Tukumbuke tu kwamba kumekuwa na malalamiko mengi ya wateja wa mitandao ya simu, kuktwa salio pasipo kujiunga na huduma yoyote ile. Hivyo basi kwa kauli hii ya waziri, haina budi wahusika watoe ufafanuzi.
Je, ni maelekezo kutoka juu?
- Malalamiko yangu kwa mitandao ya simu, hasa Halotel na...
Habari ya mchana wana jf
Mimi ni miongoni mwa member wachache ambao hatupendi kutoa mikasa yetu humu jf lakini kwa hili lililonipata nimeona tushare tunaweza jifunza vitu flani.
Mimi nina miaka 27, nilikua na mpnzi wangu ambaye tulianza uhusiano 2022 yeye sasa ana miaka 21, na pia yeye...
Yaani ukifika maeneo hayo network inakua hakuna kabisa. huwezi kutumia simu kuwasiliana, yaani huwezi kupiga simu wala kupokea, huwezi kutuma sms au kupokea sms.
Network inakua hakuna kwa ujumla, na zaidi sana hakuna kabisa Internet network..
Yapo maeneo humo humo njiani network iko full tena...
Fahamu Mambo Muhimu ya Kuzingatia Unapopeleka Simu Yako kwa Fundi ili kuepuka taarifa zako binafsi kuvuja
1. Ondoa laini ya Simu: Hakikisha umeondoa laini yako ya simu ili kulinda taarifa zako binafsi.
2. Cheleza (Backup) taarifa Muhimu: Fanya backup taarifa zako muhimu ili kuhakikisha...
Hivi ni sahihi kwa wakala kuomba simu yako ya mkononi kuangalia sms ya muamala kama imeingia? Binafsi mimi naona ni kuvunja privacy au taarifa za siri za mtu kwani sms ya muamala inaonyesha kiasi kilichobaki kwenye account ya mteja.
1: mteja alietoa hela na kubakiza kiasi kikubwa sana kwenye...
Viongozi wanapoongea na wananchi wanatakiwa kukumbuka kuwa kwenye taifa lenye utawala bora na utawala wa kidemokrasia MWANANCHI ndiye mwenye mamlaka na ameyakasimisha kwa SERIKALI ili imhudumie. Rejea tafasiri ya demokrasia.
Nikiona kiongozi anawafokea wananchi huwa najiuliza je, yeye ni bora...
Ni kweli kuwa simu ni yako, ila unapokuwa kazini na umeandikisha namba yako kuwa ndio itumike kwa mawasilaino si busara kutopokea simu na huna sababu ya msingi ya kutopokea.
Hata mimi huwa sipokei kila wakati, inategemea na majukumu niliyonayo. Ila inapokwa muda wa kazi huwa nayapa kipaumbele...
Vijana wawili ambao majina yao hayajafahamika wamechomwa moto wao na pikipiki waliyokuwa wakiitumia katika eneo la Shivaz katika kata ya Kaloleni Mkoani Arusha wakidaiwa kuiba simu
Lilia Shayo amesema vijana hao walikuwa wamemuibia mwananchi mmoja simu na wakati wanakimbia walizuiwa na wananchi...
Wakuu salama.
Hii special Kwa wanaume wasiokubali kutikiswa Wala kujambiwa na wife hata kama anampenda na amemkosea
Kauli mbiu ni:MWANAUME HALISI HAKUBALI KOSA.
Ilinitokea siku Moja nilikuwa naacha simu nyumbani naenda kazini (maana sikuwa na ruhusa ya kuingia na simu kazini kipindi hicho)...
Wakuu mimi si mpenzi wa pixel, iphone na Samsung lakini najikuta nataka kuchukua tu, Sina namna majuzi nimetafuta simu nzuri yenye kamera kali kila tukilinganisha na pixel basi pixel kiwembe, hakuna simu inayowe beat pixel yenye single camera au double camera sipendi camera nyingi, iwe updated...
Samsung ni simu, na Infinix ni simu!
Kama ni gharama, zote ni za gharama. Hakuna inayotolewa bure.
Isitoshe, Infinix inatunza sana chaji!
Wanaowakejeli wanomiliki simu za INFINIX, TECNO na ITEL waache hiyo tabia mara moja. Hawajui jinsi wahusika walivyohenyeka kuzipata.
Wateja wangu karibuni mjipatie simu kwa bei ya jumla na rejareja pia ukiagiza kutoka China kupitia sisi utapata kwa bei za viwandani kwa watakao agiza pisi nyingi.
Tupo Kariakoo pia wateja wa mikoani na nje ya nchi tunawahudumia.
Call or WhatsApp +255713861567
Vijana wenzangu acheni kiwewe cha simu, iPhone 15 Pro Max ni simu ya kawaida sana, kampuni ya Apple inauzia jina
Punguzeni tamaa za dunia tumieni fedha mnazopata kufanya maendeleo
iPhone 15 Pro Max Original ni zaidi ya 4,000,000/= kwenye Apple Store. Je hamuoni fedha hizo mnaweza kufanyia...
•itel kiswaswadu
•Tecno kiswaswadu
•bontel kiswaswadu
•O king kiswaswadu
Na misimu yote ya kichina isiyofahamika ndio wazazi wetu wanatumia tena huku tukijinadi ooh mimi mzazi wangu yupo fresh kumbe dakika mbili tu simu yake chaji imeisha na hapatikani hewani
Habari wapambanaji wa kutafuta ugali wa kila siku. Mpambanaji mwenzenu nimekuja kwenu mnijuze wapi naweza pata simu used za halali sio za wizi Kwa bei ya jumla nami nikafanya biashara.
Sijajua wafanya biashara wa Kariakoo wanazitoa wapi na ukijaribu kumuuliza mfanya biashara yeyote Kariakoo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.