simu janja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gemini AI

    Ili mwananchi wa kawaida (asiye na simu janja) atumie Mtandao anahitaji Tsh. 272,000 kununua Simu na GB 3. Pato la Mtanzania ni Tsh. 254,000

    Idadi ya kadi za simu zilizo sajiliwa kufikia 2023 TZ (TCRA) 2020 51.2 million 2021 54.0 million 2022 60.2 million 2023 67.0 million KE(CA) 2020 57.0 million 2021 60.1 million 2022 63.3 million 2023 66.1 million UG(UCC) 2020 29.1 million 2021 30.2 million 2022 31.5 million 2023 32.8 million...
  2. Aliko Musa

    BURE; Jinsi Ya Kutumia GPS App Kwenye Simu Janja Kupata Vipimo Vya Shamba/Kiwanja

    GPS (Global Positioning System) ni teknolojia ya kisasa inayotumika kupima na kupata vipimo vya eneo au kiwanja kwa usahihi. Kwenye simu janja, unaweza kutumia programu za GPS ili kupata vipimo vya kiwanja chako. Hapa chini ni hatua kwa hatua jinsi ya kutumia GPS App kwenye simu yako janja...
  3. Stephano Mgendanyi

    UVCCM Yagawa Simu Janja 20, Kadi za CCM 8,000 na UVCCM 1,000 Kuimarisha Wanachama Kielektroniki Mkoa wa Lindi

    UVCCM YAGAWA SIMU 20,KADI ZA CCM 8,000 NA UVCCM 1,000 KUZIDI KUIMARISHA USAJILI WA WANACHAMA KIELEKTRONIK, MKOA WA LINDI Mwenyekiti wa jumuiya ya umoja wa Vijana wa CCM ndugu Mohammed Ali Kawaida jana tarehe 12 Septemba,2024 amewasili Mkoani Lindi kwaajili ya Hamasa day katika wilaya ya...
  4. D

    Msaada: Simu yangu haitoi sauti mpaka niweke lound speaker

    Habari wakuu samahani simu yangu inatatizo nilikuwa naomba msaada. Ninapompigia mtu au ninapopigiwa simu haitoi sauti mpaka niweke lound speaker tatizo ni nini na ni jinsi gani ya kulitatua yaani nikiweka lound speaker ndo nasikia.
  5. Fivebrainy

    Kipato kupia simu janja na mtandao kinatengenezwaje?

    Leo asee nimekaa pekeyangu wakati nimejawa na ukimya binafsi na baada ya shughuli ya kila siku nikapatwa na wazo "iv wenzangu kupitia simu zao huwa wanajitengenezea kipato kwa namna gani au wao ni kushinda online badae unafunga data huna ata mia". Nikawaza upande wangu daah! Kwel ukitumia akil...
  6. mahroof

    Msaada: Simu used ya Huawei inanipata changamoto ya What'sApp

    Msaada wakuu Simu yangu ni huawei ni used from china Simu ina changamoto ya whatsap, nikisajiri number baada ya week inaanza kuandika kama nilivyo ambatanisha hapo chini Msaada jamani tangu nimeanza kutumia whatsap sijawahi kutumia whatsap ambazo siyo official
  7. Stephano Mgendanyi

    Pre GE2025 Mbunge Norah Mzeru agawa simu janja (Smartphone) kwa UWT Wilaya ya Kilosa ili kusaidia kusajili Wanawake katika Mfumo wa Kielektroniki

    MHE. NORAH MZERU Agawa Simu Janja (Smartphone 📱) kwa UWT Wilaya ya Kilosa Ili Kusaidia Kusajili Wanawake Katika Mfumo wa Kielektroniki Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru tarehe 01 Mei, 2024 amegawa Simu Janja 5 (Smartphone 5) kwa uongozi wa UWT Wilaya ya Kilosa na...
  8. Stephano Mgendanyi

    Pre GE2025 Mbunge Esther Malleko Atoa Simu Janja 7 (Milioni 2.1) kwa UWT Wilaya Zote za Mkoa wa Kilimanjaro

    Esther Malleko atoa simu janja saba (milioni 2.1) kwa UWT Wilaya zote za mkoa wa Kilimanjaro kwaajili ya kusajili Wanawake kielektroniki Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Edwin Malleko ametoa Simu Janja Saba (Smartphone 7) zenye thamani ya Shilingi Milioni 2.1 kwaajili ya...
  9. J

    Jisajili sasa UWT kiganjani kwako kupitia simu janja yako popote ulipo

    JISAJILI SASA UWT - KIGANJANI KWAKO Jisajili kuwa MWANACHAMA WA UWT kwa kutumia Simu Janja (Smart phone) Yako popote ulipo mkononi Kwako. #UWTJisajiliKidijitali
  10. M

    Mke wangu sitaki amiliki simu janja kamwe

    Salamu Katika matumizi yangu ya mitandao nimebaini kwamba wanawake wanatongozwa sana inbox na mitongozo yote wanaikubali asilimia 98 Kifupi tu mitongozo ya online inavutia sana maana inahusisha kuambatanisha vitu vingi eg,nyimbo,zawad,video nk Mwanamke hata awe na sura ya peponi uraiani na...
  11. L

