alama (points) zao Sita (6) kwani kamwe kwa aina ya Viongozi Wanafiki na Virusi Watano walioko Klabuni akiwemo Msemaji Ahmed Ali Simba SC haitoifunga kamwe Yanga SC. Kwa kujiamini kabisa leo narudia tena kusema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…