simba

  1. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Simba walianza kuuza Tiketi na Jezi wiki 5 nyuma. Yanga watumia wiki 1 tu kwa mujibu wa Manara

    Kwenye hii video Manara anadai kuna Fact ambayo haisemwi kuwa Simba ilianza kuuza jezi na tiketi wiki 5 nyuma. Yanga wametumia wiki 1 tu kuuza tiketi na jezi na zimeisha, huku akisema kuna propaganda ambazo yeye alikuwa anatumia huenda ndio Simba wametumia kuonesha wamemaliza tiketi zao( Sold...
  2. JamiiForums Tanzania Prediction: Simba vs APR; Yanga vs Green Arrow; Yanga vs Simba

    For the upcoming match between Simba SC (Tanzania) and APR (Rwanda) on August 3, 2024, let's consider the current form, previous performances, and other relevant factors to make a predictive score. Given that Simba SC is one of the top teams in Tanzania and has a strong squad, while APR is also...
  3. JamiiForums Tanzania Kibu Denis leo amefanya mazoezi na wachezaji wenzake kuelekea Simba Day

    Mchezaji wa Simba SC Kibu Denis leo ameonekana katika mazoezi na timu yake akiendelea kujiweka sawa kuelekea katika kilele cha Simba day itakayo fanyika kesho. Kibu awali hakuoneka akijiunga na wachezaji wezake wa Simba wakati wakijiandaa na msimu mpya. Na tetesi zilizokuwepo ni kuwa alikiwepo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kipa mpya wa Simba

    Simba SC yamtangaza kipa wake mpya ambaye ni Moussa Camara akitoka Guinea katika clabu ya AC Horoya kipa huyo atakua anaidakia timu ya Simba SC kwanzia sasa.
  5. JamiiForums Tanzania Tafadhali Uongozi wa Simba SC muonyeni Dogo Kipa Ali Salim aache tabia yake mpya aliyoirithi kwa Rafiki yake wa KMC FC ya 'Kutuumizia' Makipa Wetu

    Alikuwa ameanza vizuri tu, ila nae sasa kawa Mpuuzi wa kupenda yale mambo yetu ya Kienyeji / Kuroga kwa Kuumiza Wenzake. Mwambieni huyu aliyekuja Leo yaani Kihistoria tu nchi aliyotoka kama hujui Kuroga / Kupuliza hupewi ng'o 'Passport' ya kwenda nje ya hiyo nchi nikimaanisha kuwa amekuja akiwa...
  6. JamiiForums Tanzania Simba sc yatambulisha goli kipa mpya

    ๐Ÿ“ ๐Ž๐…๐…๐ˆ๐‚๐ˆ๐€๐‹: Klabu ya Simba Sc imemtangaza nyanda Moussa Pinpin Camara kama mchezaji mpya klabuni hapo akitokea klabu ya Horoya AC ya Guinea. Camara (25) raia wa Guinea ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ณ mwenye urefu wa sentimita 185 amesaini mkataba wa miaka miwili utakaombakisha klabuni hapo mpaka Juni 2026 na tayari yupo...
  7. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC na wa wana Simba SC wote tafadhali tuwaangalieni kwa Jicho la Umakini sana hawa akina Ommy Dimpozi na Hamisa Mobeto

    Mimi binafsi hata iweje kwa kujijua Kwangu ni mwana Simba SC kamwe siwezi kuwa na Ukaribu wa Mashirikiano ya aina yoyote yale na Mtu wa Yanga SC. Sasa inakuwaje Watu kama akina Ommy Dimpoz na Hamisa Mobeto ambao hadi naambiwa hata huwa na Ukaribu na Watu muhimu tu na wakubwa ndani ya Simba SC...
  8. JamiiForums Tanzania SOLD OUT: Nunua bia nne ujipatie ticket ya Simba Day

    Hii ndio ile Sold out tunayotamba nayo, unanunua bia 4 kisha unajipatia ticket ya bure ya Simba Day.
  9. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Tiketi za Simba day ziliuzwa kwa mafungu na ulanguzi ili ziishe mapema

    Kwa mujibu wa Haji Manara Simba waliwatuma watu wanunue tiketi kwa mafungu ili waje wazilangulishe siku ya mechi ili watabgaze Sold out, asena sold out ya Simba ni ya mchono. Nachojiuliza taarifa hiyo ni kweli? Kama kweli Simba watakuwa wanadanganya ili iweje?
  10. L

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba mashabiki tumetimiza wajibu wetu kununua tiketi zote, tafadhalini sana naomba msituangushe, Yanga wao hadi supu za bure ndio wanajaa

    Msimu uliopita tumekwazika sana, pengine katika maisha yetu ya soka hasa kwa vijana wa kizazi hiki wasioijua simba msimu uliopita tulipoteana sana, sisi ndio tumewafanya Yanga waonekane wako juu kutokana na kuhujumiana, kusalitiana, migogoro ya wenyewe kwa wenyewe nk. Hata hivyo mambo yote hayo...
  11. JamiiForums Tanzania Safi sana Uongozi wa Simba SC kwa 'Kumkomoa' hivi Kibu Denis

