simiyu

Innocent "Namcos" Simiyu (born 24 April 1983) is a former Kenyan rugby union player who captained the Kenya national rugby union team and the national rugby sevens team. In the World Rugby Sevens Series, Simiyu has represented Kenya in 121 matches scoring 321 points. At club level he played for Impala Saracens and Kenya Harlequin.
On 17 October 2016, he was appointed as head coach of the Kenya national rugby sevens team on a two year contract and replacing Benjamin Ayimba.Simiyu is a brother to former Kenya national rugby union players Victor Sudi and Nato Simiyu.

View More On Wikipedia.org
  1. SIMIYU: Jeshi la Polisi lamkamata mtuhumiwa (mganga wa kienyeji) akiwa na fisi

    Taarifa ya Jeshi la Polisi imesema Januari 24, 2025, saa kumi na mbili jioni katika Kijiji cha Kilulu Kata ya Bunamala Tarafa ya Ntuzu wilayani Bariadi, Jeshi la Polisi kupitia kikosi kazi cha kupambana na uhalifu, kilifanikiwa kumkamata Emmanuel John Maduhu (31), Msukuma na mganga wa kienyeji...
  2.  Barabara ya Bariadi - Itilima Mkoani Simiyu iliyolalamikiwa na Mdau yafanyiwa maboresho

    Barabara ya Bariadi - Itilima ambayo ilielezewa na Mwanachama wa JamiiForums.com kuwa ni kero kwa Watumiaji, akaomba Mamlaka zinazohusika ziboreshe kwa kuwa shughuli nyingi za Kiuchumi na Kijamii zinasuasua kutokana na hali hiyo, sasa imeanza kufanyia matengenezo. Kuona hali ilivyokuwa awali ~...
  3. Pre GE2025 Simiyu: Viongozi CHADEMA watishia kukibwaga Chama Mbowe akishinda Uenyekiti

    Viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu, wametishia kujitoa unachama wa chama hicho endepo Mwenyekiti wa Chadema Taifa atachaguliwa kuwa Freeman Mbowe katika Mkutano Mkuu unaofanyika Januari 21, 2025. Pia, Soma: - Mbowe: Nikishindwa...
  4. K

    DOKEZO Mnada wa Mifugo Bariadi - Simiyu, mapato mengi yanaishia mifukoni mwa Wakusanya Mapato

    Kama kuna sehemu uongozi wa Mkoa wa Simiyu, Wilaya ya Bariadi na vyombo vya kiuchunguzi wanatakiwa kutupia macho sana ni hili eneo la mnada wa mifugo Bariadi, unaopatikana kwenye eneo la Halmashauri ya Mji wa Bariadi, Mtaa unaitwa KIDINDA. Kwenye huu mnada wetu ambao kwa wiki unafanyika mara...
  5. K

    DOKEZO Simiyu: Serikali itusaidie, Mgodi wa Dhahabu EMJ unatiririsha maji yanayodaiwa kuwa na ‘sumu’ katika mto

    Sisi Wananchi wa Kijiji cha Imalamate katika Halmashauri ya Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu, tunaomba tupaze sauti zetu kwenye hili jukwaa la Jamii Forums. Kijijini kwetu kuna mgodi wa dhahabu unaitwa EMJ, unamilikiwa na kiongozi mmoja wa CCM Mkoa wa Simiyu (MNEC) anaitwa Gungu Silanga...
  6. K

    KERO Barabara Bariadi kwenda Itilima ni hatari, wananchi tunateseka, TANROADS - Simiyu hamuioni?

    Huu ndiyo mwonekano wa Barabara kutoka Wilayani Bariadi kwenda Wilayani Itilima Mkoa wa Simiyu, hii Barabara ni hatari Kwa Sasa imekuwa kero kubwa kwetu wananchi. Barabara imejaa mashimo kuanzia Bariadi hadi Itilima, Kwa Sasa tunasafiri Kwa muda wa saa mbili wakati ni mwendo wa Dakika 30 Kwa...
  7. Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Simiyu Shemsa Mohamed ashiriki harambee kanisa la KKKT na kuchangia milioni 33.2

    MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SIMIYU NDG. SHEMSA MOHAMED ASHIRIKI HARAMBEE KANISA LA KKKT NA KUCHANGIA MILIONI 33.2 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed, ameungana na waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) katika harambee ya kuchangia...
  8. Mtambue Shemsa Mohammed (M/K CCM Mkoa wa Simiyu) Katika Meza ya Viongozi Mashuhuri wa Kisiasa

    MTAMBUE SHEMSA MOHAMED M/KITI CCM MKOA WA SIMIYU KATIKA MEZA YA VIONGOZI MASHUHURI WA KISIASA DUNIANI Ameandika Comrade Msauzii (0769086992) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed Seif amekuwa kiongozi bora katika kukijenga chama cha Mapinduzi. Juhudi zake zinafananishwa na...
  9. K

    KERO NMB huduma zenu Tawi la Bariadi Simiyu ni kero, zinaudhi. zinatwibia wateja.

