simu janja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyendo

    Dkt. Jabir Bakari: Asilimia 27 pekee ya Watanzania ndio wanamiliki Simu janja (Smartphone)

    Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt. Jabir Bakari amesema hadi takwimu za mwezi January mwaka huu ni Asilimia 27 pekee ya Watanzania ndio wanamiliki Simu janja (Smartphone) na kusema malengo ya Serikali ni kuhakikisha Watumiaji wa Smartphone wanafikia 100%, Dr. Jabir...
  2. TTCL Customer Care

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Ndugu mteja, Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu? Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi. Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya: - Ni tatizo gani? (T-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika...
  3. Eliya Konzo

    Simu Janja kama Mashine ya EFD - Nafuu kubwa kwa wajasiliamali na wafanya biashara

    AMBWENE KONZO LIMITED WANAKUPA NAMNA , RAHISI, SALAMA NA NAFUU ZAIDI YA KUTOA RISITI ZA TRA KWA KUTUMIA SIMU,KOMPYUTA,POS AU MFUMO WAKO ULIONAO. HUNA HAJA YA KUNUNUA MACHINE. ILIKUPATA HUDUMA UNATAKIWA KUWA NA: NAKALA YA TIN CERTIFICATE NAKALA YA KITAMBULISHO BARUA YA MAOMBI KWA TRA KUTOKA...
  4. Sam Gidori

    Huawei kuzindua mfumo wake wa uendeshaji simu janja mbadala wa Android

    Kampuni ya Teknolojia ya China, Huawei inaanzisha mfumo wake mpya wa uendeshaji wa simu za janja (smartphones) unaojulikana kama HarmonyOS baada ya Marekani kuizuia kufanya kazi na kampuni ya Google. Huawei inatarajiwa kuzindua mfumo huo leo kwa baadhi ya vifaa kama simu za janja, vishkwambi...
  5. Last Seen

    LG kusitisha uzalishaji wa simu Janja

    Kampuni ya teknolojia ya LG imetangaza jana Jumatatu itasitisha uzalishaji wa simu janja. Kampuni hiyo kubwa ya teknolojia imetangaza kuwa imekuwa ukipata hasara kwa kipindi Cha Muda mrefu inayokaribia $ 4.5bn.W Wakuu wa kampuni wametoa sababu mojawapo ya Hasara kuwa ni soko la simu janja...
  6. D

    Hata wakati zinaingia simu janja (smartphone) tuliaminishana ujinga kwamba ni za mpinga Kristo, zinanyonya damu na kuleta kansa ya vidole

    Wachungaji ni walewale, wadau ni walewale, wenye midomo ya kusemea wenzao! Niliwahi kusema hapa! Na narudia tena Tatizo la Watanzania tukiwa maarufu au viongozi au wachungaji ni kujidai tunajua kila kitu! Kiongozi wa siasa ndiye msemaji wa afya, kiongozi wa siasa ndiye mshauri wa ujenzi...
  7. beth

    Serikali yaanza mchakato wa viwanda vya simu janja

    Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imeanza mchakato wa uanzishwaji wa viwanda vya utengenezaji wa simu janja ndani ya nchi vitakavyowezesha upatikanaji rahisi wa vifaa hiyo. Waziri Dk Faustine Ndugulile alisema hayo jana wakati wa kikao kazi na wenyeviti wa bodi na wakuu wa taasisi...
  8. Daby

    Mme/mke anapoweka na kuficha nywila kwenye simu janja yake, unalitafsiri vipi?

    Simu sio kifaa kizuri saana kwa wapenzi waishio pamoja. Kinaweza kusababisha matatizo mengi saana. Na matatizo haya yanaweza kusababishwa na kakitu kadogo. Wapo wanaosema simu za waume/wake zao haziwahusu lakini swali dogo tu...mkeo akipigiwa simu kisha ukaskia kabisa anaongea na mwanaume kesho...
Back
Top Bottom