    Klabu ya Simba SC ( kupitia Msemaji wake ) imesema kuwa kwa Klabu yoyote ambayo inamtaka Kibu Denis basi Dau la Kumsajili ni Dola za Kimarekani Bilioni Moja tu. Si mnajifanya Wajanja kwa kutaka aende Norway kwa muda kisha Dirisha dogo arejee Kwenu Mafurikoni sasa Price Tag yake ni Dola hizo za...
  12. JamiiForums Tanzania Rekodi: Simba yafanikiwa kujaza uwanja siku tatu kabla ya Simba Day

    Hatimaye kwa mara nyingine na kwa mara ya tatu mfululizo timu ya Mo Dewji imenyakua kombe la kujaza uwanja kama kawaida katika mwanzo wa msimu.Katika hali ya kustaajabisha na ya kusikitisha timu hiyo kwa mara ya tatu mfululizo baada ya kukamilisha kombe la kujaza uwanja mwanzo wa msimu,Huwa...
  13. JamiiForums Tanzania Next Pre Season 2025/26 Simba vs Yanga kwa Neutral Ground

    Ifike pahali hawa Vibonde Yanga na Simba ipigwe mbugi hata kama ya pre season ama kirafiki kwa neutral ground, namanisha sio bongo lets say ngoma inapigiwa Kasarani huko ama kwa Madiba na ikibidi Ulaya Ulaya. Wanaogopana mbona wenziwe huko utasikia City anakichapa na Barca, mara Chelsea vs Man...
  14. JamiiForums Tanzania Inawezekana simba ikatangaza ticket Sold out siku 2 kabla

    Kwa mwendo WA ukataji ticket wa mashabiki wa simbasc ulivyokua na Kasi wanaeza kuuza ticket zote siku mbili kabla ya Tamasha, kwasasa bado 15% tuu wauze ticket zote, wakati kule upande wa Yangasc bado mambo magumu! Tena sanaaaa Mimi Kwanza naona kinqchowaponza zaidi yanga kuna mvutano kwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Simba queens yasajili viungo kutoka Yanga princess

    kikosi cha timu ya wanawake simba queens kimesajili viungo wapya kutoka timu ya yanga princess. viungo hao washambuliaji ni Precius Christopher, kiungo mkabaji Saiki Atinuke na mlinzi wa kushoto Winkate Kaari. mambo ya ubaya ubwela
  16. JamiiForums Tanzania Kibu Denis atapanya zaidi ya milioni 200 Ulaya akisaka timu, aangukia pua! Awaomba radhi Simba

    Hivi vilabu kuna vizee vina midomo michafu,vikikuombea dua baya hutoboi kama hauko vizuri. Ukitaka kumchokoza mtu wa Kigoma muite Mrundi,atakypiga ngumi,watu wa Burundi wana stress muda wote,wana msongo wa nawazo,wanawaza vita,wanawaza kutorokea ulaya kama wakimbizi. Kibu Denis ana jinamizi au...
  17. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Yanga umuonye Haji Manara, utoe tamko tafadhali hatutaki shida za Simba Yanga

    Yanga ni taasisi inayoheshimika inayojiheshimu Sidhani huuu uhuni unaotokea kwenye redio za heshima ukifanywa na Haji Manara kama unakubalika Haiwezekana taasisi moja ikawa na wasemaji wawili Ali Kamwe ana haki kuimba kujiuzulu hamuwezi kumkalia kimya mpaka sasa Haji akitamka yeye ndie...
  18. JamiiForums Tanzania Utabiri: Msimu wa 2024-25, zote Simba na Yanga zitafika fainali za mashindano ya CAF

    Kwa miaka ya hivi karibuni nimekuwa na utamaduni wa kutoa utabiri wangu kuhusu mafanikio ya Simba na Yanga mwanzoni mwa msimu. Kwa kiasi kikubwa nakuwaga on target. Kwa msimu unaoenda kuanza wa 2024-25, natabiri kuwa timu ya Simba itafika fainali ya CAFCC na Yanga pia itafika fainali ya CAFCL...
  19. JamiiForums Tanzania Manara tukiwapiga Simba chini ya Goli nne nakuja hapa SportsArena kuwapa kila mtangazaji milioni moja

    โ€œWachezaji kila ukiwauliza wanasema wao wanawaza Agosti 8 tu, nawaambia kabisa โ€˜Makoloโ€™ wasilite timu uwanjani, yani wale tukiwapiga chini ya nne nakuja hapa SportsArena kuwapa kila mtangazaji milioni moja moja.โ€ โ€”โ€” Msemaji wa Yanga Sc, Haji Manara
  20. JamiiForums Tanzania Kamwe atangaza ratiba ya Wiki ya Wananchi

    Wakuu, Kumbe na kwenye soka kiki ni dili! โ€ฆ Tumewaambia kilele ni August 4, lakini kama ilivyokuwa utamaduni wa Yanga sisi tuna Wiki ya Wananchi ambayo kilele chake ni ndiyo August 4, na hiyo wiki ndiyo inaanza leo (Julai 29, 2024) Timu itawasili leo saa tisa usiku kutoka Afrika Kusini uwanja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