Aisee, nani angeweza kujua kuwa ndani ya CHADEMA kuna ujambazi wa kutisha wa fedha za wanachama na wananchi. Hiki kinyang'anyiro cha kugombea uenyekiti wa chama umeibua mambo mazito na kukianika wazi hiki chama kuwa ndani yake kuna mijizi kwelikweli.
Leo katika press conference ya Lema...
Leo nimeenda dukani kununua Galaxy A35 yenye storage ya 256 GB na kwa bahati mbaya sikuipata.
Katika kuangaza macho nikaiona iphone 12 pro used ina battery health ya 86%. Nikavutiwa kuikagua na kweli bado ina vitu kadhaa vinavyovutia ila sikushawishika kuinunua hiyo pamoja na kuwa na bei sawa...
Na kwa tuliobahatika kidogo kuishi / kukaa na akina Bandeko Nangai (Wakongo kutoka DRC) hawa Jamaa unachokiona Nyusoni Kwao sicho kilichopo Mioyoni Mwao.
Unaweza kuwa nae katika Dili (kama la nisaidie nipite) halafu ukampa Hela na akakuahidi kabisa kuwa hakuna wasiwasi ila baadae Shughulini...
Wakuu habari zenu
Ningependa kujua ama kufahamu kwa mwenye uelewa kuhusu jinsi makampuni ya simu yanavyolipa pale wanapokuwa wamekodi/wameweka mnara wao kwenye eneo lako.
eneo ni dsm: juu ya ghorofa
mnara ni halotel.
Eti wakuu
Mtu anayeuchuna mazima baada ya kuwa umempigia simu au kumtumia meseji ni kwamba
yupo bize sana kiasi hana kabisa muda wa kuona simu au meseji zilizoingia?
Au anaona simu na meseji ila anapokea na kujibu jumbe zile za muhimu tu na ivyo ukiona yako haijapata majibu ujue ni miongoni...
Baadhi ya Watu waliotoa ripoti za kuibiwa simu katika vituo vya Polisi Stakishari Ukonga Jijini Dar es Salaam na katika Kituo cha Kilwa Roads Police wanasema kila wanapofuatilia simu zao zilizoripotiwa kuibiwa huzikuta kwa watu ambao wamezinunua kutoka kwa watu waliopewa simu hizo na maafande...
Hili limenitokea jana tu!
Kama mnavyojua msimu wa sikukuu watu tunakuwa busy na shopping za hapa na pale.
Jana nikaingia super market moja hapa down town .Kusanya mazaga kama yote kwa mbwembwe kibao.
Kucheck pembeni namuona rafiki yangu ambae tulipotezana kitambo.Maongezi kidogo kisha...
Binafsi hii ni moja ya red flag kubwa sana ambayo inaniogopesha toka kwa mwanamke, hii ni kwangu mimi lakini sijajua kwa wanaume wenzangu wanachukuliaje jambo hili.
Just imagine mwanamke amechora Tattoo kwenye maziwa au kwenye makalio na sehemu zote hizo wakati anachora Tattoo Artist amezishika...
Si kila kava ni kwajili ya ulinzi wa simu, Kuna kava ambazo zipo kwajili ya mvuto, ikiwa unanunua kasha kwa lengo la mvuto chagua yoyote itayokuvutia lakini kwa lengo la ulinzi hasa kwetu wenye uchumi wa kawaida tunaopenda kutunza simu, yatupasa kujikita na hadhi ya ulinzi wa kasha.
Kava nzuri...
Wakuu niko kwenye final process za Kufungua Kampuni, Nahitaji Wadau mnishauri je Niwe na Namba Moja tu ya simu kwa ajili ya Mawasiliano ya Kampuni au niwe na namba zaidi ya Moja?
Na Je nichague mtandao upi wa simu kama namba Kuu ya Kuwasiliana na Kampuni?
Location ni Dar es Salam
Wakuu kama inavyojulikana kwa kawaida simu ya mke ndiyo simu rasmi kwa kila mwanafamilia (akiwemo baba) kuitumia kwa uhuru kabisa maana vyote (vikiwemo hiyo simu na huyo mke mwenyewe) hivyo ni mali ya baba.
Sasa kama mke/mama hataki kutoa password ya simu imekaaje hiyo?
Kuna ustawi wa...
Kama mada inavyojieleza
Nina mke wangu ambaye nina watoto nae.
Ila kutokana na mambo mbalimbali tumetengana kama miaka miwili sasa
Watoto wangu wamekuja kunitembelea likizo. Tunaishi kwa furaha na upendo.
Baada ya siku kadhaa mama yao nae kaja kutoka huko anakofanyia kazi. Sasa kitu...
Wale mnaojua fundi nzuri WA Samsung kawe. Ama mwenge ama kariakoo
Naomba tuambiane
Mwanangu kashika simu asbh kaamua kuvuka na chake
Kioo kwishnaaa
Winoo. Hioo
Samsung a03
Sijui sh ngapi sio kwa kutishiwa na watu hivi oohh
Elon Musk aendelea kutembeza bakora kwa makampuni ya simu
Baada ya kuleta mageuzi katika ufikiaji wa mtandao wa kimataifa, Starlink ya Elon Musk iko tayari kupeleka muunganisho wa simu mahiri kwenye kiwango kinachofuata. Huduma hiyo kabambe ya setilaiti hivi karibuni itawawezesha watumiaji...
Yasemekana kamanda Mbowe ameadimika.
Kwamba tofauti na ilivyokuwa, simu hapokei tena:
Ashauriwe mwamba simu zote si za kuomba fadhila, zingine zimesheheni jumbe zenye kuweza kuunusuru umoja wetu kwenye nyakati hizi tete kabisa.
Zaidi sana akumbushwe mwamba: "wajumbe hawauwawi!"
Pia soma...
Juzi nimempigia simu aje tusherehekee pamoja mwaka mpya amegoma mimi na yeye tunaishi mikoa tofauti, cha ajabu Leo anasema yupo kwenye basi nakuja najiuliza kwa nini aje ghafla au kuna kitu nyuma ya pazia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.