simiyu

Innocent "Namcos" Simiyu (born 24 April 1983) is a former Kenyan rugby union player who captained the Kenya national rugby union team and the national rugby sevens team. In the World Rugby Sevens Series, Simiyu has represented Kenya in 121 matches scoring 321 points. At club level he played for Impala Saracens and Kenya Harlequin.
On 17 October 2016, he was appointed as head coach of the Kenya national rugby sevens team on a two year contract and replacing Benjamin Ayimba.Simiyu is a brother to former Kenya national rugby union players Victor Sudi and Nato Simiyu.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Simiyu: Watoto watatu wafariki dunia Simiyu

    Watoto watatu wa Shule ya Msingi Itubukilo B, Kijiji cha Pugu, Kata ya Itubukilo Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu, wamefariki dunia Aprili 25, 2023 baada ya mkokoteni waliokuwa wakisafiria kusombwa maji ukiwa unavutwa na ng’ombe. Waliofariki ni Maleki Legi (16), Isaka Njile (14) na Wille Njile...
  2. Equitable

    Nyalikungu Sekondari wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu wanafunzi wajificha wakigoma kwenda shule

    Napita hapa mnadani wilayani Maswa nakuta wanafunzi wamekaa sita wa kike wamekaa vibandani. Nawauliza kulikoni hamuendi shule? Wananijibu "jana tulipigwa na leo tusipopeleka hela ya waalimu tutapigwa". Watoto wa kike wakubwa wamekosa elfu 2 ya kulipia walimu wanaojitolea. Nimewaambie warudi...
  3. K

    Chama cha Waganga wa Tiba Asilia Simiyu, wakana chama chao kujaa makada wa CCM

    Mara baada ya kuibuka maneno mengi mitaani kuwa Chama cha Waganga wa Tiba Asilia na Tiba Mbadala Mkoa wa Simiyu kina makada wengi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mwenyekiti wa umoja huo, Mayunga Kidoyai amefafanua kuwa taaluma yao au kazi ya mtu binafsi haiwezi kuingiliana na suala la kichama kwa...
  4. Roving Journalist

    Simiyu: Polisi yatoa taarifa rasmi juu ya tukio la mwili wa mtu kuokotwa, yasema amenyogwa na waya

  5. JanguKamaJangu

    Simiyu: Mwili wa mtu wakutwa ukielea kwenye maji, siku chache tangu Mwenyekiti wa CCM aliposema 'Mkoa wa Simiyu hali si shwari'

    Machi 25, 2023 akizungumza mbele ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Bi. Shemsa Mohamed ambaye ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu alidai kuwa kuna watu wanapotea pasipo kujulikana wanapoelekea ndani ya Mkoa huo. Pia akabainisha kuwa kuna matukio ya wizi yameongezeka hasa maeneo ya nyumbani wakati...
  6. A

    DOKEZO Mwenyekiti wa CCM Mkoa: Miili ya Watu inaokotwa kwenye Mifuko ya Rambo, Simiyu si salama

    Ipo hivi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika ziara zake anazofanya hivi karibuni, alifika Mkoani Simiyu na katika moja ya mikutano yake na Watumishi wa Umma kuna mambo mazito yalizungumzwa. Katika Mkutano huo pia wadau wengine walikaribishwa ikiwemo viongozi wa dini na viongozi wa CCM...
  7. K

    Waziri Mkuu arejesha tena usafiri wa "Mchomoko" Simiyu

    Sasa ni rasmi ile biashara ya Magari madogo kubeba abiria katika mkoa wa Simiyu maarufu kama Mchomoko, imereja rasmi baada ya tarkibani miezi tisa tangu yazuiliwe kufanya kazi hiyo ndani ya mkoa huo. Hiki ni kicheko na furaha kubwa kwa wananchi wa mkoa wa Simiyu hasa vijana ambao walikuwa...
  8. K

    Chama cha Waganga wa tiba asilia Mkoa wa Simiyu, kimegeuka chama cha kisiasa

    Chama cha waganga wa tiba asilia Mkoa wa Simiyu, Machi 12, 2023 kimefanya Uchaguzi Mkuu wa Viongozi wake, ambao watakiongoza chama hicho kwa kipindi cha miaka mitano. Hata hivyo baada ya uchaguzi huo, swali kwa watu wengi limekuja Je? Chama hicho kimegeuka kuwa cha kisiasa? Tunajua kazi ya...
  9. Stephano Mgendanyi

    Lucy J. Sabu Katika Kilele cha Wiki ya Chipukizi CCM Mkoa wa Simiyu

    MHE. LUCY JOHN SABU KATIKA KILELE CHA WIKI YA CHIPUKIZI CCM MKOA WA SIMIYU Mbunge wa Viti Maalum Kundi la Vijana Mkoa wa Simiyu Mhe. Lucy John Sabu katika kilele cha Wiki ya Chipukizi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu yaliyofanyika kimakoa Wilaya ya Bariadi, Mhe. Sabu alikuwa Mgeni...
  10. O

    Polisi yaeleza mazingira mwalimu aliyetoweka Simiyu na kukutwa amefariki Musoma

    Musoma. Jeshi la Polisi mkoani Mara linawashikilia watu watano kwa tuhuma za mauaji ya mwalimu Monica Patrick (31) mkazi wa Simiyu aliyepotea katika mazingira ya kutatanisha baadaye mwili wake kupatikana kwenye kichaka kilichopo pembezoni mwa Ziwa Victoria mjini Musoma. Pia soma - Mwalimu...
  11. Mpwayungu Village

