Innocent "Namcos" Simiyu (born 24 April 1983) is a former Kenyan rugby union player who captained the Kenya national rugby union team and the national rugby sevens team. In the World Rugby Sevens Series, Simiyu has represented Kenya in 121 matches scoring 321 points. At club level he played for Impala Saracens and Kenya Harlequin.
On 17 October 2016, he was appointed as head coach of the Kenya national rugby sevens team on a two year contract and replacing Benjamin Ayimba.Simiyu is a brother to former Kenya national rugby union players Victor Sudi and Nato Simiyu.
Commander Blasius Chatanda wa Simiyu, ulimhamisha kutoka Tanga ukampeleka Simiyu, hivyo ikupendeze kumtoa simiyu Umpeleke Misenyi au Katavi au mpangie kazi nyingine. Itakuwa ni hali ya kawaida ya kuboresha utendaji kazi wa Jeshi la Polisi na kwa nia njema tu.
Mkoa wa Simiyu unahitaji mtu...
Watu 14 wamefariki dunia baada ya gari ya waandishi wa habari iliyokuwa kwenye msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza (RC), Robert Gabriel kugongana na gari ya abiria Hiace katika eneo la Nyamikoma wilaya ya Busega Mkoani Simiyu.
Mkuu wa Wilaya ya Busega (DC), Gabriel Zakaria amethibitisha kutokea...
Kamati ya siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Simiyu, imeiomba serikali kuajiri walimu wengi wa kutosha, ili kukabiliana na ongezeko la wanafunzi watakaoanza masomo yao mapema mwakani.
Ushauri huo umetolewa na Katibu wa CCM mkoa wa Simiyu Innocent Nazaba, wakati wa ziara ya kamati ya...
MRADI wa Maji ya bomba wa kijiji cha Isulilo katika wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu kuwanufaisha wananchi wapatao 10,497.
Mradi huo unatekelezwa na wakala wa maji na usafi wa mazingira vijijini(Ruwasa) kwa ufadhili wa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan,
Meneja wa Ruwasa wilaya ya...
Tulionya tangu mapema sana kwamba huu mpango wa Chadema wa kusajili wanachama kwa njia ya kisasa ya kidigital utaua cccm na mamluki wake , hii ni kwa sababu Wananchi wengi sasa wamefahamu kwamba Chadema ndio Mkombozi wa kweli wa dhiki na tabu zao .
Masuala ya Tozo , mgao wa maji na umeme ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu linamshikilia Mwalimu wa Shule ya Msingi Shimbale Gaudensia Anyango (45) kwa tuhuma za kufanya udanganyifu wa mitihani ya Darasa la 4 kwa kuwachukua wanafunzi wa darasa 5 na 6 kwa ajili ya kuwafanyia mitihani wanafunzi wenzao 23 ambao ni watoro
"Niwatake...
Ofisi ya mtendaji wa kijiji cha Mwabagalu kata ya Nyabubinza wilayani Maswa Mkoa wa Simiyu imechomwa moto alfajiri ya leo Oktoba 17, 2021 na watu wasiojulikana.
Ofisi hiyo ambayo ilikuwa ikitumiwa na mtendaji wa kijiji na sehemu nyingine ikitumika kama darasa la wanafunzi wa awali imeteketea...
Itilima yamaliza dozi za corona ilizopewa.
Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu, imefanikiwa kumaliza dozi zote za chanjo 3,320 za Covid -19 ambazo ilipewa na Serikali kwa ajili ya kuwachanga wananchi wa wilaya hiyo ili kujikinga na ugonjwa huo.
Mkuu wa Wilaya hiyo, Faidha Salim amethibitisha hayo...
Mganga Mkuu wa Mkoa, Dkt. Boniphace Marwa amesema Mkoa huo haufanyi vizuri katika mapokeo ya Chanjo licha ya Maambukizi kuwepo pamoja na Vifo vya Wagonjwa.
Dkt. Marwa amesema sababu zinazopelekea mwamko mdogo wa Wananchi ni pamoja na sababu za kijamii na Elimu ya Chanjo kutowafikia Watu wengi...
Dkt. Mpango: Wakuu wa Mikoa wasiwe walevi na wazinzi
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Isdor Mpango, amewataka Wakuu wa Mikoa walioapishwa Mei 19, 2021 wafanye kazi kwa weledi Asema Kiongozi mzuri ni yule mwenye busara na bidii ya kazi
Jaji Mkuu: DPP ni chujio la kwanza la haki
Prof. Ibrahim Juma...
Meatu-Simiyu
KOMRED MPOGOLO AWAONGOZA WAOMBOLEZAJI MAZISHI YA MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SIMIYU.
Naibu Katibu Katibu mkuu wa CCM Bara, Komred Rodrick Mpogolo amewaongoza maelfu ya Wananchi na na Wanachama wa CCM katika mazishi ya aliekuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Simiyu na...
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Enock Yakobo amefariki dunia leo Jumanne Februari 23, 2020. Katibu mwenezi CCM mkoani humo, Mayunga George amethibitisha.
Chanzo: Mwananchi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.