    NMB Bank nyie ni taasisi kubwa hapa nchini, kila siku mnajigamba kuwa ni Benki kubwa kuliko zote hapa nchini. Ni kweli nyie ni wakubwa, nasi wateja wenu tunakubali hilo, ila Kwa upande wetu wateja wa Wilaya hii ya Bariadi hamtutendei haki. Boresheni huduma zenu za ATM Mashine, Tawi kubwa kama...
  10. LGE2024 CCM Simiyu watoa pongezi za shukurani kwa Wananchi Kuipa ushindi wa 98.8%

    Pongezi kwa Wananchi wa Mkoa wa Simiyu kwa Ushindi Mkubwa wa CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu kinapenda kutoa pongezi za dhati kwa wananchi wote wa Mkoa wa Simiyu kwa kuonyesha imani kubwa na kuendelea kutoa msaada wa hali ya...
  11. LGE2024 Simiyu: Upigaji kura wasifiwa kwa kwenda kwa amani na utulivu

    Wajumbe wa Kamati ya Amani Mkoa wa Simiyu, wakiongozwa na Kaimu Shekh Issa Kwezi, wameeleza kuridhishwa na zoezi la upigaji kura lililofanyika jana Novemba 27, 2024. Shekh Kwezi amesema kuwa ulinzi na usalama viliimarishwa, na wapiga kura walienda vituoni kupiga kura kwa utulivu bila...
  12. LGE2024 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Simiyu ahamasisha wananchi kupiga kura

    MWENYEKITI WA CCM SIMIYU AHAMASISHA WANANCHI KUPIGA KURA. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohamed, ameendelea kuhamasisha wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi leo kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa. Mara baada ya kupiga kura katika kituo cha...
  13. LGE2024 Hali ilivyo Upigaji Kura Meatu na Itilima Mkoani Simiyu, leo Novemba 27, 2024

    Wananchi wa Wilaya za Itilima na Meatu Mkoani Simiyu wakiendelea na zoezia la kupiga Kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024.
  14. LGE2024 Simiyu: RC Kihongosi ahamasisha Wananchi kujitokeza kupiga Kura na kuepuka kusalia Vituoni

    Mkuu wa mkoa wa Simiyu Kenani Kihongosi amewaasa wakazi wa mkoa huo kuendelea kujitokeza kwa wingi katika vituo vya kupigia kura katika mitaa yao ili kuchagua viongozi watakaowaongoza katika mitaa yao. Akizungumza baada ya kupiga kura katika mtaa wa Sesele uliopo kata ya Nyakabindi wilayani...
  15. LGE2024 Simiyu: Karatasi za kupigia Kura zakamatwa zikiwa zimewekewa tiki kwa wagombea wa CCM

    Anaandika mkurugenzi wa mawasiliano na mambo ya nje wa CHADEMA John Mrema kupitia mtandao wa X "Karatasi za Kupigia kura zikiwa tayari zimekwa tiki kwa wagombea wa CCM zimekamatwa Mkoa wa Simiyu Jimbo la Bariadi Mjini Mtaa wa Ngashanda kata ya Malambo" Soma pia: Mbinu za wizi wa kura...
  16. LGE2024 Mwenyekiti wa CCM Simiyu, Shemsa Mohamed asisitiza wajibu wa kila Mwanachama kwenye ushindi wa CCM

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndg. Shemsa Mohamed, ameendelea na kampeni yake ya kutafuta kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024, akizungumza na wananchi na vijana wa UVCCM katika Wilaya ya Bariadi. Katika kampeni hiyo, alisisitiza umuhimu wa vijana kushiriki kikamilifu katika...
  17. Ugonjwa usiojulikana waua wanne Simiyu

    Watoto wanne wa familia moja wakazi wa Mtaa wa Sanungu, Halmashauri ya Mji wa Bariadi mkoani Simiyu, wamefariki ghafla kwa ugonjwa usiojulikana hali iliyosababisha taharuki kwa wakazi wa maeneo hayo na kuiomba Serikali kupitia wataalamu wa afya kufanya uchunguzi ili kubaini chanzo cha vifo...
  18. Said Mtanda amepwaya Mwanza, impendeze Rais atuletee Kenani Kihongosi ambaye sasa yuko Simiyu

    Mkoa wa Mwanza ni mkoa "injini", kama ni timu, basi mwanza ni " Kiungo mchezeshaji".Kwa Kanda ya ziwa, Mwanza ikipiga chafya, mikoa jirani lazima nguo zipeperuke kutokana na upepo. Hakuna mtu aliyejipata wa Kanda ya ziwa asiyewekeza Mwanza. Mkoa unahitaji damu changa ya amsha amsha. Mkoa una...
  19. LGE2024 CCM Mkoa wa Simiyu: Uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu kimezindua rasmi kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji, ikiwa ni hatua muhimu katika kuhakikisha wananchi wanashiriki kikamilifu katika uchaguzi huu muhimu. Uzinduzi wa kampeni hizi umefanyika katika kijiji cha Dutwa, Wilaya ya...
  20. L

    LGE2024 Tundu Lissu nakushauri wewe ndio ukamzuie Mkuu wa Mkoa wa Simiyu na sio kuwatafutia matatizo wananchi

    Unawatangazia wananchi kuwa wakimuona Mkuu wa Mkoa wamzuie, ebo.Mkuu wa Mkoa ambaye ametajwa kikatiba, ametajwa kwenye sheria ya Tawala za Mikoa Na.19 ya mwaka 1997, ametajwa kwenye kanuni za kudumu za utumishi wa umma, mwenyekiti wa kamati ya usalama mkoa, wananchi wazingire gari lake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…