    Mwalimu aliyetoweka Simiyu akutwa amefariki Musoma

    Mwalimu wa Shule ya Msingi Lagangabilili Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu, Monica Patrick (31) aliyetoweka katika mazingira ya kutatanisha amepatikana akiwa ameuwawa na mwili wake kutelekezwa kichakani mtaa wa Nyang’wena Manispaa ya Musoma. Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Mara...
  12. Phobia

    Kila munu ave na kwao! Mtoto wa Mtwara mie nimedata kwa mtoto wa Simiyu msukuma nyantuzu! Nataraji kumuweka ndani

    Ama hakika imevutiwa na kudata na mtoto wa msukuma nyantuzu huku simiyu kwakweli ananinyima usingizi na wala siwezi kulala nikimuwazia yeye all time yaani weupe wake kwakweli unanikosha na kuniua haswa yaani sio poa kabisa ndugu zangu Baada ya kumaliza chuo nilipata kazi kwenye shirika moja la...
  13. Analogia Malenga

    Simiyu: Mwili wa mtu waokotwa kwenye sandarusi

    Mwili wa kijana Ezekiel Boniphace Mangu (30) mkazi wa Kata ya Somanda Halmashauri ya Mji wa Bariadi mkoani Simiyu, umekutwa umewekwa kwenye Sandarusi na kufunikwa na shuka kichakani. Mashuhuda wa tukio hilo wanasema kijana huyo aliyekuwa akifanya kazi ya ulinzi alipotea usiku wa Desemba...
  14. DodomaTZ

    Waandishi wa Habari wa Simiyu wamtunuku Cheti cha Heshima Mbunge Njalu

    Klabu ya waandishi wa Habari Mkoa wa Simiyu (SMPC) kupitia mkutano wake Mkuu maalumu uliofanyika Mjini Bariadi, tarehe 30 Disemba 2022, imemtunuku Cheti cha heshima Mbunge wa Jimbo la Itilima Mkoani humo Njalu Silanga (CCM) kutokana na mchango wake uliotukuka kwenye taasisi hiyo tangu kuanzishwa...
  15. JanguKamaJangu

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu atoa siku 7, watoto 24,000 waandikishwe shule

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dk. Yahaya Nawanda, ametoa siku saba kwa uongozi wa Wilaya ya Maswa mkoani humo, kuhakikisha unakamilisha kuandikisha watoto 24,000 wanaotarajiwa kuanza masomo ya darasa la kwanza na awali wilayani humo. Aidha, Dk. Nawanda amemuagiza Mkuu wa Polisi pamoja na Mkuu wa...
  16. Lady Whistledown

    Simiyu: Kairuki aagiza uchunguzi wa matumizi ya Tsh. Milioni 470 zilizoisha kabla ya mradi kukamilika

    Waziri wa TAMISEMI, Angellah Kairuki, ameagiza TAKUKURU kuchunguza matumizi ya shilingi milioni 470, zilizotolewa na serikali kujenga shule mpya ya Sekondari Mwanduitinje, iliyopo jimbo la kisesa wilaya ya Meatu, ambapo fedha hizo zimeisha kabla ya mradi kumalizika ujenzi wake. Waziri Kairuki...
  17. peno hasegawa

    Ukistaajabu ya CCM Mkoa wa Simiyu angalia uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro

    Uchaguzi wa kumpata mwenyekiti wa ccm mkoa wa Kilimanjaro , majibu haya hapa.
  18. BestOfMyKind

    Mwaka mmoja wa mzee Kinana madarakani, vijana wanagawana rushwa hadharani

    Mnakumbuka uchaguzi wa 2015 pale Dodoma kuna mtu alikamatwa na brifkesi la noti karibu na ukumbi wa CCM? Kipindi kile rushwa ilikuwa jambo la kawaida sana ndomana watu walikua na ujasiri ule, na juzi watu wamegawana rushwa kwenye chaguzi za ndani za CCM. Nyakati zote hizi mbili zina uhusiano...
  19. escrow one

    Kama ulihisi UVCCM Simiyu ni kiboko, hebu angalia hawa UVCCM Mkoa wa Mara wakigawana rushwa hadharani

    Hii video nimeiona sehemu ikabidi nipate uhakika kisha niipost. Hawa ni wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UVCCM Mkoa wa Mara wakigawana Rushwa hadharani bila woga wala soni. Kama vijana wadogo wanalelewa hivi, je hiki chama kina nia kweli ya kutokomeza rushwa?
  20. peno hasegawa

    CCM yafuta matokeo ya uchaguzi wa UVCCM mkoa wa Simiyu kwa kilichodaiwa ni kuwepo kwa dalili wazi za rushwa

    Chama Cha Mapinduzi kimefuta matokeo ya uchaguzi wa Umoja wa Vijana (UVCCM) mkoa wa Simiyu kwa kilichodaiwa ni kuwepo kwa dalili wazi za rushwa. Dodoma. Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimefuta matokeo ya uchaguzi wa Umoja wa Vijana (UVCCM) mkoa wa Simiyu kwa kilichodaiwa ni kuwepo kwa dalili za...
Back
Top Bottom