simbachawene

George Boniface Taguluvala Simbachawene (born 5 July 1968) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Kibakwe constituency since 2005.He held the post of the Minister of State in the President’s Office responsible for Regional Administration, Local Government, Civil Service and Good Governance from November 2015 to September 2017. He resigned from his post on September 7 2017 after his name was implicated in the Minerals report from his time in the Ministry of Energy and Minerals.On 21 July 2019, he is assigned as the Minister of State in the Vice President's Office.

View More On Wikipedia.org
  1. Suley2019

    Simbachawene: Kati ya majambazi 10 wanaokamatwa, 3 wanatoka gerezani

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema katika operesheni ya kuwasaka majambazi inayoendelea nchini kati ya majambazi kumi wanaokamatwa mitaani, watatu wanatoka gerezeni. Amesema kuwafunga majambazi hao hakusaidii sana kwa sababu wanarudi mitaani na kuendelea kufanya...
  2. Replica

    Simbachawene: Kushusha kiwango cha Faini kwa Bodaboda haina Maana wavunje Sheria. Asema kimya Kimetawala kwenye ujambazi

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Simbachawene akiongea mbele ya Rais Samia amesema pamoja na uamuzi mzuri wa kushusha kiwango cha faini kwa Bodaboda haina maana kwa vijana kwa vijana watumie nafasi hiyo kuvunja sheria ya usalama barabarani. Simbachawene amesema pamoja na jitihada zinazofanywa na Jeshi...
  3. Idugunde

    Waziri Simbachawene, sio kila Mtanzania ana gobole kama la Mzee Machemba

    Miaka ya themanini baada ya vita vya Kagera mikoa ya kanda ya ziwa ilishuhudia wimbi kubwa la uvamizi wa kutumia siraha. Nilikuwa najitambua japokuwa nilikuwa mdogo kiumri. Mtaa na kijiji nilichoishi alikuwepo mzee mmoja alikuwa na uwezo kidogo na kila mtu alitambua kuwa alikuwa akimiliki...
  4. Rufiji dam

    Waziri Simbachawene acha kuingiza raia kwenye ulinzi. Polisi wako wanafanya nini?

    Hivi sasa kuna migogoro kila mahala juu ya kuwepo kwa ulinzi shirikishi. Mfano mtaani kwangu mwenyekiti wa mtaa ambaye ni wa CCM kawa mwizi kabisa maana analazimisha kila mkazi wa kitongoji mwenye nyumba alipe Tshs.10,000 kwa mwezi suala ambalo analibeba kama vile ni kesi. Sasa hivi anatishia...
  5. Chachu Ombara

    Waziri Simbachawene: Mabadiliko ya kisera, chanzo cha makazi mapya ya Polisi kutotumika tangu 2018

    SERIKALI imetaja sababu za kutokutumika kwa miradi ya nyumba za makazi ya maofisa na askari polisi licha ya kukamilika kwa miaka mitatu iliyopita. Nyumba hizo ni zile za ghorofa zilizoko Mikocheni na Kunduchi mkoani Dar es Salaam, ambazo ujenzi ulianza mwaka 2014 na kukamilika mwaka 2018 chini...
  6. 2019

    Asante Simbachawene kwa ufafanuzi kuhusu wakimbizi wa Msumbiji

    Kiukweli ni ngumu sana kuchambua kati ya mkimbizi na gaidi,nani anaweza kuwachambua? Msumbiji wilaya moja ndio ina magaidi kwanin wanamsumbiji wasikimbilie maeneo mengine ya nchi yao? Kuwakubali wakimbizi wa Msumbiji ni kukubali kuishi na 🐍 siku yoyote atakung'ata tu. Chanzo:Waziri wa mambo...
  7. J

    Balozi Simbachawene: Watanzania mnaokuja Kenya hakikisheni mmepima Corona ndani ya saa 72 na mna vyeti

    Balozi wa Tanzania nchini Kenya Dr. John Simbachawene amewataka Watanzania wanaosafiri kwenda nchini humo kuhakikisha wanafuata masharti ya nchi hiyo kwa wageni. Masharti hayo ni pamoja na kupima Corona katika muda usiozidi saa 72 na kuwa na vyeti vya uthibitisho. Chanzo: ITV habari Maendeleo...
  8. dubu

    Kuna Video iliyokuwa ikionesha Polisi/traffic wa Inyala, Mbeya wakimshusha kwa nguvu dereva wa lori. Polisi wadai amekufa kwa homa ya mapafu

    Salaam wakuu, Kumekuwa na video mitandaoni ikionesha polisi/traffic wa Inyala, Mbeya wakimshusha kwa nguvu dereva wa lori na kumuangusha chini, na baada ya hapo imeripotiwa dereva huyo amefariki. Tunaomba mamlaka husika itolee majibu sintofahamu hii, na ni nini kinachopelekea matumizi ya nguvu...
  9. Miss Zomboko

    Simbachawene aagiza kukamatwa kwa Askari 5 wa Uwanja wa JNIA kwa uhalifu wa kusafirisha binadamu

    Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene ameagiza kukamatwa kwa askari watano katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kutokana na kushiriki matukio ya kihalifu. Agizo hilo linakuja siku chache baada ya kufukuzwa kazi kwa askari wanne wa jeshi hilo kutokana na...
  10. Barbarosa

    Kangi angalau alijaribu kuwadhibiti ST, huyu Simbachawene hamna kitu labda mengine!

