Imezoeleka Kwa wengi kutumia Namba ya simu kama 2FA.
Sasa tukija kuangalia usalama kawaida Huwa ni ndogo kwasabu zifuatazo.
Email inbox na outbox hazijifuti kama ilivyo kwenye WhatsApp.
Vyombo vya usalama vinaweza kupewa access ya jumbe fupi au calls unazotumiwa kwenye namba Yako ya simu...
Habar za wakat huu mabibi na mabwana, naomba kujitika kweny mada husika kama kichwa cha habar kinavojieleza.
Nimekuwa mtumiaji mzuri na wamda mrefu wa application ya Dstv now mpka sasa ilipobadilishwa na kuitwa Dstv stream miaka yote ilikuwa the best upande wa iptv kwa sababu ya ulaji mzuri wa...
Wakuu,
Nimeona kuna baadhi ya Wachaga wameshaanza kupanda Esta na Marangu Coach kuelekea kwao.
Simu zenu hatutapokea Januari. Unaendaje Moshi mapema hivi?
Una uhakika hiyo 500k yako ita-survive mpaka Januari?
Mnaenda huko kula ada, then Januari simu zinakuwa nyingi. Hatutapokea simu
Raha ya...
Habari zenu?
Natumaini wote mko salama.
Je, hii ni njia mpya ya kutengeneza kipato? Is this a new hustle? Mara kadhaa imewahi kunitokea katika simu nakuta hela inakatwa, kama vile nimeongeza vocha halafu nataka kuunga kifurushi naambiwa salio halitoshi.
Kipindi cha nyuma nilikuwa nasamehe...
Miaka fulani uko nyuma nikiwa mkoani kwangu nilishuhudia uwanja mkubwa ulio jirani yetu ukisafishwa na bdae palifanyika ujenzi matata kabisa mahala pale.
Kwa harakati zilizokuwa zinaonekana pale ni wazi walikuwa wanajenga kitu kikubwa sana km hoteli kubwa au kitu kinachofanana na hicho.
Kwa...
Nilikuwa na ofisi yangu ya Uwakala wa fedha kwa mitandao ya simu lakin bahati mbaya nimefulia na line zipo ila sizifanyii kazi.
Kiukweli sina mpango wa kuzitumia hizi line tena.
Kama unazihitaji tunaweza kuingia makubaliano/Mkataba ili kuwe na usalama kwako na kwangu pia.
Line nilizonazo ni...
Habari za muda huu ,hope mko poa wale wenye changamoto za kiafya Mungu awaponye
Ipo hivi kuna ndugu yangu amenunua simu mtaani Samsung A05 Ila baada ya kununua ikapita kama siku 10 mbele simu ikawa haisomi laini yaani wali block Imei so baadae akaarudisha simu kwa mhusika na kumweleza...
Makampuni ya Simu kwa kipindi kirefu sasa zaidi ya Miaka 10 tangu 2010 yameshindwa kuhakikisha Huduma Bora ya Internet katika tarafa ya Mashati, Wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro.
Si network ya kupiga simu au ya kutuma ujumbe mfupi (SMS) wala internet, zote ni mbovumbovu na karaha kwa watumiaji...
Anonymous
Thread
bora
huduma
huduma bora
internet
kipindi
makampuni
makampuni ya simu
mashati
miaka
miaka 10
simu
zaidi ya
Inatokea Tanesco wamekata umeme kwa siku 2
Nahitaji vitu gani mfano battery au power bank,n.k. niweze kukidhi mahitaji ya umeme kwa siku 2 kwa vifaa vidogo kama
Smart phone 4 zinazochajiwa mara 2 kwa siku, hutumia lisaa kujaa
Router 1 inayotakiwa iwe kwenye umeme muda wote
Laptop 1 ya Dell
Kocha mkuu wa Manchester City, Pep Guardiola, anadaiwa kuwa "hapatikani" na hatumii simu yake ya mkononi, huku muda mwingi akijifungia ofisini akijaribu kutafuta njia ya kutoka kwenye hali ya vipigo mfululizo vinavyoikumba timu yake.
Guardiola, ambaye anasifika kwa mbinu na Soka safi amekumbana...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu Ernest Lwila (30) kulipa faini ya TSh5 milioni au kutumikia kifungo cha miezi sita gerezani, baada ya kupatikana na hatia kwa kosa la kutumia laini ya simu iliyosajiliwa kwa jina la mtu mwingine.
Pia, mahakama hiyo imemuachia huru mshtakiwa huyo...
Ruhusuni mfumo ambao pesa ikiingia kwenye simu ya lipa namba itoe notification kwa simu nyengine pia. Mfano nina lipa namba moja ila watoa huduma watatu nahitaji hao watoa huduma watatu wapate ujumbe kwa simu zao iwapo mteja atalipa namba kwa mmoja wapo bila wao kuhakiki kwa kuangalia message...
Simu ndogo aina ya i 17 Pro 45,000 TZS.
Sifa za simu:
1. Inatumia laini mbili
2. Ina trey ya kuwekea laini
3. Betri yake ipo ndani kwa ndani
4. Ina pin ya kutolea laini
5. Inakaa na chaji muda mrefu
6. Display yake nzuri sana
Rangi tulizo nazo ni Kama ifuatavyo:
Karibuni:
Mawasiliano...
Wakati zoezi la upigaji wa kura za kuchagua viongozi mbalimbali wa serikali za mitaa likiwa limeanza tangu saa 02:00 asubuhi nchini, hali ni tofauti kwa jimbo la Mikumi, wilayani Kilosa, mkoani Morogoro ambapo inadaiwa kuwa kata nane (8) kati ya 15 za jimbo hilo zoezi la upigaji wa kura...
Unaweza ukanunia simu ya bei ndefu bado usifurahie vizuri na mwingine akanunua simu ya bei rahisi akapata vingi, we kama mdau unadhani kipi cha muhimu kwenye simu kulingana na mahitajio kama kasi ya mtandao,kamera,memory,housing nk.?
Kuna wakati unapata dharura ya kuhitaji huduma kwa wateja watatue, unapopiga simu unakuta maelekezo mengi sana (hasa mitandao ya simu) na kisha inakuwa vigumu kusaidiwa.
Kwa nini kusiwe na namba ya moja kwa moja wanapokea huduma kwa wateja?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.