Simu yako inapata Sana Joto !!!
Ulikua unatumia simu fresh tu ghafla simu imebadilika na kuanza tabia za ajabu inapata joto sio mchezo 😏, ukitumia kidogo ilo joto lake unaweza sema umechemsha chai kwenye heater 😀.
Kuna sababu nyingi ambazo upelekea simu Zetu kupata sana joto wakati...
Kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii kumezuka na tarifa kuwa Vicent Peter Masawe, anayejulikana pia kama Babuu au Bright, amepotea tangu Novemba 18, 2024. Kulingana na taarifa zilizopo, siku ya tukio, Vicent alidai kufuatiliwa na watu wasiojulikana kabla ya kupoteza mawasiliano.
Vicent...
Kuna muda huwa nawaangalia wazee na watu ambao umri umekwenda huwa najiuliza huwa wanatuonaje vijana , siku hizi starehe nyingi na wao nadhani baadhi wanazipenda nyingine zinawashangaza .
Simu ina password ya kuifungua , kila application ndani ina password yaani imewekewa kila ulinzi mpaka...
Unakuta simu Ina sifa nzuri ukiangalia nyuma makamera utitiri, yani kipangiliyo kamera nyingi Iko hovyo sana sababu ya kamera nyingi ni nini kama Kuna umuhimu haziwezi kukaa ndani ya camera Moja kama DSLR, kamera Moja inatosha muiongezee nguvu sijui kama mnanisikia design ya simu kama 1plus 12 ...
Wallah hili lilikuwa ni moja ya jaribu zito maishani mwangu. Baada ya kukata ile simu nlikuwa kama nimemwagiwa maji ya baridi. Nlinywea.... Nakumbuka mshenga na mjomba wangu walikuwa wa kwanza kuniuliza "Yusuf umepatwa na nini ?"
Nlianza kuwaza ina maana sasa yule binti nitamwoa au inakuaje...
Hali ni mbaya sana sasa hivi kwa mitandao ya simu kuhusu swala la kununua umeme kupitia simi za viganjani.
Imagine unanunua umeme kupitia twigoopesa unakaa masaa matatu hakuna token na giza linaingia ukipiga simuzao zinakatwa hakuna majibu.
Kwanini nyie Tanesco msiwe na line zenu za simcard...
Kumekuwa na changamoto ya kununua LUKU kupitia mitandao ya simu.
Ukinunua hupati token na wenye mitandao wanajua kuna shida kwasababu ukiwapigia wanakiri. Lakini bado unakatwa pesa!
Kwa nini maelezo ya kuwepo kwa shida yasitolewe kupitia menu za apps ili mteja ajipange kivingine badala ya...
Mtu unanunua flagship ya pesa nyingi yenye technology ya kioo kikalii badala ya kuendelea kuenjoy AMOLED au OLED mixer 2200 nits ulivyokua zwazwa unaenda kuweka giza juu yake sijui mnaficha nini hata ukiangalia content za 1080p unaona blur hizo privacy muwape watu wa infinix na tecno tena zile...
Yaani natumia router ya airtel, na Voda kwa lengo lakuwa na internet ofisini lakini kuna muda mitandao yote tabu lele,leo siku nzima inasuasua tu ,
Nimeamua kutafuta pocket router ya Tigo ndio angalau naweza ku access,wamenikwamisha pm zangu nyau wale,STAR LINK wapewe kibali muone utamu wa...
Yani umejipinda kununua simu kali halafu uanze tena kutumia 4g wakati eneo lina 5g ya kutosha, Ahh wapi aisee !! miyeyusho hio !!
Ni tahadhari ya mapema kabisa naitoa, kama unataka kununua google pixel jifikirie mara 2, ukiachana na uadimu na bei pasua kichwa kwenye vioo kusababisha wengi...
Habari wana Tech wa JF?
Naomba mnisaidie namna ya kufanya sms recovery kwenye smartphone yangu
Natumia samsung galaxy A05, Kuna wakati nakuta sms muhimu sana zimefutwa hata kwenye recycle bin hazipo
Nawezaje kuzirudisha?
Au ni download APP gani ambayo itakaa humo na kunitunzia hizo sms...
Mods naomba msiuunganishe uzi huu na zingine ili uweze kusaidia wengi.
Wale waokoaji ambao mpo nje ya jengo na mnawasiliana na wahanga waliopo ndani ya jengo, waombeni wahanga email na password za gmail account kisha waambieni wawashe location kwenye simu zao.
Tumieni simu au computer zenu...
Ayo TV imeongea kwa njia ya simu na mtu aliyepo chini na wenzake tangu asubuhi Novemba 16,2024 ghorofa lilipoporomoka ambapo amesema yeye na wenzie 10 wapo hai lakini hali zao ni mbaya.
Pia, Soma: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Majeruhi 63 kati ya 70 waruhusiwa, uokozi...
Hivi karibuni serikali ya jamhuri ya muungano Wa Tanzania chini ya Rais Samia suluhu Hassan, karibu kila ofisini ya serikali kuna simu za Ofisi ambazo Mwananchi Akiwa na Jambo Akihitaji ufafanuzi basi hutakiwa kupiga simu nakupewa Majibu yatakayo saidia kutatua changamoto Yake.
Matumizi ya simu...
Rais wa Kenya, William Ruto, amefanya mawasiliano ya simu na Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, ili kujadili masuala ya uwezekano wa kuimarisha uhusiano kati ya mataifa hayo mawili.
Rais Ruto alimtaka Trump kuendelea kuangazia maeneo ya kipaumbele katika uhusiano wao, ikiwemo fursa za...
Inadaiwa wagombea wote wa CHADEMA Jimbo la Serengeti mkoani Mara wameenguliwa.
Tutarajie ya mwaka 2019?
Kupata habari za kimkoa kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa bofya hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali...
Wakuu habari za leo.
Sijui wenzangu huko simu zenu vipi lakini siku za karibuni napata shida sana kutumia huduma za Tigo pesa na Mpesa mara kwa mara huduma haipatikani hasa jioni.
Hali hii zamani haikuwepo serious kiasi hiki ikilinganishwa na sasa.
Lakini hali ilivyo sioni wala kusikia...