    Kama wewe ni mtumiaji na msafiri utakubaliana na mimi kwamba wavunjaji wakubwa wa Sheria za barabarani ni Serikali, magari ya ST hayafwati Sheria zozote, hayasimami kwenye taa, yanatanua, huko kwenye kibao cha 50 km/saa wanakwenda wanavyotaka, angalau Waziri aliyepita alikuwa anadili nao lakini...
  11. B

    Tathmini yangu fupi kuhusu Baraza Jipya la Mawaziri

    Baada ya wanachi wa Tanzania kuchagua maendeleo ya kijani nchi nzima, kwa kuwapigia kura za kutosha wagombea wa CCM na kuufutilia mbali upinzani wa kupinga maendeleo ya nchi yetu. Wakati napitia matokea ya sehemu mbalimbali nikapata fikra pevu za kuangalia namna baraza la mawaziri litakavyokuwa...
  12. M

    Waziri Simbachawene saidia kadhia hii

    Kuwa na gari ya pickup Tanzania ni uhalifu why this? Nimeshuhudia mwenyewe jinsi polisi wanavyosimamisha gari yoyote ya kubeba mzigo barabarani kutoka dar mpaka mwanza inavyosimamishwa na kila askari aliyopo karibu na barabara kana kwamba gari hiyo imeibiwa ama imebeba vitu vya wizi...
  13. Miss Zomboko

    Simbachawene: Sina maelekezo ya kuzuia mikutano ya vyama vya siasa na wala sijawahi kupewa hicho kitu

    WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amesema hana maelekezo ya kuzuia mikutano ya vyama vya siasa kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba, mwaka huu. Akizungumza na Nipashe jana katika mahojiano maalum kuhusu mikutano ya vyama vya siasa kama inaruhusiwa kufanyika...
  14. M-mbabe

    Kurejeshwa kwenye Cabinet kwa mawaziri Simbachawene na Mwigulu - tatizo ni bulb au holder?

    Kama tunavyokumbuka, wakati mawaziri hawa wakiondolewa walikuwa branded kama "wazembe" na walikuwa almost criminalized na mamlaka ya uteuzi. Mamlaka ya uteuzi imefanya u-turn na kuwarejesha kwenye cabinet with pomp. Maswali ni mengi kwa kweli. Sina uhakika kama majibu yapo ya kutosha. Jee...
  15. J

    Simbachawene: Serikali kuangalia upya utaratibu wa kuanzisha Makanisa, Wachungaji watapaswa kuwa na Shahada ili kupunguza "Vibanda Imani"

    Waziri wa mambo ya ndani Mh Simbachawene amesema kufuatia vifo vya watu 20 kwenye Huduma ya Mwamposya huko Moshi, serikali itaangalia upya utaratibu wa kusajili hizi Huduma. Simbachawene amesema Wachungaji wanaoanzisha Huduma za kiimani watapaswa kuwa na shahada ili kupunguza " Vibanda Imani"...
  16. beth

    Arusha: Polisi waua majambazi watano. RC Gambo atoa pongezi

    Kamanda wa Polisi mkoani Arusha, Jonathan Shanna amesema kikosi cha jeshi la polisi Mkoani humo kimewaua majambazi sugu watano wakati wakijibizana risasi na polisi na kuwakuta na silaha aina ya Shotgun Pump Action 32265,Chinese Pistol,Bastola 1 bandia,risasi 11 pamoja na simu 2 & pikipiki 3...
  17. Chagu wa Malunde

    Kauli yenye akili ya Simbachawene: Mh Rais mimi sina nyota hata moja hivyo jukumu la kuvisimamia vyombo vya dola ni lako Amiri Jeshi mkuu

    Naomba niweke wazi hapa nahitaji kueleweshwa juu ya hili suala. Katika hotuba yake Waziri wa mambo ya ndani alidokeza juu ya utawala ndani ya wizara ya Mambo ya ndani, akadai hana nyota na wala yeye si Amiri jeshi mkuu. (Hili nakubali asilimia mia). Hivyo ameonyesha wazi kuwa hatakuwa...
  18. Nzelu za bwino

    Hongera Waziri Simbachawene, lakini kuwa makini na Jeshi la Polisi

    Nakupongeza kwa kuteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi. Kumbuka Wizara yako ndio Wizara inyohusika na kusimamia haki za msingi za maisha ya Watanzania ya kila siku. Pia ndio Wizara inayowajibika kusimamia usalama wa Wananchi na Mali zao. Hivi karibuni kumekuwa na shutuma nyingi dhidi...
  19. Chagu wa Malunde

    RPC Mwanza naomba uingilie hili suala ili haki ipatikane

    Natoa ombi hili kwako maana wewe umekabidhiwa jukumu hili la kulinda usalama wa raia na mali zao kama kamanda wa mkoa. Tukio hili baya lilitokea tar 26/10/2019 ndani ya ofisi ya kata ya Kahama wilaya ya ilemela Mkoa wa Mwanza. Watuhumiwa waliteswa na Mwanajeshi na Migambo kwa idhini ya Mtendaji...
  20. Roving Journalist

    Ikulu Dar: Rais Magufuli amemteua George Simbachawene kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Mussa Zungu apewa Wizara ya Mazingira

    Matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu Jijini Dar es Salaam yatawajia muda mfupi ujao kupitia vyombo vya habari vya Redio, Televisheni na Mitandao ya Kijamii. Aidha, waweza kutazama kupitia Youtube ya IkuluMawasiliano. ====== UPDATES: Rais amemteua Mussa Zungu kuwa Waziri wa Muungano na...
Back
Top Bottom