Kamanda wa Polisi mkoani Arusha, Jonathan Shanna amesema kikosi cha jeshi la polisi Mkoani humo kimewaua majambazi sugu watano wakati wakijibizana risasi na polisi na kuwakuta na silaha aina ya Shotgun Pump Action 32265,Chinese Pistol,Bastola 1 bandia,risasi 11 pamoja na simu 2 & pikipiki 3...