    Toleo jipya la simu janja ya Huawei ladhihirisha maendeleo ya teknolojia ya mawasiliano ya China licha ya vikwazo vya Marekani

    Hivi karibuni, kampuni kubwa ya mawasiliano na teknolojia ya China, Huawei, ilifanya mauzo ya awali ya simu yake mpya ya kisasa (smartphone) aina ya Huawei Mate 60 Pro, hatua iliyozusha mjadala mkubwa katika jamii ya Wachina, ikiwa ni tofauti na hali inavyokuwa wakati wa kuzindua bidhaa mpya...
  12. M

    SoC03 Tabu na mahangaiko ya jiji

    Ilikuwa majira ya kiangazi saa Saba mchana, mbingu ilionekana na uhaba mkubwa wa mawingu hali iliyopelekea jua kuwa Kali sana kuliko ilivyozoeleka. Joto lilikuwa Kali sana kiasi ya kwamba Machinga walio kuwa kando mwa barabara wakijitafutia riziki zao waliloa kwa jasho lililokuwa likiwatiririka...
  13. H

    Wadau hivi kuna simu janja ya kufuta msg juu kwa juu??!

    Salama humu. Kwenye hizi simu janja msg inapoingia inaonekana juu kwenye bar.Ukislide chini inaonekana kidogo siyo yote then kuna option pale ya 'mark as read' Swali lifuatalo ni je hakuna simu janja yenye option ya delete. Unajua huwezi kuzuia hii mitandao ya simu kutuma msg zao maana nao...
  14. sky soldier

    Tukutane hapa tunaozichukia simu kubwa, tunapendelea zaidi simu ndogo tunazoweza kuzimudu kiganjani kiurahisi

    Yaani siku hizi ukienda madukani simu nyingi sana za kisasa (smartphones) huwa ni kubwa kwa umbo, yani urefu tu ni kama mkebe na hii ni kero kwangu, binafsi napendelea zaidi simu ambazo zinakaa fresh kiganjani walau zikizidi sana basi iwe ni sentimita 14 na nusu kwa urefu. Simu kuziweka...
  15. mocoservices

    SOFTWARE Mobile Phones and Computers Services (MOCOS)

    MOCO Services ni Wabobezi wa kurekebisha vifaa vya mawasiliano SIMU na Kompyuta. Tupo Mkoani Mbeya, Mwanjelwa, Barabara ya Juakali. Tumejikita katika ufundi wa "hardware pamoja na software". Ofisi yetu inatumia vifaa vya na teknolojia ya kisasa ili kukidhi mahitaji na matarajio ya wateja wetu...
  16. L

    Simu janja kutoka nchini China zachochea ukuaji wa uchumi wa kidijitali Afrika

    China ni nchi inayoendelea ambayo imepata mafanikio makubwa sana katika maendeleo ya teknolojia, hususan katika teknolojia ya mawasiliano. Simu janja zinazotengenezwa nchini China zimekuwa kichocheo kikubwa cha maendeleo ya uchumi wa kidijitali katika nchi nyingi zinazoendelea hususan za...
  17. Mtambo 1272019

    SoC02 Matumizi sahihi ya simu janja na intaneti mashuleni hayaepukiki, yaruhusiwe

    WENU MTAMBO1272019 Maana ya simu janja. Ni aina ya rununu ambayo inafanya mambo mengi kuliko simu nyingine ya kawaida,zinzfanya kazi kama tarakililishi,lakini hiki ni chombo kinachobebeka na kidogo cha kutosha katika mkono wa mtumiaji(Andrew Nusca;20 AUGUST,2009). Matumizi ya simu janja...
  18. Esokoni

    Ni nani anatakiwa kuwa na VFD/EFD?

    Karibu sana, kwanza kabisa Utaratibu wa kutumia Mashine za VFD/EFD ulianzishwa kwa lengo la kumrahisishia mfanyabiashara katika utunzaji wa kumbukumbu za mauzo/biashara za kila siku ili kuondoa usumbufu wakati wa ukadiriaji wa kodi (usikadiliwe kodi kubwa kuliko biashara yako au usikadiliwe...
  19. kichwamaji3234

    SoC02 TEKNO MAARIFA: Simu Janja yako ni Ofisi yako

    1. Utangulizi Binafsi nimeanza kumiliki simu ya mkononi mwaka 2005, naikumbuka vizuri simu hiyo ilikuwa ni kutoka kampuni ya Motorola ndogo ndogo hivi yenye rangi ya Bluu na Nyeusi. Tangu nilipoanza kumiliki simu ya mkononi nilikuwa najiuliza mara kwa mara iwapo matumizi ya simu ni kupiga...
  20. sky soldier

    Simu janja / Smartphone kuendelea kuwa saizi kubwa kiganjani kuzidi za zamani, hii ni kero kwangu tu au?

    Smartphone kibao siku hizi zimekua kubwa sana aisee, hasa hizi za line mbili ambazo kibongobongo ni wengi tunatumia line za ziada. Nakumbuka zamani simu kibao zilikuwa zinakaa kiganjani unakuta saizi yake ni incni 5.0 kushuka chinim yani kiganjani unatumia fresh. hizi mpya yani kawaida kukuta...
Back
Top Bottom